Kula utumbo kama ni kitu imenishinda

Kula utumbo kama ni kitu imenishinda

Huwa nawashangaa sana watu wanakula utumbo wa ng'ombe mbuzi na wanyama wengine .

Hivi mnawezaje wakuu kula utumbo kwanza huwa una kishombo fulani hivi huwa sikielewi yani unaweza tapika ila kuna watu husema aaah utumbo ni mtamu kuliko nyama yakawaida.

Utumbo sio kitu cha kula kabsa wakuu ile so nyama
Ila dagaa unawala bila kutoa utumbo!
 
Huwa nawashangaa sana watu wanakula utumbo wa ng'ombe mbuzi na wanyama wengine .

Hivi mnawezaje wakuu kula utumbo kwanza huwa una kishombo fulani hivi huwa sikielewi yani unaweza tapika ila kuna watu husema aaah utumbo ni mtamu kuliko nyama yakawaida.

Utumbo sio kitu cha kula kabsa wakuu ile so nyama
Asante
Kumbe tuko wengi, mimi nilitengwa nyumbani kwakukataa kula utumbo
 
Yn mm kula ugali na supu yoyote naona kama nakula ugali bila mboga
Mazoe mkuu chukulia Mimi samaki fresh ukimuunga labda niwe ugenini ndo nakula kwangu sili na hawezi pika bila kuweka supu yangu halikadhalika kwenye kuku wangu kienyeji nikichinja kuunga hawezi hata nyama ya mbuzi, ng'ombe hawezi kuniungia.

Ila wao huwa wanaunga hivyo siwaingilii uchaguzi wao.

Mzigo kama huu si unaona hadi unatoa damu? Huu upo pure Bado ukiuchemsha mchemsho wake supu inakuwa kama maziwa nzito nyeupe na mafuta yake.

Changamoto kubwa huko Dar mnapata wamekaa sana kwenye fridge.

Kuna mwaka niliwahi mbishia dada nikimwambia sio sato wetu Hawa kipindi naanza kula wa kwenye majokofu hawana ladha pamoja na kwamba alikuwa anaunga na viungo kedekede Bado hata walinishinda hadi nilipozoea.
PXL_20260425_163533236.jpg

Ushauri ukipata mtu anasafiri kwa ndege kutoka mwanza muagize anunua samaki kama huyu huwa hawaribiki zaidi ya masaa5 bila barafu wala Nini akitolea tu utumbo anaweza kauka kabisa

Mwanza-Dar wastani wa 1:30 anafika Bado anautamu wake Kisha chemsha supu hiyo umalizapi Katie ushuhuda kwa mwamposa😂

PXL_20260408_170551251.jpg
 
Huwa nawashangaa sana watu wanakula utumbo wa ng'ombe mbuzi na wanyama wengine .

Hivi mnawezaje wakuu kula utumbo kwanza huwa una kishombo fulani hivi huwa sikielewi yani unaweza tapika ila kuna watu husema aaah utumbo ni mtamu kuliko nyama yakawaida.

Utumbo sio kitu cha kula kabsa wakuu ile so nyama
Utumbo ni healthier kuliko nyama ya kawaida!
 
Mshamba... wewe, ama mumeo hajui kupika ! Ulishawahi kula tumbo roast ? Je wa kuchoma ? Unajua kichuri ni nini ?
 
Mimba changa hizo mwambie mhusika ajue kabisa ajiandae kutumwa ucku kutafuta mavi ya kobe
 
Mi nakula japo si sana tena nikiwa na hamu nao nikishauchemsha ukaiva huwa nauweka kwenye mboga ya majani halafu naweka nazi. Unakuwa mtamu tu.

Kwenye hili unapitwa Mkuu.

#Utumbowang'ombetu.
 
Kuna uhusiano wowote ule kati ya kula utumbo na kuongea utumbo?

Nauliza tu.
 
Back
Top Bottom