Kulikoni Ramadhani Kabwili (Football player)

Nimeangalia hiyo video clip ya sekunde kadhaa kwa ukweli wa Mungu huwezi kumtambuwa muhusika.

Kama ana kashfa ya ushoga basi iwe kwa ushahidi mwingine lakini siyo hiyo video clip inayosambaa.

Sitetei ushoga lakini kama evidence ndio hiyo video clip basi Watanzania baadhi yao wana roho mbaya na ni wauwaji na wengine hawapendi kushughurisha akili zao wanameza kila wanacholishwa.

Aliyenitumia hiyo clip tangu jana namuuliza mfano ningekuwa ndio mimi rafiki yako ungeweza kunitambuwa kwa clip hiyo? Mpaka leo kaingia mitini hakuna majibu.

Mavideo mengi huwa watu wanamaugomvi wanaamua kuharibiana tu... ni mbaya sana kwa kweli
 
Nimeangalia hiyo video clip ya sekunde kadhaa kwa ukweli wa Mungu huwezi kumtambuwa muhusika.

Kama ana kashfa ya ushoga basi iwe kwa ushahidi mwingine lakini siyo hiyo video clip inayosambaa.

Sitetei ushoga lakini kama evidence ndio hiyo video clip basi Watanzania baadhi yao wana roho mbaya na ni wauwaji na wengine hawapendi kushughurisha akili zao wanameza kila wanacholishwa.

Aliyenitumia hiyo clip tangu jana namuuliza mfano ningekuwa ndio mimi rafiki yako ungeweza kunitambuwa kwa clip hiyo? Mpaka leo kaingia mitini hakuna majibu.
Nitumie na mm aisee sijacanikiwa kuionaa
 
Ama kweli ndege wafananao huruka pamoja.
IMG-20211223-WA0003.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom