Kulala kitanda kimoja bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu

Kulala kitanda kimoja bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu

Kwanza nimejitahidi kupitia threads zako hapo nyuma kabla ya kukushauri, na nimegundua haya yafuatayo:-
1. Umetawaliwa na hisia kwamba mumeo sio msomi.
2. Unahisi kwamba aina ya kazi anayo ifanya mumeo sio kazi nzuri.
3. Unaumizwa na umasikini na unaonekana una tamaa ya mafanikio.
4. Una ongea sana na kumsema mwanaume wako, hata amefikia hatua ya kukuchukia/hakupendi lakini ameamua kunyamaza tu.
5. Unadanganywa na hisia kwamba wapo wanaume bora zaidi ya huyo mwanaume wako.
Kwa haya uliyoandika hakika jamaa hataweza hata kusimama dede, stress mi ugonjwa mbaya sana katika mahusiano.
 
Mi naamini hospital ndio Suluhisho la hiyo shida yake. Otherwise hawezi kufanikiwa. sanitarian clinics nyingi hawana vipimo watakupa dawa ili ununue wapate hela . Waganga wa mitaani sio wa Kweli. Muende hospital za rufaa mnaonane na specialist doctor wa masuala ya uzazi. Ili kutibu hiyo shida ni lazima kujua nini chanzo cha tatizo . Wanaotoa dawa bila kujua nini chanzo cha tatizo ni waizi
Habari zenu naombeni ushauri jamani Mimi na mme wangu tunakaa chumba kimoja kitanda kimoja tunajifunika shuka moja lakini cha kunishangaza sahivi tuna wiki 3 hatujafanya mapenzi nikiwa na hamu nikimuanza ananiambia amechoka sasa sielewi shida ni nini na kipindi cha nyuma tukifanya huwa anakojoa haraka yani ndani ya dk 5 ameshakojoa na harudii tena bao la Pili tunalala namwambia twende hospital hataki kwakweli niko njia panda hata sielewi tatizo ni nini maana hata huko nyuma tukifanya mapenzi ni mpaka Mimi nimuanze yani hawezi hata kusema mke wangu nimekumisi mpaka Mimi nianze usumbufu ndo tufanye. Naombeni mawazo yenu nifanyaje maana hapa na mawazo hata sielewi na ukifikiria Nina nyege hapa nilipo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana! Hapo kuna mawili labda ana ugonjwa ameshaokota ukimwi kwa michepuko au ana tatizo jingine.

Jitahidi kuongea nae taratibu ila ukiona amechukia muache na pia ikibidi mpime ukimwi kwanza ndiyo muanze tena! QUOTE="tembocard, post: 30420947, member: 474781"]Sawa my ntajarbu japo nikimuulza huwa ananijibu eti anakuwa amechoka

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
 
Mkuu pole sana.
Hata mimi wife wangu ananizingua sana kwenye tendo yaani ni mpaka mimi nimuanze kila siku.
Ikitokea nimechuna tu basi nae kimya hata zipite wiki mbili....
Vipi nikucheki ili tupeane pole na faraja zaidi maana imenenwa ndege wafananao huruka pamoja!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha. Mkuu umetisha! Mambo ya kifo cha wengi harusi sio? Kwakweli nendeni tu mkaliwazane
 
Kwanza nimejitahidi kupitia threads zako hapo nyuma kabla ya kukushauri, na nimegundua haya yafuatayo:-
1. Umetawaliwa na hisia kwamba mumeo sio msomi.
2. Unahisi kwamba aina ya kazi anayo ifanya mumeo sio kazi nzuri.
3. Unaumizwa na umasikini na unaonekana una tamaa ya mafanikio.
4. Una ongea sana na kumsema mwanaume wako, hata amefikia hatua ya kukuchukia/hakupendi lakini ameamua kunyamaza tu.
5. Unadanganywa na hisia kwamba wapo wanaume bora zaidi ya huyo mwanaume wako.
Aiseee!! kwa kusoma tu mie stimu ishakata sasa sielewi huyo mwanaume nguvu/mood atatoa wapi kama hali ndio hio na labda mwanamama anamuonyesha kabisa juu ya hiyo mitazamo yake! Hata ingekua enzi za babu wa Liliondo ngoma haiwezi amka hio!!
 
Methali 14 : 1-18
 
Habari zenu naombeni ushauri jamani Mimi na mme wangu tunakaa chumba kimoja kitanda kimoja tunajifunika shuka moja lakini cha kunishangaza sahivi tuna wiki 3 hatujafanya mapenzi nikiwa na hamu nikimuanza ananiambia amechoka sasa sielewi shida ni nini na kipindi cha nyuma tukifanya huwa anakojoa haraka yani ndani ya dk 5 ameshakojoa na harudii tena bao la Pili tunalala namwambia twende hospital hataki kwakweli niko njia panda hata sielewi tatizo ni nini maana hata huko nyuma tukifanya mapenzi ni mpaka Mimi nimuanze yani hawezi hata kusema mke wangu nimekumisi mpaka Mimi nianze usumbufu ndo tufanye. Naombeni mawazo yenu nifanyaje maana hapa na mawazo hata sielewi na ukifikiria Nina nyege hapa nilipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Namimi ninanyege njoo pm tufanye mchakato wakupunguziana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani ukimgusa tu anakuambia niache nmechoka

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana hu appreciate kila mumeo anachokufanyia. Yaani umekuwa mlalamishi kwa kila anachofanya so amekukinai. Ameshakutoa kwny system yake, hana tena hisia na wewe na amekuchoka anashindwa tu kukwambia.

Chakufanya anza kubadilika kuanzia leo. Anza ku appreciate kila anachofanya, thamini juhudi zake, mtie moyo hata kama kazi yake mbaya we mtie moyo na kumsifia kwamba ni mume bora anayejituma na kujali familia.

Mtie moyo kwamba upo proud kuwa mkewe. Mfurahie na kuonesha tabasam kila anapokuwa nyumbani. Akiwa kazini mtumie msg za kumtia moyo na kumliwaza. Muunge mkono kwa kila anachokifanya hata kama hukipendi, msaidie kufikia malengo yake na sio kumvunja moyo.

Mpikie chakula kizuri healthy, muandalie nguo za kazini. Muoneshe unamjali na kumthamini. Nakuhakikishia atarudi kwenye mstari tu. Jitahidi kujirekebisha mwenendo wako kabla hajapata mdaka chozi utalia.

Be Humble is free of charge [emoji873]
 
Back
Top Bottom