Well the only easy way is doing it practically.... with demos I think ataelewa zaidi.Mhhh jana nilitoa print out nikaenda Gym...basi huku na workout nikawa nasoma..I didnt feel those ten 10 minutes , One egyptian lady (normally i chat with her lakini jana sikumuona kaingia saa ngapi lol) she asked me R u preparing for exam? :target: lol I told her NO its a story ...
Other woman came to ask what are u reading!! I handled the paper to her... she asked what language is this? lol I told her swahili now she wants me to translate it.... (now I donno how to I get rid of her)
ANyway sasa tuseme yule waziri alikuwa anataka aitwe bosi na mke wake... manake alikuwa anapenda kuitwa bosi...sasa mamii alivyo olewa akabadilisha style... kumbe mzee anataka ile ile staili... arghhhhhhh :frown:
Si anamsimulia kwa matendo jamani? Mdhungu kaomba atafsiriwe sasa anasema hajui atatafsiri vipi. Mi naona akienda paragraph kwa paragraph mzungu atatoka na hint japo kidogo! lolhMwanajamiione I didnt get u love.. what are u suggesting?
Na MJ naye post zooooote hakuona kaona yangu tu !!
Umenikamata Bibie yaani ungeona nilivyoelekeza casa haraka hapo kwenye SURA YA SABA lol ungenicheka ah!!Sura ya Saba!
***************
Hahhahaahhah kwenye kutranslate au??Tuna interest ukiona hivo!
Umenikamata Bibie yaani ungeona nilivyoelekeza casa haraka hapo kwenye SURA YA SABA lol ungenicheka ah!!
Mwe hata mie ilinipa shida kidogo ..... labdahahahaha nilivyo na usongo nayo ndo maana namkumbusha mtunzi hivi hiyo (Kumbatio la mwenye makosa) najaribu kuoanisha kichwa kinagoma MJ1 nisaidie kuielezea vizuri
Mwe hata mie ilinipa shida kidogo ..... labda
1. Dada (Mama Waziri) anamkumbatia Freddy aliyemkosea kwa kumwagia juice walivyogongana:
2. Fredy anamkumbatia Dada ambaye ana kosa la kuisaliti ndoa yake
ah hata sielewi shosti hii ni fumbo la mwanakijiji
Hm MMM kwa hadithi hii nimejikuta nimekudondokea ghafla bila kuficha mh!!
Mzee wa vijimambo!haahahaah itabidi nikae mbali.. sasa ukisoma yanayotokea kwa Mjamaika si ndio itakuwa vurugu.. ila angalia avatar yangu... haitamanishi.
Mzee wa vijimambo!
Mzee wa vijimambo!
Uwiii hebu basi lete ya kwa mjamaika wa kilugulu jamani!! nina uhakika kuwa hiyo itakuwa ya kufungia mwaka na kugongomelea msumari wa mwisho kwenye jeneza la moyo wangu ukiniacha mwenyewe niamue kulala kifudifudi au chali humo kwenye jeneza la mapenzi yangu kwako (Lol- naona nami vimisemo vya Da Clementina vinaniingia)haahahaah itabidi nikae mbali.. sasa ukisoma yanayotokea kwa Mjamaika si ndio itakuwa vurugu.. ila angalia avatar yangu... haitamanishi.
Wenzao wanawadondokea characters wa kwenye stori na siyo watunzi. Sasa kwangu nimeshakuwa not reachable maana nshapigwa makofi ya kutosha tu.. ndio maana nawaasa watu sana wasiniletee matatizo bure.