Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,239
- 44,472
- Thread starter
-
- #181
MJJ! Hivi una habari nimekununia?:frown:
Mwanakijiji ina maana Eric angeweza kuiandika upya kwa kiingereza ba kuipa jina jiya? Mkuu umegusa matatizo ya ndoa nyingi! Miezi saba baba aliamua kubaka......mmhhhhShigongo once again has been put on notice!!
Hivi Mwanakijiji hapo ndo mwisho?
Kwa nini hutaki kutupa burudani yetu..pls tubandikie sehemu ya sita.
Mwanakijiji Hadithi yako ni mwanzo mwisho tunaomba uendelee na uimalizie kama ulivyotuanzishia uhondo.
usipokonye tonge mdomoni.....
Msiwatibulie ambao hawajasoma... mwisho mtadokeza kuwa stelingi kauawa!
Mhhhh Mh waziri angejifanya ni Shaggy....it wasn't me!
Nimedownload ili nikaisomee nyumbani na shemejio!.......................