Kulala kitanda kimoja bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu

Habari zenu, naombeni ushauri jamani

Mimi na mme wangu tunakaa chumba kimoja kitanda kimoja tunajifunika shuka moja lakini cha kunishangaza sasa hivi tuna wiki 3 hatujafanya mapenzi.

Nikiwa na hamu nikimuanza ananiambia amechoka, sasa sielewi shida ni nini na kipindi cha nyuma tukifanya huwa anakojoa haraka yani ndani ya dk 5 ameshakojoa na harudii tena bao la Pili tunalala.

Namwambia twende hospitali hataki kwa kweli niko njia panda hata sielewi tatizo ni nini maana hata huko nyuma tukifanya mapenzi ni mpaka mimi nimuanze yani hawezi hata kusema mke wangu nimekumiss mpaka mimi nianze usumbufu ndio tufanye.

Naombeni mawazo yenu nifanyeje maana hapa na mawazo hata sielewi na ukifikiria nina nyege hapa nilipo
Kama dk 3 anakojoa huyo atakuwa jogoo mchinje tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nahisi tatizo liko kwenye mawasiliano, wewe huwezi kum face na kumwambia hili tatizo, na yeye hawezi kuongea na wewe na kukuambia tatizo lake, je hiujawahi kum criticise kwenye jambo lolote?
 
Habari zenu, naombeni ushauri jamani

Mimi na mme wangu tunakaa chumba kimoja kitanda kimoja tunajifunika shuka moja lakini cha kunishangaza sasa hivi tuna wiki 3 hatujafanya mapenzi.

Nikiwa na hamu nikimuanza ananiambia amechoka, sasa sielewi shida ni nini na kipindi cha nyuma tukifanya huwa anakojoa haraka yani ndani ya dk 5 ameshakojoa na harudii tena bao la Pili tunalala.

Namwambia twende hospitali hataki kwa kweli niko njia panda hata sielewi tatizo ni nini maana hata huko nyuma tukifanya mapenzi ni mpaka mimi nimuanze yani hawezi hata kusema mke wangu nimekumiss mpaka mimi nianze usumbufu ndio tufanye.

Naombeni mawazo yenu nifanyeje maana hapa na mawazo hata sielewi na ukifikiria nina nyege hapa nilipo
Mwenzio anakaribia kufukuzwa Kazi ujue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uhakika anakupenda, kama toka mwanzo wewe ndio una fosi kupewa Dushe jua muda wa ku pretend jamaa umeisha..

Ule usemi wa Muda utaongea ndio umetimia. JIONGEZEE
 
Habari zenu, naombeni ushauri jamani

Mimi na mme wangu tunakaa chumba kimoja kitanda kimoja tunajifunika shuka moja lakini cha kunishangaza sasa hivi tuna wiki 3 hatujafanya mapenzi.

Nikiwa na hamu nikimuanza ananiambia amechoka, sasa sielewi shida ni nini na kipindi cha nyuma tukifanya huwa anakojoa haraka yani ndani ya dk 5 ameshakojoa na harudii tena bao la Pili tunalala.

Namwambia twende hospitali hataki kwa kweli niko njia panda hata sielewi tatizo ni nini maana hata huko nyuma tukifanya mapenzi ni mpaka mimi nimuanze yani hawezi hata kusema mke wangu nimekumiss mpaka mimi nianze usumbufu ndio tufanye.

Naombeni mawazo yenu nifanyeje maana hapa na mawazo hata sielewi na ukifikiria nina nyege hapa nilipo
Ningekwambia njoo pm lakini dah, ngoja nitulie tu,

kwahiyo shida yako usokomezwesokomezwe dushelele tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom