Kula utumbo kama ni kitu imenishinda

Kula utumbo kama ni kitu imenishinda

Huwa nawashangaa sana watu wanakula utumbo wa ng'ombe mbuzi na wanyama wengine .

Hivi mnawezaje wakuu kula utumbo kwanza huwa una kishombo fulani hivi huwa sikielewi yani unaweza tapika ila kuna watu husema aaah utumbo ni mtamu kuliko nyama yakawaida.

Utumbo sio kitu cha kula kabsa wakuu ile so nyama
Utumbo unatunza uchafu. Hivyo msile wala kupita nao. Siyo mzuri kiafya. Ninathibitisha hivi nikiwa kama Daktari mbobevu wa mitishamba.

Utumbo ni uchafu ndugu zangu. Hivyo kuleni nyama iliyo safi. Sawa rafiki yangu cocastic! Usiwauzie wateja wako utumbo.
 
Mpwa hivi hii ni kitu gani mana huwa naisikia tu?
Hii ni mchanganyiko wa kiwele laini, dam, nyongo na chumvi huchemshwa kwa pamoja.
Wengi wanaitumia kulia nyama hasa nyama choma wakiamini inaongea ladha na kusaidia mmeng'enyo wa chakula.
Wakazi wa mikoa ya Mara, Maasai, Kanda ya ziwa, Kenya, South Sudan ndio watumiaji sana wa Kichuri
 
Tupia kapicha Classmate.
 
Ooh. Kuumbe mi basi nikajua ni aina ya chakula. 😀
 
Mazoe mkuu chukulia Mimi samaki fresh ukimuunga labda niwe ugenini ndo nakula kwangu sili na hawezi pika bila kuweka supu yangu halikadhalika kwenye kuku wangu kienyeji nikichinja kuunga hawezi hata nyama ya mbuzi, ng'ombe hawezi kuniungia.

Ila wao huwa wanaunga hivyo siwaingilii uchaguzi wao.

Mzigo kama huu si unaona hadi unatoa damu? Huu upo pure Bado ukiuchemsha mchemsho wake supu inakuwa kama maziwa nzito nyeupe na mafuta yake.

Changamoto kubwa huko Dar mnapata wamekaa sana kwenye fridge.

Kuna mwaka niliwahi mbishia dada nikimwambia sio sato wetu Hawa kipindi naanza kula wa kwenye majokofu hawana ladha pamoja na kwamba alikuwa anaunga na viungo kedekede Bado hata walinishinda hadi nilipozoea.
View attachment 3579395
Ushauri ukipata mtu anasafiri kwa ndege kutoka mwanza muagize anunua samaki kama huyu huwa hawaribiki zaidi ya masaa5 bila barafu wala Nini akitolea tu utumbo anaweza kauka kabisa

Mwanza-Dar wastani wa 1:30 anafika Bado anautamu wake Kisha chemsha supu hiyo umalizapi Katie ushuhuda kwa mwamposa😂

View attachment 3579396

Mambo ni Yapendayo, Mwanza 🔥🔥🔥🔥
 
Attachments

  • PXL_20260313_161009961.jpg
    PXL_20260313_161009961.jpg
    483.4 KB · Views: 12
Huwa nawashangaa sana watu wanakula utumbo wa ng'ombe mbuzi na wanyama wengine .

Hivi mnawezaje wakuu kula utumbo kwanza huwa una kishombo fulani hivi huwa sikielewi yani unaweza tapika ila kuna watu husema aaah utumbo ni mtamu kuliko nyama yakawaida.

Utumbo sio kitu cha kula kabsa wakuu ile so nyama
Utumbo na chapatii 😋😋
Vijana mliozaliwaaaa masaki mna taaabu
 
Mazoe mkuu chukulia Mimi samaki fresh ukimuunga labda niwe ugenini ndo nakula kwangu sili na hawezi pika bila kuweka supu yangu halikadhalika kwenye kuku wangu kienyeji nikichinja kuunga hawezi hata nyama ya mbuzi, ng'ombe hawezi kuniungia.

Ila wao huwa wanaunga hivyo siwaingilii uchaguzi wao.

Mzigo kama huu si unaona hadi unatoa damu? Huu upo pure Bado ukiuchemsha mchemsho wake supu inakuwa kama maziwa nzito nyeupe na mafuta yake.

Changamoto kubwa huko Dar mnapata wamekaa sana kwenye fridge.

Kuna mwaka niliwahi mbishia dada nikimwambia sio sato wetu Hawa kipindi naanza kula wa kwenye majokofu hawana ladha pamoja na kwamba alikuwa anaunga na viungo kedekede Bado hata walinishinda hadi nilipozoea.
View attachment 3579395
Ushauri ukipata mtu anasafiri kwa ndege kutoka mwanza muagize anunua samaki kama huyu huwa hawaribiki zaidi ya masaa5 bila barafu wala Nini akitolea tu utumbo anaweza kauka kabisa

Mwanza-Dar wastani wa 1:30 anafika Bado anautamu wake Kisha chemsha supu hiyo umalizapi Katie ushuhuda kwa mwamposa😂

View attachment 3579396
Huo wali unafanana na ugali!
 
Huwa nawashangaa sana watu wanakula utumbo wa ng'ombe mbuzi na wanyama wengine .

Hivi mnawezaje wakuu kula utumbo kwanza huwa una kishombo fulani hivi huwa sikielewi yani unaweza tapika ila kuna watu husema aaah utumbo ni mtamu kuliko nyama yakawaida.

Utumbo sio kitu cha kula kabsa wakuu ile so nyama

Mimi nikienda sehemu kunywa supu kwanza naulizia kama Supu ya utumbo wa ng'ombe ipo kama hakuna ndiyo naagiza supu ya nyama ya ng'ombe.

Ukipata Supu ya utumbo tena wanaita ule mgongo ni hatari sheikh.
 
Wazungu hawawezi kula supu ya kongoro, harufu yake inawashinda.
 
Huwa nawashangaa sana watu wanakula utumbo wa ng'ombe mbuzi na wanyama wengine .

Hivi mnawezaje wakuu kula utumbo kwanza huwa una kishombo fulani hivi huwa sikielewi yani unaweza tapika ila kuna watu husema aaah utumbo ni mtamu kuliko nyama yakawaida.

Utumbo sio kitu cha kula kabsa wakuu ile so nyama
Sio ajabu, Watu wengi tu hawewezi kula utumbo, makongoro au mkia.
 
Mimi nikienda sehemu kunywa supu kwanza naulizia kama Supu ya utumbo wa ng'ombe ipo kama hakuna ndiyo naagiza supu ya nyama ya ng'ombe.

Ukipata Supu ya utumbo tena wanaita ule mgongo ni hatari sheikh.
Kwa nini walevi wengi bongo wanapenda supu ya utumbo?
 
Unaeza kuta mtoa mada hamaanishi utumbo kama utumbo wa kupikwa, ila watu wa jukwaa hili wameshindwa kutafsiri hii code kwa namna mbadala Mwamba 777
 
Back
Top Bottom