logframe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,242
- 5,555
Nimeandika nikafuta
Wewe ilitakiwa upate mume kutoka CHAPUTA, hakika usingejuta. Hamna mzembe.Habari zenu naombeni ushauri jamani Mimi na mme wangu tunakaa chumba kimoja kitanda kimoja tunajifunika shuka moja lakini cha kunishangaza sahivi tuna wiki 3 hatujafanya mapenzi nikiwa na hamu nikimuanza ananiambia amechoka sasa sielewi shida ni nini na kipindi cha nyuma tukifanya huwa anakojoa haraka yani ndani ya dk 5 ameshakojoa na harudii tena bao la Pili tunalala namwambia twende hospital hataki kwakweli niko njia panda hata sielewi tatizo ni nini maana hata huko nyuma tukifanya mapenzi ni mpaka Mimi nimuanze yani hawezi hata kusema mke wangu nimekumisi mpaka Mimi nianze usumbufu ndo tufanye. Naombeni mawazo yenu nifanyaje maana hapa na mawazo hata sielewi na ukifikiria Nina nyege hapa nilipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake tunakisea sana,vinywa vyetu vinashindwa kuchagua nivipi vya kusema sehemu gani,kwa watu gani na wakati gani.Tunakosea sana na tunajishusha thamani sanaNdiyo maana nina tabasamu tele.
DuuuhhhhhhMkuu, hapo kwenye umaliziaji....[emoji39] [emoji39]
Naomba tuonane PM tafadhali....[emoji12] [emoji12]
Tatizo tunakuwaga na magubu sanaMwanamke unaweza ukawa ndiyo tatizo unabaki kumlaumu mume!
Kumbe mambo yapo ndani ya uwezo!
Anapuyanga mbaya,tatizo hana siri.Hasira zake ameziweka wazi sanaHUYU ATAKUA NYUKI MASIKIONI MWA MSHKAJI, MTU KILA UZI UNAMLAUMU MMUMEO MITANDAONI, HUKO NYUMBANI ITAKUWAJE?? HATA MIMI NINGEHAMA NA NYUMBA KABISA AU NARUDI BWAX KILA SIKU.
Je mwanzoni alikuwa anafanya mara ngapi au tangu mkae pamoja hali ndo hivyo hivyo?? Nijibu nitakwambia kituHabari zenu naombeni ushauri jamani Mimi na mme wangu tunakaa chumba kimoja kitanda kimoja tunajifunika shuka moja lakini cha kunishangaza sahivi tuna wiki 3 hatujafanya mapenzi nikiwa na hamu nikimuanza ananiambia amechoka sasa sielewi shida ni nini na kipindi cha nyuma tukifanya huwa anakojoa haraka yani ndani ya dk 5 ameshakojoa na harudii tena bao la Pili tunalala namwambia twende hospital hataki kwakweli niko njia panda hata sielewi tatizo ni nini maana hata huko nyuma tukifanya mapenzi ni mpaka Mimi nimuanze yani hawezi hata kusema mke wangu nimekumisi mpaka Mimi nianze usumbufu ndo tufanye. Naombeni mawazo yenu nifanyaje maana hapa na mawazo hata sielewi na ukifikiria Nina nyege hapa nilipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mwenza hujasoma comments? Lawama zooote....hivi unaelewa ninaposema zote? Yani zote katwishwa yeyeJanga la taifa hilo. Utashangaa unalaumiwa wewe.
Mweeeeh!! Hata sijazisoma ila nilihisi tu atalaumiwa yeye maana si unajua wanaume wa kiafrika ni malaika, hawanaga shida ni sisi wanawake tu ndio tatizo.Kwani mwenza hujasoma comments? Lawama zooote....hivi unaelewa ninaposema zote? Yani zote katwishwa yeye
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza nimejitahidi kupitia threads zako hapo nyuma kabla ya kukushauri, na nimegundua haya yafuatayo:-
1. Umetawaliwa na hisia kwamba mumeo sio msomi.
2. Unahisi kwamba aina ya kazi anayo ifanya mumeo sio kazi nzuri.
3. Unaumizwa na umasikini na unaonekana una tamaa ya mafanikio.
4. Una ongea sana na kumsema mwanaume wako, hata amefikia hatua ya kukuchukia/hakupendi lakini ameamua kunyamaza tu.
5. Unadanganywa na hisia kwamba wapo wanaume bora zaidi ya huyo mwanaume wako.
Yaani ni zaidi ya malaika, kila kunapotokea kutokuelewana kati ya mwanaume na mwanamke siku zote kosa ni la mwanamkeMweeeeh!! Hata sijazisoma ila nilihisi tu atalaumiwa yeye maana si unajua wanaume wa kiafrika ni malaika, hawanaga shida ni sisi wanawake tu ndio tatizo.
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Aaah kabisa, wao huwa hawakosei kabisa. Yaani ni wao tu wa kutoa siri za ndoa zao humu(ilhali wao ndio wanasifiwa vifua) ila akija mwanamke kutaka ushauri basi atajuta.Yaani ni zaidi ya malaika, kila kunapotokea kutokuelewana kati ya mwanaume na mwanamke siku zote kosa ni la mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakwambia utafurahi, tena utaondoka umesuuzika haswaa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Jf ukitaka ujute basi fungua uzi kuwalaumu wanaume, watakufurahisha tu na nafsi yako.
Dada, naona umeanza tabia ya kumfundisha wifi wako tabia mbaya eehhh.....Aaah kabisa, wao huwa hawakosei kabisa. Yaani ni wao tu wa kutoa siri za ndoa zao humu(ilhali wao ndio wanasifiwa vifua) ila akija mwanamke kutaka ushauri basi atajuta.