inatakiwa utii wa sheria na taratibu bila shuruti. ni hiyo tuu mzee. hutaguswa na mtuThis is just too much, yani mtu unakatizwa matembezi yako ili ukafagie barabara? What's next? tutaanza kuchomolewa majumbani kwa mitutu?
Unajifanya unajua kumbe Wewe ndiyo ziro kabisa.Katiba gani iliyoruhusu kuchafua tu? Kila mwananchi ni askari wa kupambana kuondoa adui maradhi ujinga na umasikini. Njia mbalimbali hutumika kufanikisha hilo. Hizi njia haziwekwi kwenye katiba kwa sababu hubadirika kulingana na mahali na wakati.
Aliyekufundisha neno katiba hakumaliza somo wewe ukanyanyuka na kujinadi umeelewa katiba na sasa umekuwa kasuku kila kitu katiba, fuata uzazi wa mpango katiba, elewana na jirani zako katiba, chemsha maji katiba. Rudi kajifunze hujajua matumizi ya katiba.
Kwa sheria ipi ya nchi?Wabongo tumezidi uchafu, unanyonya kiroba halafu unatupa, sasa ndio mtajifunza usafi lasivyo uliyo yatupa jana utayaokota kesho. Kwa mwendo huu utajifikiria mara mbili mbili kutupa uchafu hovyo.
Tena shule ya msingiHiyo ya kulazimishana kufanya usafi hizo ni akili za shuleni.
Kwahiyo mtu mzima huwezi ukawa unamlazimisha kufanya usafi kama mtoto wa darasa la pili.
Tusisahau tu kufanya usafi kwenye makambi ya Jeshi, mahospitalini, vituo vya polisi, magereza, makanisani, misikitini n.k Ila sijajua hiyo sheria mpya inasemaje kuhusu waamini wa siku za jumamosi ambao hawaruhusiki kutembea hata umbali wa kutupa jiwe; au wale ambao ajira zao ni maalum kwa siku za jumamosi na jumapili au wasafiri na namna ya kuwabagua katika kundi. Huenda kailifanyika kautafiti fulani manake hadi sheria imetoka si mchezo!Ndio usafi unaozungumzwa ni wa public areas, ndio maana wanakukamata barabarani na sio nyumbani kwako au kwenye biashara yako. Kwa kawaida unatakiwa kuwajibika kwa usafi nyumbani kwako kwa kuwa wewe na familia yako ndio mnachafua hapo, vile vile kwenye mtaa inabidi wakazi wa hapo muwajibike vile vile kwa kuwa nyinyi ndio wakazi wa hapo. Hata mnaweza kuchanga na kuweka utaratibu wa watu wa usafi.
Lakini hili la kulazimisha kuwa watu wasafishe popote pale watakapokutwa na jeshi wewe unaona ni ustaarabu? Huwezi kumlazimisha mtu afanye usafi eneo la public kwa sababu yeye hayuko responsible na uchafu mahala hapo. Ndio maana tunafanya collective responsibility kwa kulipa kodi manispaa/jiji mahsusi kwa ajili hiyo.
Serikali haiwezi kuweka utaratibu ambao unavunja utaratibu, especially wa kikatiba. Mtu yuko huru kufanya anavyotaka. Huwezi kumpangia mtu kuwa saa fulani siku fulani utafanya hiki na hiki...halafu ukaficha huo udikteta ndani ya koti la "by laws". Unauliza mchango wangu katika nchi ni nini? well, ni kodi! Sasa swali, magari ya taka na wale wafagiaji wao wanaolipwa na kodi zangu wao kazi yao ni nini? Au ndio kama tunavyozoeshwa sasa kuwa "watapangiwa kazi nyingine" 😀.serikali imeweka utaratibu. ni by laws kwamba kila mwisho wa mwezi ni usafi. na hii ni kwa faida ya wananchi wote si kwa faida ya serikali . dharura zinaeleweka si maelezo yapo? msingi wa swali lako sielewi. unajua watu wana hulka ya kukwepa mambo mengi ya msingi ya nchi kwa kudhania usafi ni jukumu la serikali tu..hivi wewe una mchango gani katika nchi. kumbuka mwl Nyerere alisema usiiulize nchi itakufanyia nini, jiulize wewe unaitaifanyia nini nchi kama mzalendo. malalamiko mengine ya kitoto tuyaache. nenda kafanye usafi. kwani ukifanya usafi utakufa? nchi zetu hizi bado zinapambana na kujikwamua kiuchumi. hazina uwezo wa kufanya kila jambo, sio kama nchi za wenzetu zilizoendelea kiuchumi. please note that.
Nasikitika sana kuona unavyodhani kuwa kila kitu serikali inachofanya huwa inafanya utafiti! Niishie hapo.Tusisahau tu kufanya usafi kwenye makambi ya Jeshi, mahospitalini, vituo vya polisi, magereza, makanisani, misikitini n.k Ila sijajua hiyo sheria mpya inasemaje kuhusu waamini wa siku za jumamosi ambao hawaruhusiki kutembea hata umbali wa kutupa jiwe; au wale ambao ajira zao ni maalum kwa siku za jumamosi na jumapili au wasafiri na namna ya kuwabagua katika kundi. Huenda kailifanyika kautafiti fulani manake hadi sheria imetoka si mchezo!
Sio Rwanda sema Kigali. Na pia hujui kuwa mji huo hauruhusu watu maskini wasiovaa nguo nzuri kuonekana mjini. Hujui kuwa unaweza kukamatwa kwa kuvaa yeboyebo. Usifananishe nchi yetu na nchi za kidikteta.Leo Rwanda inasifika kuwa miongoni mwa nchi safi mandhari nzuri na haina uwezekano wa kupata kipindupindu sababu ya usafi unaofanywa kila jmos ya mwisho wa mwezi ni amri kuanzia rais hadi yyt ni amri
Watendaji wa Magufuli kivipi? Kama jeshi linatumika maana yake CDF na Amiri Jeshi mkuu wamekubali. Else hao wanajeshi wangekuwa disciplined. Kama ni sheria maana yake rais aliisaini. Sasa mbona unazunguka zunguka tu? Rais inabidi awe makini na hizi sheria.Ni mambo ya hovyo kwa watendaji wa Magufuli kuanza kunyanyasa wananchi ili waonekane kama wanafanya kazi nzuri kumbe wanataka kumuharibia Rais, yaani nimesikitika sana kwa wanajeshi kulazimisha watu wafanye usafi, makundi ya kutafuta haki kwa nguvu huanza baada ya manyanyaso ya watawala
Ushafika Rwanda wewe? Unazijua sheria na taratibu zao?Leo Rwanda inasifika kuwa miongoni mwa nchi safi mandhari nzuri na haina uwezekano wa kupata kipindupindu sababu ya usafi unaofanywa kila jmos ya mwisho wa mwezi ni amri kuanzia rais hadi yyt ni amri
kamanda umejitahidi kujibu kweli. yes kwa upande mmoja una point lakini tu naona upo biased totally. unadhani kodi unayolipa wewe inachangia kiasi gani katika matumizi ya serikali. je kuna wangapj ambao wanatafuta upenyo wa kukwepa kodi. sasa kama tuna watu namna hii its obvious serikali itakuwa na wakati mgumu wa kutimiza kila jambo kwa makusanyo ya kodi inayopata. angalia makontena hewa kiasi gani yanapita bandarini. wafanyakazi hewa wangapi. pesa zote hizi zimekuwa zikipotea na mwisho wa siku sasa serikali kama ina dhamira ya kuwatumikia wananchi kwa dhati kabisa kwa kuanzia ni lazima ihitaji msaada wa wananchi. ni mpaka pale mifumo yote ya ukwepaji kodi na mingine ikae sawa. hapo ndio labda tuanze ku enjoy service za serikali. we need to have positive thinking most of the time. au unasemajeSerikali haiwezi kuweka utaratibu ambao unavunja utaratibu, especially wa kikatiba. Mtu yuko huru kufanya anavyotaka. Huwezi kumpangia mtu kuwa saa fulani siku fulani utafanya hiki na hiki...halafu ukaficha huo udikteta ndani ya koti la "by laws". Unauliza mchango wangu katika nchi ni nini? well, ni kodi! Sasa swali, magari ya taka na wale wafagiaji wao wanaolipwa na kodi zangu wao kazi yao ni nini? Au ndio kama tunavyozoeshwa sasa kuwa "watapangiwa kazi nyingine" 😀.
Hapa hakuna malalamiko ya kitoto hata kidogo. Mimi nina wafanyakazi wa kufanya usafi ndani kwangu iweje nikasafishe mitaro barabarani? Kwani suala ni usafi au suala ni mimi kuonekana nimebinuka mtaroni na chepe?
Mwisho kisingizio cha kwamba haiwezekani kufanya kila jambo...ni just that, kisingizio! Mbona Moshi mji msafi? Je kule sio Tanzania? Ukiuliza wazee watakuambia Dar ilikuwa safi mno enzi hizo. Ni uongozi mbaya uliotufikisha kwenye uchafu sio umaskini wetu. Badala ya magari ya taka tunanunua mawashawasha...
CHADEMA...Chama cha Denda na Mazezeta.Nimeangalia taarifa ya habari ya ITV muda huu, nimeona wanajeshi wa JWTZ wakisimamisha magari na kulazimisha abiria kushuka na "kufanya usafi" kwa agizo la serikali. Kwamba jumamosi ni siku rasmi ya usafi. Je hii kitu ina uhalali gani kikatiba? Mbona kama ni udikteta?
Nijuavyo jukumu la usafi wa public areas ni la serikali kupitia manispaa/jiji na tunalipia kodi kwa hilo. Iweje serikali ilazimishe wananchi kufanya shughuli zake, tena kwa kutumia jeshi ambalo kikatiba ninavyojua kazi yake ni kulinda mipaka tu? Hii ni halali? Kama sitaki kukubali amri hiyo je nitashitakiwa kwa kosa lipi mahakamani?
wewe ndio unaonekana kuwa totally biased upande wa maamuzi ya serikali. Kwani mkuu unavyojua wewe serikali inapata wapi fedha za matumizi mbali na kodi yangu na yako? Upotevu wa kodi ni responsibility ya serikali, wizi wa makontena, wafanyakazi hewa...yote hayo ni majukumu ya serikali. Nitumie mfano wako wa makontena, je itakuwa sawa kutenga siku maalum kwa kila mwananchi kwenda kulinda bandarini ili makontena yasiibiwe? Huku ukisisitiza kuwa ulinzi ni jukumu letu sote?kamanda umejitahidi kujibu kweli. yes kwa upande mmoja una point lakini tu naona upo biased totally. unadhani kodi unayolipa wewe inachangia kiasi gani katika matumizi ya serikali. je kuna wangapj ambao wanatafuta upenyo wa kukwepa kodi. sasa kama tuna watu namna hii its obvious serikali itakuwa na wakati mgumu wa kutimiza kila jambo kwa makusanyo ya kodi inayopata. angalia makontena hewa kiasi gani yanapita bandarini. wafanyakazi hewa wangapi. pesa zote hizi zimekuwa zikipotea na mwisho wa siku sasa serikali kama ina dhamira ya kuwatumikia wananchi kwa dhati kabisa kwa kuanzia ni lazima ihitaji msaada wa wananchi. ni mpaka pale mifumo yote ya ukwepaji kodi na mingine ikae sawa. hapo ndio labda tuanze ku enjoy service za serikali. we need to have positive thinking most of the time. au unasemaje
Kwasababu kwa hiari imeshindikana haina haina namna kwa lazma basi tutafanya manake usaf lazma mwisho wa siku