Kulala kitanda kimoja bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu

Kwanza nimejitahidi kupitia threads zako hapo nyuma kabla ya kukushauri, na nimegundua haya yafuatayo:-
1. Umetawaliwa na hisia kwamba mumeo sio msomi.
2. Unahisi kwamba aina ya kazi anayo ifanya mumeo sio kazi nzuri.
3. Unaumizwa na umasikini na unaonekana una tamaa ya mafanikio.
4. Una ongea sana na kumsema mwanaume wako, hata amefikia hatua ya kukuchukia/hakupendi lakini ameamua kunyamaza tu.
5. Unadanganywa na hisia kwamba wapo wanaume bora zaidi ya huyo mwanaume wako.
Kama ni kweli huyu dada kafikia hatua hii, basi nasema AFAI HATA KIDOGO.

Hata ningekuwa mimi, huu ushupavu wangu wote ungeisha....nadhani ningeitwa mgonjwa wa mbegu za kiume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nimejitahidi kupitia threads zako hapo nyuma kabla ya kukushauri, na nimegundua haya yafuatayo:-
1. Umetawaliwa na hisia kwamba mumeo sio msomi.
2. Unahisi kwamba aina ya kazi anayo ifanya mumeo sio kazi nzuri.
3. Unaumizwa na umasikini na unaonekana una tamaa ya mafanikio.
4. Una ongea sana na kumsema mwanaume wako, hata amefikia hatua ya kukuchukia/hakupendi lakini ameamua kunyamaza tu.
5. Unadanganywa na hisia kwamba wapo wanaume bora zaidi ya huyo mwanaume wako.
Hapa mzee umetiririka ukweli mtupu,kinachotokea hapa wanaangalia walipoangukia badala ya kuangalia alipojikwaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh kwel maisha ya ndoa ni tofauti sn. Mi kweny Ndoa yangu mke wangu ndo hua hapendi kufanya mapenzi tunaweza kaa hata mwezi bila kufanya kama nisipomuanza mim Wakati huko kwako mnaweza kaa wiki3 bila kufanya hadi wew Mwanamke ndo umuanze. Mim nnavopenda kufanya lile tendo I wish ningempata mwanamke anayependa kufanya kila siku
 
Habari zenu naombeni ushauri jamani Mimi na mme wangu tunakaa chumba kimoja kitanda kimoja tunajifunika shuka moja lakini cha kunishangaza sahivi tuna wiki 3 hatujafanya mapenzi nikiwa na hamu nikimuanza ananiambia amechoka sasa sielewi shida ni nini na kipindi cha nyuma tukifanya huwa anakojoa haraka yani ndani ya dk 5 ameshakojoa na harudii tena bao la Pili tunalala namwambia twende hospital hataki kwakweli niko njia panda hata sielewi tatizo ni nini maana hata huko nyuma tukifanya mapenzi ni mpaka Mimi nimuanze yani hawezi hata kusema mke wangu nimekumisi mpaka Mimi nianze usumbufu ndo tufanye. Naombeni mawazo yenu nifanyaje maana hapa na mawazo hata sielewi na ukifikiria Nina nyege hapa nilipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni madhara ya sukari, wanga na mafuta mabaya ebhu mfatilie huyu mtaalamu Dr Boaz mkumbo MD yupo kwa jina hill fb, instance, Twitter na YouTube
 
Habari zenu naombeni ushauri jamani Mimi na mme wangu tunakaa chumba kimoja kitanda kimoja tunajifunika shuka moja lakini cha kunishangaza sahivi tuna wiki 3 hatujafanya mapenzi nikiwa na hamu nikimuanza ananiambia amechoka sasa sielewi shida ni nini na kipindi cha nyuma tukifanya huwa anakojoa haraka yani ndani ya dk 5 ameshakojoa na harudii tena bao la Pili tunalala namwambia twende hospital hataki kwakweli niko njia panda hata sielewi tatizo ni nini maana hata huko nyuma tukifanya mapenzi ni mpaka Mimi nimuanze yani hawezi hata kusema mke wangu nimekumisi mpaka Mimi nianze usumbufu ndo tufanye. Naombeni mawazo yenu nifanyaje maana hapa na mawazo hata sielewi na ukifikiria Nina nyege hapa nilipo

Sent using Jamii Forums mobile app

Follow hiyo link
 
Back
Top Bottom