Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Zaidi ya kutafuta shababi lingine lakukutafuna nje huko hakuna msaada zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
MP yangu umeiona...!!??[emoji39] [emoji39] [emoji39]This is jf buana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa my ntajarbu japo nikimuulza huwa ananijibu eti anakuwa amechoka
Sent using Jamii Forums mobile app
HapanaMP yangu umeiona...!!??[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Basi sawa, utakapo fungua kufuli naomba uniambie...[emoji17] [emoji17]Hapana
Habari zenu naombeni ushauri jamani Mimi na mme wangu tunakaa chumba kimoja kitanda kimoja tunajifunika shuka moja lakini cha kunishangaza sahivi tuna wiki 3 hatujafanya mapenzi nikiwa na hamu nikimuanza ananiambia amechoka sasa sielewi shida ni nini na kipindi cha nyuma tukifanya huwa anakojoa haraka yani ndani ya dk 5 ameshakojoa na harudii tena bao la Pili tunalala namwambia twende hospital hataki kwakweli niko njia panda hata sielewi tatizo ni nini maana hata huko nyuma tukifanya mapenzi ni mpaka Mimi nimuanze yani hawezi hata kusema mke wangu nimekumisi mpaka Mimi nianze usumbufu ndo tufanye. Naombeni mawazo yenu nifanyaje maana hapa na mawazo hata sielewi na ukifikiria Nina nyege hapa nilipo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3]Basi sawa, utakapo fungua kufuli naomba uniambie...[emoji17] [emoji17]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Dahhhhh [emoji25] [emoji25][emoji3][emoji3]
LibomoeDahhhhh [emoji25] [emoji25]
Ebu nifanye wepesi mkuu...Libomoe
Acha hizo na wewe, hakuna kufuli labda umeweka weweEbu nifanye wepesi mkuu...
Mungu anakuona wallah....Acha hizo na wewe, hakuna kufuli labda umeweka wewe
WAKUU,Habari zenu naombeni ushauri jamani Mimi na mme wangu tunakaa chumba kimoja kitanda kimoja tunajifunika shuka moja lakini cha kunishangaza sahivi tuna wiki 3 hatujafanya mapenzi nikiwa na hamu nikimuanza ananiambia amechoka sasa sielewi shida ni nini na kipindi cha nyuma tukifanya huwa anakojoa haraka yani ndani ya dk 5 ameshakojoa na harudii tena bao la Pili tunalala namwambia twende hospital hataki kwakweli niko njia panda hata sielewi tatizo ni nini maana hata huko nyuma tukifanya mapenzi ni mpaka Mimi nimuanze yani hawezi hata kusema mke wangu nimekumisi mpaka Mimi nianze usumbufu ndo tufanye. Naombeni mawazo yenu nifanyaje maana hapa na mawazo hata sielewi na ukifikiria Nina nyege hapa nilipo
Sent using Jamii Forums mobile app
WAKUU,
WALA MSIMALIZE MANENO,
HUU UMEANDIKWA NA MWANAUME MWENZETU,
HIVYO WALA MSIJISUMBUE KUFUATANA FARAGHA !!!
"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."