Mkuu kuna mambo mengi sana utapaswa kujibu kabla ya kupokea ushauri........
Mana uzoefu unaonyesha mpk mwanaume akikuambia hivyo basi kuna mambo kadhaa ambayo ameyaona kutoka kwako na hayajampendeza.
1. Je kishawahi kukuhisi au kuona tabia za usaliti ktk mapenzi yenu?
2. Je huwa unasifia vitu/wanaume vy/wa namna gani?
3. Mnapokua faragha au akishatupia bao hilo la kwanza je sura yako na maneno uyanenayo huwaje? Je huwa unamsifia kwa alichokifanya???? Kama hua unaonyesha kukereka kwake kwa kuwahi kukojoa basi bibie sahau kabisa kukojolewa bao la pili na mwenzio.
4. Je ni kwa kiasi gani unaweza kuvumilia hasira zako hata kama umeudhiwa na mwenzi wako? Miongoni wa sifa nyingi ni kuwa mke mzuri ni yule ambae anadhibiti hasira zake pindi anapoudhiwa na mumewe lkn pia ni hodari jikoni na pia ananukia vizuri.
5. Je mwanzo wa mahusiano yenu alikua hivyooo au hali hiyo imebadilika baada ya kuanza kuishi pamoja? Kama hakua hivyo basi angalia nini kilichosababisha mambo yende mrama.
Endelea kutafakari mkuu mengine na kuchukua ushauri wa wadau wengine.
Sent using
Jamii Forums mobile app