Kukosolewa. . . .

Kukosolewa. . . .

While we go pay the bills (commercial break) burudikeni na hiki kibwagizo…

Vipi tena…?
Msumari huo….
Msumari una nini…?
Umewachoma….
Moyoni-machoni….?
Kote koteee….
:lol::lol::lol::lol:
 
i am ant-pro clouds but i only hate jamaa mmoja hapa JF nijiitalo Mohamed Shosshi.
Huyu jamaa hata aniambie 2+2=4 siwezi kumkubalia manake ana akili topr sana yaan bora nimsome mbuzi kuliko yeye

You hate yourself? Duh!
 
Kwavile mwalim gaijin yuko bize na rais wetu NN, hakuna dalili yoyote ya kupatiwa mistari ya kupongezwa ya tarabu hapa. Kwahiyo tuendelee na mada tu.
Na leo wakijileta nawachana hapa hapa mbele yako
Halafu wewe mzembe habari za kumzengea Lizzy wakati haujatoa posa hata thumuni tutakushusha mshipa...endelea kucheza anga zetu...you have been warned..
 
Is it a cime kuwa much know? Am just thinking loud.

Nadhani ni kwasababu watu hawakuelewi na wala hawajaribu kukuelewa. Wameshajenga hiyo picha ya machino na hawataki kuachia. . . kiasi kwamba hata ukisema kitu kisichobeba ubaya bado watauona ubaya.Kama yule jamaa wa juzi na swali la "we una mtoto" .
 
Kwavile mwalim gaijin yuko bize na rais wetu NN, hakuna dalili yoyote ya kupatiwa mistari ya kupongezwa ya tarabu hapa. Kwahiyo tuendelee na mada tu.
Na leo wakijileta nawachana hapa hapa mbele yako

Mkuu hujasema, mistari "imelala" hapa, ila nakurushia kipande kimoja cha "msondo"

"Hejiokotea machakacha, kanapata mchuchu wa haja" hehehe .....Hongera Kloro kwa kupata mchuchu 😀
 
Kwavile mwalim gaijin yuko bize na rais wetu NN, hakuna dalili yoyote ya kupatiwa mistari ya kupongezwa ya tarabu hapa. Kwahiyo tuendelee na mada tu.
Na leo wakijileta nawachana hapa hapa mbele yako

Yani ninejitahidi hivyo alafu unanitoa nishai kwa kunirudisha kwenye mada?NIMENUNA.
 
Mkuu hujasema, mistari "imelala" hapa, ila nakurushia kipande kimoja cha "msondo"

"Hejiokotea machakacha, kanapata mchuchu wa haja" hehehe .....Hongera Kloro kwa kupata mchuchu 😀

hehehe mwalim we acha tu, yaani tangu nimpate Lizzy bas nacheka hata msibani.
 
Back
Top Bottom