Kukosolewa. . . .

Kukosolewa. . . .

TF alispecialize kwenye kuchumbia, haya mengine ni options tu.

@TF, nakuruhusu na ntakusaidia kuchumbia binti yeyote, wakati wowote, sehemu yeyote utakapomwona anayekufaa
Nitatangaza nia soon.....very soon....
 
Dah sasa inabidi nilog out, angalieni CNN saa 2 usiku za afrika mashariki leo nitamu interview Maria sharapova
 
Dah sasa inabidi nilog out, angalieni CNN saa 2 usiku za afrika mashariki leo nitamu interview Maria sharapova

Alafu nshakujulia. . .
CNN kwangu hakamati ile tube light ya kwenye antena yangu imeungua.
 
@Ngabu

Bila ya sababu ya msingi imenijia

"Wanochonga, kimpango wao
Nawachongee, tuta komaa nao"
 
@Ngabu

Bila ya sababu ya msingi imenijia

"Wanochonga, kimpango wao
Nawachongee, tuta komaa nao"

Hapa nilipo naskiza kitu kipya kabisa cha Mzee...kinaitwa "mpenzi chokleti". Hiki ni exclusive.
 
anamaanisha uwe unamuelewa kishindindo. Lile liafrika ndivyo lilivyo.
Kumuelewa unaweza kumuelewa na then ukaacha hapo hapo usimjibu wala kureply comment zake.
Pia hata ukiona comments zake usisome kabisa au topic yake ukaacha kuisoma au ukasoma then ukapotezea
 
Kumuelewa unaweza kumuelewa na then ukaacha hapo hapo usimjibu wala kureply comment zake.
Pia hata ukiona comments zake usisome kabisa au topic yake ukaacha kuisoma au ukasoma then ukapotezea

Kumbe ndo hivyo....
 
Muanze kumuelewa badala ya kuchukulia vitu juu juu and personal.
Hahahahah Lizzy kumuelewa tunamuelewa sana na wala hakuna kitu personal hapa
Na hata hivyo hizi ni threads tuu na tunajibizana na key board
Ukichukulia mambo personal huku utaumia na kujiumiza
 
Back
Top Bottom