Kula utumbo kama ni kitu imenishinda

Kula utumbo kama ni kitu imenishinda

Unaeza kuta mtoa mada hamaanishi utumbo kama utumbo wa kupikwa, ila watu wa jukwaa hili wameshindwa kutafsiri hii code kwa namna mbadala Mwamba 777
Kama futa la kutosha analo kama kia la Bata linavo tikiswa, kuliwa utumbo ni halali yake

Bata akichinjwa hamna kuacha kitu ukiacha ni hasara kubwa, lazma mpaka utumbo uliwe
 
Utumbo pekee sili ni ule kama utumbo mpana hivi, ila ule kitabu, ule kama majaruba ya mpunga, ule mgongo sijui... ni balaa ukute umeungiwa mboga za majani na nazi, ugali unasogea
 
Mambo ni Yapendayo, Mwanza 🔥🔥🔥🔥
PXL_20260426_132706596.jpg
 
Back
Top Bottom