Kulikoni Ramadhani Kabwili (Football player)

Duh,sasa umetumia lugha kali kwa kosa lipi nimelifanya? Kupotea kwenye carrier namaanisha ni ngumu kusajiliwa na timu zingine kwani wanaamini tabia ambayo ameifanya ni fedheha kwa jamii na kwanini ufanye faragha zako then zisambae mitandaoni?

Wenye majibu kama yako ni wasiokuwa na hoja za kujibu kwahiyo hutumia abusive language.
Fedheha ipi na kwa jamii gan?
Mbavu zangu mie uwiiiii. Poleeeeeh
 
Uandishi wako tu unadhihirisha tofauti kubwa ya uelewa wa mambo. Ivi=hivi, unavoongea=unavyoongea, kichwan= kichwani, kna=kuna

Rekebisha kwanza uandishi kisha unaweza kupata hata hoja kidogo ya kueleweka.
Sijaona hata hoja yako ya msingi kutoka kwako, labda ungeanza upya tena, relaaaaax.
 
Asante kwa kuwa na kichwa chepesi kuelekezwa mara moja na tuition ikaingia vema. Si unaona sasa angalau umeanza kujua kuandika vizuri. Elimu haina mwisho kama hivi nimekupa tuition bure kabisa halafu hata hujashukuru.
umeshindwa kuwasilisha hoja yako, si ukubali tyuuh khaaah.
 
Yaliyomo yamo
JamiiForums-712901922.jpg


Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom