Kulikoni Ramadhani Kabwili (Football player)

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Aug 30, 2021
630
1,245
Ramadhani Kabwili alizaliwa tarehe 11 Desemba 2000, na ni mchezaji wa soka wa kulipwa kutoka Tanzania. Ramadhani Kabwili ambaye ni mzaliwa wa Dar es Salaam anaichezea Young Africans kama Golikipa.

November 20, 2021 amefuta page yake ya Instagram pasipo na taarifa yoyote kamili kuhusiana na uamuzi huo aliochukua hivi karibuni, sasa chache ukurasa huo ulirejeshwa huku upande wa commenting ukiwa off

Mwenye taarifa kamili tujuze kulikoni?

images (4).jpeg
 
Muogopeni Allah!!! Acheni kumnenea kijana wa watu maneno mabaya kama hayo. Ninyi wote mnao msema Kabwili Ni shoga wakati hamjawahi kumkuta live akiwa anashughulikiwa , ikawe hivyo Kwa watoto wenu WA kiume. Watoto wenu wote wa kiume wakawe mashoga . In Jesus Name . Amen
 
Muogopeni Allah!!! Acheni kumnenea kijana WA watu maneno mabaya kama hayo. Ninyi wote mnao msema Kabwili Ni shoga wakati hamjawahi kumkuta live akiwa anashughulikiwa , ikawe hivyo Kwa watoto wenu WA kiume. Watoto wenu wote wa kiume wakawe mashoga . In Jesus Name . Amen
Nimeangalia hiyo video clip ya sekunde kadhaa kwa ukweli wa Mungu huwezi kumtambuwa muhusika.

Kama ana kashfa ya ushoga basi iwe kwa ushahidi mwingine lakini siyo hiyo video clip inayosambaa.

Sitetei ushoga lakini kama evidence ndio hiyo video clip basi Watanzania baadhi yao wana roho mbaya na ni wauwaji na wengine hawapendi kushughurisha akili zao wanameza kila wanacholishwa.

Aliyenitumia hiyo clip tangu jana namuuliza mfano ningekuwa ndio mimi rafiki yako ungeweza kunitambuwa kwa clip hiyo? Mpaka leo kaingia mitini hakuna majibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom