Kukosolewa. . . .

Hahaha. . . hiyo hata mimi naikubali.
Unabembeleza alafu ndo unakosoa ili isimuume sana . . . sawa na mtoto unavyoanza kumbeleza kwa maneno matamu kabla ya kumkanya kwa kosa alilofanya.

kumbe Jee!!!
 
hahahaaaa Gee 'darling'....(hebu soma huko hii post ukiskip.....hooo)

Sio hivyo .... inakuwa hivi

"Gee dear, siku zote nakukubali sana kwenye misimamo yako, kiasi cha kuwa ukiandika wewe huwa sina cha kuchangia zaidi. Itabidi uje unifundishe na mie wapi ulipopata ustadi wa kujieleza hivi!

Lakini dear, mimi naona protocol lazima ifuatwe, kwa sababu unajua duniani tunaishi kwa hisia tu. Kwa nini umkere mwengine

Btw, tukitoka hapa pita home kwangu nimekuandalia zawadi yako"

Hahaha lazima uwe na paragraph ya kufungia kwa kubembeleza tena, wewe itifaki hujaiweza :D
 
kabisa mkuu..

Ila dunia hii sasa wengi hupenda kurembwa na mapambo ya makaburi .
Nikimaanisha wengi hupenda kusifiwa hata kama wanaelewa kabisa si
ya haki. hupenda kufurahishwa nafsi pasipo..

Chukulia hapa JF..
kuna baadhi wanapenda kusifiwa sana
ukimkosoa tu basi . Je wadhani haao watakuwa hawapati
faraja hizo za kusifiwa nje ya JF? kwa hiyo wanakuja hapa kutafuta
umaarufu fulani? na kuwasifia kunawatia moyo na kuwaongezea hizo faraja..?

hehehee ujue JF ni reflection tosha tu ya maisha nje ya hapa

sasa humu pia wapo 'wanafiki' wanaosifia hata 'pasipostahili'
cha muhimu bana wewe kuwa wewe tu (usiwe kichwa ngumu hutaki kukoselewa lakini). usiandike kitu kumrodhisha/kuridhisha watu (na utaweza basi kama si kuishia kua mnafiki)
 
Ukiwa unatoa opinion yako kama vile unavyofikiri mara nyingi huwezi popular kwenye sehemu kama hizi

Watu wanapenda kama wakikosolewa basi kwanza kuwe na paragraph nzima ya utangulizi ambayo itampembejea kwa kutumia "darling" kidogo na "dear" nyingi kabla ya kumweleza alichokosea.

Sasa kama hiyo protocol huiwezi ndio unaona watu wanachukia.

hahahahahah lol
Gaijin hapo kwenye red umenigusa lol

kuna watu wako sensitive sana kwa hiyo unawabembeleza
na kuwafungua midomo ili uwape uji..

unampa kidogo kidogo kwanza, halafu unatoa point yako
maana ukiangusha tu bomu mtu anaweza afe kwenye keybord.
 
Lizzy Li,
Unamjua Regia Mtema? Kama unamjua kipindi kile cha uchaguzi uliona alivyokuwa anakosolewa? Kama uliona hebu nambie kama ile mikosoo yote ilikuwa ni ya haki.

Na wangapi humu huwa mnajikosoa wenyewe na kukiri katika nafsi zenu kuwa kweli mlikosea? Manake ni rahisi sana kuona kuwa watu wengine ni wagumu kukubali au kupokea kukosolewa lakini wewe mwenyewe ukawa hujioni.

Na wale watu (groupies) ambao wameshajijengea dhana potofu kuwa fulani mwafulani hatoagi pumba na akiandika kitu hata kama kakosea wao wana orgasm tu huwa wananiboa. Yuuccck!
 
Hahahaha. . . .hicho ndicho wanachotaka sicho nilicho tayari kutoa.

Nyeusi ni nyeusi hata nikiipamba vipi siwezi iita blue.

Mimi nakubaliana na wewe moja kwa moja. Lakini kuishi hivyo lazima uwe na ngozi ya mamba. Uwe hujali huyo mtu alomkosoa akichukia.
 
Sio hivyo .... inakuwa hivi

"Gee dear, siku zote nakukubali sana kwenye misimamo yako, kiasi cha kuwa ukiandika wewe huwa sina cha kuchangia zaidi. Itabidi uje unifundishe na mie wapi ulipopata ustadi wa kujieleza hivi!

Lakini dear, mimi naona protocol lazima ifuatwe, kwa sababu unajua duniani tunaishi kwa hisia tu. Kwa nini umkere mwengine

Btw, tukitoka hapa pita home kwangu nimekuandalia zawadi yako"

Hahaha lazima uwe na paragraph ya kufungia kwa kubembeleza tena, wewe itifaki hujaiweza :D

hahahaaa naenda kozi kabisa basi...
 
nyie ndo mtutake radhi
kwa lipi sasa...kwani kama wewe mwenyewe ndo uliingia mkenge na kulivaa jimwanaume gumegume si wewe mweyewe..!? sio utusingizie wanaume woote..wengine tunaheshima zetu Smile..afu hata wanawake wa tabia hizi wapo...yaani wabishi ka nini ..!! kila anachosema yeye ndo anataka kiwe hivyo bila kujali mwanaume anatumia nguvu gani kutafuta....
Nrudia tena ....tutake radhi kabla sijaomba mwongozo..oohoooo..!!
 
Ila sasa kuna wengine wao ni ubishi tu...na chuki binafsi...yaani yeye anataka kukosoa tu kila uchaokifanya...hawezi kukuunga mkono kwa lolote hata liwe jema kiasi gani...yeye ni kukosoa koso koso koso tu..bila hata kujali anakosoa kwa nini...hawa nao wananikeraga sana...kosoa kwa kutoa maoni yako kwamba iweje sasa badala ya hivi...sio unakosoa tu afu ukimuuliza wewe ungefanyaje hana la kujibu...yaani ilimradi na yeye kakosoa...! kha!!??

Heheheee kweli lakini. Na wengine sasa wakishajipatia vigroupie ndo inakuwa tabu tupu! Wakimuona tu kaosha kinywa chake hao wanakurupuka kugonga vi likes na vi thanks vyao vya kinafiki. I really hate groupies, especially the blind ones.
 
hehehee ujue JF ni reflection tosha tu ya maisha nje ya hapa

sasa humu pia wapo 'wanafiki' wanaosifia hata 'pasipostahili'
cha muhimu bana wewe kuwa wewe tu (usiwe kichwa ngumu hutaki kukoselewa lakini). usiandike kitu kumrodhisha/kuridhisha watu (na utaweza basi kama si kuishia kua mnafiki)
Kukoselewa - Kukosolewa
Bht tayari nimeisha kukosoa ole wako uje kui-quote hii post......:eyebrows::eyebrows:
 
Lizzy Li,
Unamjua Regia Mtema? Kama unamjua kipindi kile cha uchaguzi uliona alivyokuwa anakosolewa? Kama uliona hebu nambie kama ile mikosoo yote ilikuwa ni ya haki.

Na wangapi humu huwa mnajikosoa wenyewe na kukiri katika nafsi zenu kuwa kweli mlikosea? Manake ni rahisi sana kuona kuwa watu wengine ni wagumu kukubali au kupokea kukosolewa lakini wewe mwenyewe ukawa hujioni.

Na wale watu (groupies) ambao wameshajijengea dhana potofu kuwa fulani mwafulani hatoagi pumba na akiandika kitu hata kama kakosea wao wana orgasm tu huwa wananiboa. Yuuccck!

Sikuona aisee ila naweza hisi kabisa kwamba sio wote waliomkosoa kwa haki.

Na kuhusu wakosoaji kukubali nao kukosolewa I can't speak for everyone ila wachache nnaowajua vizuri najua kwamba wanatoa na kupokea bila matatizo.
 
triple N ,
hapo kwenye red umenichekesha sana.
 
I am telling you many times there is a fine line between fair criticism and downright personal attacks.

But question to you Lizzy, do you sometimes perform your own reality checks? Meaning self-criticism...
 
triple N ,
hapo kwenye red umenichekesha sana.

Hahahaa...it's true my dear. If you haven't seen people like that just be a little bit more observant and you will see exactly what I'm talking about. Na usikute washaanza kutumiana PMs sasa hivi...lol
 
Mimi nakubaliana na wewe moja kwa moja. Lakini kuishi hivyo lazima uwe na ngozi ya mamba. Uwe hujali huyo mtu alomkosoa akichukia.

Kweli inabidi mtu uwe ngangari ikiwa utaamua kugawa dozi za ukweli bila kujali mhusika ataipenda au la. Ila nikifikiria kwa undani mimi hainisumbui kuona mtu anakasirika kwa kuambiwa ukweli. . . hata huruma simuonei hivyo aendelee tu kulia kulia na mimi ntagawa tu. . .
 
Back
Top Bottom