Kula ugali usiku nacho ni kipimo cha umaskini

Yaani ulivyosema umaskini ulikuwa una maanisha nini!?
 
Enzi ninapiga kunywaji nilikuwa ninapiga ugali saa sita- saba nikirudi home, ninalala fresh lakini nilikuwa ninapiga gym once or twice a week
duuh! mdada wa kwa mtogole, saivi umeacha kupiga glass au unazimuaga kidogo
 
Kiujumla tu UGALI sio chakula cha kuliwa ukiwa na pesa, kinadumaza akili, software nzima ya binadamu inaathirika sana na aina za vyakuala. Ugali is number 1 killer of intelligence
 
Basi Mimi ni masikini sana, kwa mapenzi yangu na ugali saa yeyote ni ugali time
Sahihi. Akipendacho mtu hakina hila machoni. Halafu "there is no fixed time for breastfeeding"! Sasa basi, ni lini tumeanza kupangiana la kufanya na kupenda!?
 
Ugali kidogo, wali kidogo, juisi, nyama ya kuku / samaki, matunda 3. Usiku unaweza kula hivyo.

Umasikini ni kwako uliyeletewa mfumo wa elimu na mwiingereza na ukajifanya kwenda zaidi ya mwiingereza ili hali yeye anakula pia.

Unakula kidogo kwa kiasi sio unakula lisahani likuubwa lazima igome kusagika. [emoji51] [emoji16]
 
Basi Mimi ni masikini sana, kwa mapenzi yangu na ugali saa yeyote it's ugali time
Mm mwenyewe huwa namwambia hata mchumba wangu hata tukioana tuna nunua unga kilo 10 mchele kilo 3 ciz napenda sana ugali, yani huwa sifikiri chakula kingine zaidi ya ugali labda pilau lkn wali mweupe naona kama naidhurumu nafsi.

......
 
ha ha haa!! mimi kwa kweli kama haujanianadalia/kuandaa ugali usiku siwezi kukuaelewa aisee!!

Hakuna kitu nakipenda kama ugali

Na vitu amabavyosipendi kula usiku ni ndizi, tambi na chips kwa kweli sijawahi kuwa mpenzi wa hivyo vitu.
Mtoa mada shule ni Bashite. Ulivyotaja vyote ni wanga. Na mmeng'enyo wa wanga huanzia kinywani. Your so foolish
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…