Kulala kitanda kimoja bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu

Kulala kitanda kimoja bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu

Habari zenu naombeni ushauri jamani Mimi na mme wangu tunakaa chumba kimoja kitanda kimoja tunajifunika shuka moja lakini cha kunishangaza sahivi tuna wiki 3 hatujafanya mapenzi nikiwa na hamu nikimuanza ananiambia amechoka sasa sielewi shida ni nini na kipindi cha nyuma tukifanya huwa anakojoa haraka yani ndani ya dk 5 ameshakojoa na harudii tena bao la Pili tunalala namwambia twende hospital hataki kwakweli niko njia panda hata sielewi tatizo ni nini maana hata huko nyuma tukifanya mapenzi ni mpaka Mimi nimuanze yani hawezi hata kusema mke wangu nimekumisi mpaka Mimi nianze usumbufu ndo tufanye. Naombeni mawazo yenu nifanyaje maana hapa na mawazo hata sielewi na ukifikiria Nina nyege hapa nilipo

Sent using Jamii Forums mobile app
DUNIA DUARA KWELI DAH
 
Kwanza nimejitahidi kupitia threads zako hapo nyuma kabla ya kukushauri, na nimegundua haya yafuatayo:-
1. Umetawaliwa na hisia kwamba mumeo sio msomi.
2. Unahisi kwamba aina ya kazi anayo ifanya mumeo sio kazi nzuri.
3. Unaumizwa na umasikini na unaonekana una tamaa ya mafanikio.
4. Una ongea sana na kumsema mwanaume wako, hata amefikia hatua ya kukuchukia/hakupendi lakini ameamua kunyamaza tu.
5. Unadanganywa na hisia kwamba wapo wanaume bora zaidi ya huyo mwanaume wako.

ukweli mchunguuu.. lol..

cc Smart911
 
Badilisha Tabia. Kama ulivyo kuwa ajaoana. Vyaa. Ongeo, kama zamani. Jamaa tupo vizuri kama anaweza Raundi mbili.ila Ni Haraka wewe Ndio Tatizo. Badilisha manukato yako. Hasa ya kwapani. Mwisho Badilisha chakula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na mambo ya hospital, chunguza hali ya kimaisha ya.sasa ya mumeo, je yuko vzr kazini, kiuchumi, hana madeni, hana mgonjwa (mf mzazi wake mgonjwa), hana mgogoro na ndugu au jirani yoyote, kiuchumi ana hali ya kuridhisha.
Hayo ndo ya kuyaangalia achana na mambo ya hospital wanaume tuna tabia ya kufa kibabe yaani hatutaki tuonyeshe matatizo yetu ila kama mke unaweza kumsoma na kujua ana matatizo gani yanayomkabili kwa sasa katika mchanganuo huo niliokwambia mwanzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye mahusiano,kuna ishu inaitwa kuchokana...trust me huyo jamaa akipata mzigo mwingine anapiga show vizuri kabisa..yaani wewe amekuzoea sana.

Hapo inatakiwa akumis kidogo,.
 
Heee mi nilijua ukiolewa umejihakikishia full supply ya mgegedo kumbe hamna

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatakiwa ummanage kabla hujaoa unakula ovyo minkuna siku dinner inakuwaga mhindi na glass ya maziwa ,ukioa MKE akupikia mamisosi mazuri unakuwa overweight unaharibu ,lakini ukijua kucheza na diet yake na kusimama Kama mke kumshawishi mazoezi mama utakojo*# mpaka useme maisha ndo haya
 
Habari zenu, naombeni ushauri jamani

Mimi na mme wangu tunakaa chumba kimoja kitanda kimoja tunajifunika shuka moja lakini cha kunishangaza sasa hivi tuna wiki 3 hatujafanya mapenzi.

Nikiwa na hamu nikimuanza ananiambia amechoka, sasa sielewi shida ni nini na kipindi cha nyuma tukifanya huwa anakojoa haraka yani ndani ya dk 5 ameshakojoa na harudii tena bao la Pili tunalala.

Namwambia twende hospitali hataki kwa kweli niko njia panda hata sielewi tatizo ni nini maana hata huko nyuma tukifanya mapenzi ni mpaka mimi nimuanze yani hawezi hata kusema mke wangu nimekumiss mpaka mimi nianze usumbufu ndio tufanye.

Naombeni mawazo yenu nifanyeje maana hapa na mawazo hata sielewi na ukifikiria nina nyege hapa nilipo
Tafuta serengeti boy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni kweli yanakupata haya basi unahitaji msaada mkubwa wa matibabu WEWE sio mumeo. Hakuna kitu kibaya kama wewe kumwambia mumeo kuwa; Hata hukunitosheleza!!! Hivi unadhani kama hakukukuta bikra yeye anakufikiriaje??
Yapo mambo kadhaa ambayo hata angelikuwa amemeza hilo vumbi la congo, halimsumbui. 1. Kauli zako za kila mara kumhusu yeye kikazi, kifamilia na kiurafiki. Jiulize, Je uko sawa huko? 2. Kauli zako kuhusu fedha/kipato chake. Je, unasemaje?
Mwanaume kama mfuko ni mdogo na wewe ukawa na mawazo ya juu anakuwa sio confident kwenye mawazo hivyo anakuwa hana nguvu za kiume. Anajua tu kuwa kesho asubuhi kuna mtu atakuwa juu ya huyu mke wangu.
Ushauri:
Acha kudai maisha yasiyo yako, Acha kuwajadili familia yake au yako ulikotokea. Badili lugha unayoitumia kwenye huo ushawishi wako/uchokozi wako. Msifie mkiwa tendoni kuwa leo, dah! Nadhani umeenda shule
 
Habari zenu, naombeni ushauri jamani

Mimi na mme wangu tunakaa chumba kimoja kitanda kimoja tunajifunika shuka moja lakini cha kunishangaza sasa hivi tuna wiki 3 hatujafanya mapenzi.

Nikiwa na hamu nikimuanza ananiambia amechoka, sasa sielewi shida ni nini na kipindi cha nyuma tukifanya huwa anakojoa haraka yani ndani ya dk 5 ameshakojoa na harudii tena bao la Pili tunalala.

Namwambia twende hospitali hataki kwa kweli niko njia panda hata sielewi tatizo ni nini maana hata huko nyuma tukifanya mapenzi ni mpaka mimi nimuanze yani hawezi hata kusema mke wangu nimekumiss mpaka mimi nianze usumbufu ndio tufanye.

Naombeni mawazo yenu nifanyeje maana hapa na mawazo hata sielewi na ukifikiria nina nyege hapa nilipo
Amekosa vichocheo vya kuhamsha zile homornes.
MPE vyakula vyenye zinc nyingi kama vile samaki wa baharini,ndizi,viazi vitamu,karanga, maziwa ya mgando,kitungu swaumu,parachichi ,asali na tangawizi.

Pia kuna dawa ya shambani nzuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajiamini kufanya mapenzi nawe, ushamshusha mori kitambo, kwa kumwambia tu. Hilo tu ndio tatizo lake.
Usishangae akichepuka anapiga anasimamia kucha.
 
Habari zenu, naombeni ushauri jamani

Mimi na mme wangu tunakaa chumba kimoja kitanda kimoja tunajifunika shuka moja lakini cha kunishangaza sasa hivi tuna wiki 3 hatujafanya mapenzi.

Nikiwa na hamu nikimuanza ananiambia amechoka, sasa sielewi shida ni nini na kipindi cha nyuma tukifanya huwa anakojoa haraka yani ndani ya dk 5 ameshakojoa na harudii tena bao la Pili tunalala.

Namwambia twende hospitali hataki kwa kweli niko njia panda hata sielewi tatizo ni nini maana hata huko nyuma tukifanya mapenzi ni mpaka mimi nimuanze yani hawezi hata kusema mke wangu nimekumiss mpaka mimi nianze usumbufu ndio tufanye.

Naombeni mawazo yenu nifanyeje maana hapa na mawazo hata sielewi na ukifikiria nina nyege hapa nilipo
Nakuja pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom