Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,157
- 166,115
Kuwa Malaya wa mume wako, vaa Nguo za kumpagawisha, achana na Madeira, jiweke safi, badilisha kauli zako, muanzishie mahaba kuanzia akiwa kwenye mahangaiko yake mpaka apagawe aone muda wa kutoka kazini unachelewa kufika, kuwa mpishi bora, kuwa mwanamke wa ndoto za mumeo