Kukosolewa. . . .

Kukosolewa. . . .

Umemuona eehhh
Anashabikia mpaka mpira kati ya Argentina ya tandale na brazil ya mbagala

hahah tutake radhi bwana....at least moja timu kubwa hapo!

Sawa na Brazili ya Brazili na Taifa starts ya Maximo labda!

😀
 
Gee..unajua nimejikuta nacheka ghafla kwa jinsi NN alivyo comment....yaani kama vile kawa mpolee ghafla

Sasa mkuu unajua dah ngoja nimalizie:lol::lol::lol:
Hahhahahaha haya bana we endelea kushangaa
 
kabisa mkuu..

Ila dunia hii sasa wengi hupenda kurembwa na mapambo ya makaburi .
Nikimaanisha wengi hupenda kusifiwa hata kama wanaelewa kabisa si
ya haki. hupenda kufurahishwa nafsi pasipo..

Chukulia hapa JF..
kuna baadhi wanapenda kusifiwa sana
ukimkosoa tu basi . Je wadhani haao watakuwa hawapati
faraja hizo za kusifiwa nje ya JF? kwa hiyo wanakuja hapa kutafuta
umaarufu fulani? na kuwasifia kunawatia moyo na kuwaongezea hizo faraja..?

Dah! AD! Vibaya hivyooo...unapiga madongo bila hata huruma!!!! halafu unataka nikupe ruhusa unikosoe? hahahahah lol!! 🙂🙂
 
Heheheee kweli lakini. Na wengine sasa wakishajipatia vigroupie ndo inakuwa tabu tupu! Wakimuona tu kaosha kinywa chake hao wanakurupuka kugonga vi likes na vi thanks vyao vya kinafiki. I really hate groupies, especially the blind ones.


Mhhhhhh! Mie sitii neno banaaa 🙂🙂
 
ni hulka tu nadhani. Wengine hujiona wao hawawezi kukosea na tena ndo ukute yule mwenye dharau, yaani yeye ana watu wake amesha waweka kwenye category ya maamuma, sasa subutu yako ukamkosoa utajuta!! (watu wa aina hii wao maoni yao tu ndo sahihi wanavodhani)

Kukataa kukosolewa ni upumbuvu, muungwana hupenda kukosolewa au hata kusikia maoni ya mwingine na huwezi jua utajifunza kitu.

BUT again Lizzy, kuna watu huwa wana tabia ya kukosoa kwa 'kukatisha tamaa', hao huwa hawana nia njema!
anyways, binafsi anayenikosoa naamini ananipenda na ananitakia mema...

Liz, mimi napenda kujikita kwenye hiyo pint hapo. Kuna watu wengine wanakosoa kwa kuvunja moyo kabisa. This is evidenced by most of the mathematics teachers, wanatoa kasoro kwa kuwachapa sana wanafunzi and at the end of the day , wanafunzi wanachukia hesabu tu kwa sababu wanachapwa sana na sio kwa kwua ni ngumu. wanakosa hata moyo wa kujaribu kujifunza.


A very simple example: one day in our class, mwalimu alitupa journal articles tusome and kuonyesha mapungufu na strong points! At the end of the day, we had only weaknessess, without strong points. Mind you, those were published articles, reviewed by professionals in peer review journals. I remember her conclusion: What is wrong with your thinking process? The answer was simple: Negative thinking (we think negatively) , that is all most of us are used to.......
 
...kukosoana bila kukashifiana ni kipimo cha busara.:A S-coffee:
 
hii thread ilinipitaje???? lol

...umeishtukia ee? nami ngoja ngoja mpaka leo hii ndio nimepata cha ku post...
Lizzy ujue kila unavyonikosoa nami ndio nazidi ku Google la kukujibu hapa...lol!
 
Mmh, kwa hiyo ili upewe mzigo hadi upeleke gunia la mkaa?

We nawe si umnunulie orxy?
Ndo mana wanawachubua ndulele zenu kutwa kucha wachota mkaa kwa mikono hadi inakomaa.
Mkienda faragha unakuwa kama unashikwa kwa msasa.

Mwalim wangu. Wa uhusiano baina ya mapenzi na gunia la mkaa.
 

...umeishtukia ee? nami ngoja ngoja mpaka leo hii ndio nimepata cha ku post...
Lizzy ujue kila unavyonikosoa nami ndio nazidi ku Google la kukujibu hapa...lol!
Hahaha Mbu pole kwa hiyo kazi nnayokupa aiseee.Ngoja nipunguze kukosoa.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom