Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,106
- 110,842
Nimeitika mkuu...[emoji134] [emoji134]
Nimeitika mkuu...[emoji134] [emoji134]
Nimeitika mkuu...[emoji134] [emoji134]
Habari zenu naombeni ushauri jamani Mimi na mme wangu tunakaa chumba kimoja kitanda kimoja tunajifunika shuka moja lakini cha kunishangaza sahivi tuna wiki 3 hatujafanya mapenzi nikiwa na hamu nikimuanza ananiambia amechoka sasa sielewi shida ni nini na kipindi cha nyuma tukifanya huwa anakojoa haraka yani ndani ya dk 5 ameshakojoa na harudii tena bao la Pili tunalala namwambia twende hospital hataki kwakweli niko njia panda hata sielewi tatizo ni nini maana hata huko nyuma tukifanya mapenzi ni mpaka Mimi nimuanze yani hawezi hata kusema mke wangu nimekumisi mpaka Mimi nianze usumbufu ndo tufanye. Naombeni mawazo yenu nifanyaje maana hapa na mawazo hata sielewi na ukifikiria Nina nyege hapa nilipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wamekua wavivu sanaSawa my ntajarbu japo nikimuulza huwa ananijibu eti anakuwa amechoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, namkumbusha tu kuwa wanaume ni malaika.Dada, naona umeanza tabia ya kumfundisha wifi wako tabia mbaya eehhh.....
Asante sana mkuu, leo nilikua na upako[emoji5] [emoji5]
Isipokua cha-p mimi hapa kaka wako wa nguvu.......[emoji85] [emoji85]Hapana, namkumbusha tu kuwa wanaume ni malaika.
Alafu mnafanana kweli.Isipokua cha-p mimi hapa kaka wako wa nguvu.......[emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
View attachment 1023496
Hataki nipe mie kasusa nipe mieDaah mume mtarajiwa una masharti hadi natamani kughairi, mbona mimi nilishakuwa kibonge toka enzi hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe si ulisema ni single momo tena huishi na mumeNdiyo maana nina tabasamu tele.
Una kazi kuzijua habari za wanajf!wewe si ulisema ni single momo tena huishi na mume