Kukosolewa. . . .

Kukosolewa. . . .

Halafu naona mods wameuunganisha uzi wako.

Tena bora hata usimtangaze maana ntakuwa kila nikimwona ameandika kitu nam-challenge mpaka abadili ID.
We ndio umesababisha muonee,,,,ahhahaja utamuweza yule alivyo mbishii duniaaaaa
 
Mimi ni mbishi sana, halafu kabla ya kubishana nahakikisha nina source za ku-backup ubishi wangu.

Wakati nasoma kuna kipindi watu walikuwa hadi wananiomba niwe upande wao kwenye ubishi, maana anajua nikishakuwa upande flani ndo tumeshashinda.

Au kama una mahali unaenda unaniachia nakushikia ubishi, ukirudi unaendeleza mwenyewe.
 
Hahahahaha
Basi kuanzia leo ntakuwa nakuita unisaidie kubishanaaa
 
Mi nadhani ni hulka ya mwanadam kupenda kukubarika, au kupendwa na kila itu, hivyo basi tunapokosolewa odio maana tunaumia, japo baada ya muda mkosolewaji anaweza kubari kuwa kweli hakuwa sahihi.
 
Back
Top Bottom