The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,263
Ugali ni chakula kizito na digestion yake inafanyika taratibu hivyo matokeo yake digestion haiishi, chakula kinachacha na kuwa kigumu.
Ugumu wa chakula unafanya utumbo kukakamaa na hivyo kuongeza mgandamizo kwenye "diaphram' akili ita sence abnormality kutokana na huo mgandamizo.
Kwa kuwa umelala abnormality ndio hapa watu wanaanza kuota ndoto za ajabu na kuamka asubuhi wamechoka wakisingizia wachawi.
Usiku tunatakiwa tule chakula laini( tambi, wali, viazi, magimbi na ndizi) ila kwa sababu ya hali zetu za kimaskini wengine hatumudu hivyo vyakula hivyo ni mwendo wa ugali na maharage mbaya zaidi tunakula kiwango kile kile kama cha mchana.
Hii nayo ni aina ya umaskini kama umaskini mwingine! .

...kinena!!!