Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
Swali linanitatiza, jawabu natafutia,
Nimebaki ninawaza, nani atanipatia,
Sina wa kunijuza, bora kuwaulizia,
Mtu akila ndotoni, huamka ameshiba?
Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji a.k.a Vuvuzela Matata)
unaamini ktk uchawi????????/Zipo sababu mbalimbali za kula ndotoni....mojawapo niliowahi kusikia ni kutoka kwa wachawi kwamba wao huwalisha watu ndotoni ili kuwaroga......huwalisha hata nyama za watu nk. Kwa kundi hili lengo lao sio wanaowalisha WASHIBE
Ni vema kuwa mtu wa ibada ili kuepuka mipango na hila hii mbovu ya kipepo
mix with yours
shairi zuri kama pic ya huyo mrembo hapoShairi zuri sana na kesho lete la "kutapika ndotoni"
Swali linanitatiza, jawabu natafutia,
Nimebaki ninawaza, nani atanipatia,
Sina wa kunijuza, bora kuwaulizia,
Mtu akila ndotoni, huamka ameshiba?
Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji a.k.a Vuvuzela Matata)
Swali linanitatiza, jawabu natafutia,
Nimebaki ninawaza, nani atanipatia,
Sina wa kunijuza, bora kuwaulizia,
Mtu akila ndotoni, huamka ameshiba?
Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji a.k.a Vuvuzela Matata)
Swali linanitatiza, jawabu natafutia,
Nimebaki ninawaza, nani atanipatia,
Sina wa kunijuza, bora kuwaulizia,
Mtu akila ndotoni, huamka ameshiba?
Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji a.k.a Vuvuzela Matata)
Heeheeheee! Wewe Mzee kasheshe tupu... Kuna 'ule mlo ule', unaamka umechangamka sana, hasa ukiwa umeota unakula 'chakula' chenye mvuto!! Ila ukishaamka sasa unatamani 'ukipate' kiuhalisia..Swali linanitatiza, jawabu natafutia,