Kukosolewa. . . .

Kukosolewa. . . .

Halaf umepata ratiba jibaba? kundi la segere la Husninyo na Afrodenzi litatumbuiza kwa wajanja ijumaa usiku. wameahidi vumbi litatimka.
Jibaba sio ishu hatupeani hata coordinates kuwa wameanzisha bendi nasikia wana mnenguaji hatari anaitwa Sweetlady aka Mamaa Chomachoma
 
Lizzy

Taratibu na hiyo libwata isijekuwa overdose.Maana hii si bure!

Nipunguze dozi malaria ishike kasi?
Hapana aisee. . . alimradi hafi mtu kimipo nachompa ndo sawa yake.
 
Jibaba sio ishu hatupeani hata coordinates kuwa wameanzisha bendi nasikia wana mnenguaji hatari anaitwa Sweetlady aka Mamaa Chomachoma

Wanafanya kinyemela jibaba, hawataki JF washtuke. juzi wametoa albam mpya inakwenda kwa jina la "udokozi si kuiba" voco wamesaidiwa na King'asti
 
Asiyenipenda, na achimbe shimo ajifukie
Anayenichukia, na anywe sumu ajiue

Chuki nichukie, roho yangu nachie mwenyewe
Chuki nichukie, roho yangu nachie mwenyewe

Kama uzuri anao, mtoto shaaksia
Kama uzuri anao, kitu bomba aminia

Kazi kwenu nyie vimeo, msotunzwa mkatulia
Nipe raha mpenzi wangu, nipe raha
Nipe raha mpenzi wangu, name nikupe zangu

Nipe raha, honey una hofu nini
Nipe raha, hata nikenda kuoga

Nipe raha, tena kutwa mara tatu
Nipe raha, asubuhi, jioni, na usiku
 
Hehehehe. . . . we maslahi gani unalinda hapa?Au ndo ishachonga dili na Kloro?
Aisee taratibu usije ukasababisha kampuni yangu ikakosa tenda ya kuleta mafuta Bongo....:eyebrows:
 
Peruzi na udadisi, itatosheleza tu.

Wewe ushasema na mtu keshakuitikia lakini unamwambia "nenda kaperuzi", ikimaanisha ama

Huyaamini maneno yako mwenyewe au huamini kuwa amekuamini na unataka sana akuamini kiasi cha kumshikilia akaperuzi kwengine kuthibitisha kuwa kauli yako ni thabiti.

Ni lipi kati ya hayo?
 
Back
Top Bottom