Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,243
- 44,524
- Thread starter
-
- #301
Ni hadithi nzuri,mtiririko wako wa maneno na visa unaonyesha ni jinsi gani ulivyo mtunzi mahiri,mara nyingi sisi watu tulio addicted na novels tuna tend kutamani kuishi maisha yaliyopo mle,au kuiga character za mtu fulani ambaye mwandishi amemuelezea kwa ustadi mkubwa.So kutokana na hilo naendelea kutamani kama ungetunga hadithi zenye visa vya kisiasa,kijangili,kiuzalendo(i know ur good on that),Ili pia utujenge kwenye uzalendo,kama wakina Robert Ludrum,Ben Mtobwa,Issa tuwa,Msiba e.t.c.
well.. there is another story to tell eh.. a sad one indeed...
NN,
Hata wewe unakataa kusoma maandishi marefu! I know u r kidn. No wonder MKJJ akawaleteeni kwa kipimo- chapter by chapter.
Lakini si nimekutakeni radhi?
Don't worry ma...I was just slipping in some levity...nothing wrong with cracking a joke or two on Friday...Jah bless
ushakuwa Jah people.. gia hizi mweh!!
Safari ijayo usishangae ukisikia mimi vegetarian.....
Asante kwa muendelezo wa hadithi hii tamu
Huonekani GS ulikuwa honeymoon?
ha ha ha,honeymoon kimya kimya hata wewe niskumabie mbona haiwezekani?siku za kimbembe zinakaribia hivyo najikuta napote potea na nitapotea sana tu..Jimbo sio mchezo
I wish you all the best GS tuko pamoja kimaombi zaidi