Kukosolewa. . . .

Kukosolewa. . . .

Hahahhahah. . Kuna confession nyingine moja nasubiria hapa alafu tufunge thread.
hehehehe I love u honey! hakyanani nakupenda kuliko chadema wanavopenda maandamano.
Nimemaliza confession ya pili
naomba wapambe washuhudie
 
Words hurts nakubali. Naamini nimeshakwaza wengi kwa maneno yangu na si mara chache. Na wakati mwengine huwa najizuwia kucomment kwa kuwa najua itachukuliwa vibaya na mhusika.

Anyway kukwazwa mara moja moja sio mbaya, maana the world is not perfect nor fair

Maneno ya kusoma tu yanaweza kumuuma ntu zaidi kwasababu hujui anapoandika anakua kwenye hali gani.Mtu anaweza kua sacarstic usigundue. . . anaweza kua mean in a joking manner mwenyewe ukadhani kaandika huku kakunja sura kumbe mwezie anacheka/tabasamu hapo ilipo.
 
So hapa unataka kusema nini
Au ni ujumbe gani unatupa hapa
Unajua "Nick" kuna njia ambayo NN huwa anatumia ku-respond au kuchangia/kujibu comment za watu naweza kusema he has his own style he never beats around the bush hilo inabidi ni mkweli and i give him credit on that one kuna thread ambazo nimeishambaa nae sana tukabishana sana lakini kwa ajili ya kupata maana nzuri ya kile tunachokijadili, thou at times watu huwa wanalalamika kuwa kiingereza chake kigumu sasa mimi huwa sielewi kigumu wapi ingawa tunaweza kuwa tunatofautiana level of understanding.

Another person ni Gaijin "Gee" she's always straight na kama hakubaliani na wewe she will definitely tell you on the spot nakumbuka tulibishana nae sana kwenye thread ya "Atheists" but it was a good conversation and i gained some knowledge.

Another person Lizzy nakumbuka tulibishana nae kwenye thread "Forgiveness" it was a good conversation and at the end of the end i gained some knowledge and there was no hard feelings.
 
But the thing is, I don't think I come off as Mr.Know-it-all. Au ndo yaleyale ya nyani na backside yake?

Nadhani ni kwasababu watu hawakuelewi na wala hawajaribu kukuelewa. Wameshajenga hiyo picha ya machino na hawataki kuachia. . . kiasi kwamba hata ukisema kitu kisichobeba ubaya bado watauona ubaya.Kama yule jamaa wa juzi na swali la "we una mtoto" .
 
Maneno ya kusoma tu yanaweza kumuuma ntu zaidi kwasababu hujui anapoandika anakua kwenye hali gani.Mtu anaweza kua sacarstic usigundue. . . anaweza kua mean in a joking manner mwenyewe ukadhani kaandika huku kakunja sura kumbe mwezie anacheka/tabasamu hapo ilipo.
Haswa ...yaani unaweza ukamwelewa mwandishi tofauti kabisa na alichokusudia mara nyingine....
 
hehehehe I love u honey! hakyanani nakupenda kuliko chadema wanavopenda maandamano.
Nimemaliza confession ya pili
naomba wapambe washuhudie

Hahahah. . . Nacopy hii niwatumie PM wale wadada wanaokufukuzia.
 
catching the discussion from where I find it: nadhani the way I feel about kukosolewa depends on the way unanikosoa. Ukija kwa kuniuliza nilimaanisha nini then baada ya ufafanuzi ndio uanze kunieleza what is wrong with my reasoning na what different storry you have to it. Sio uingie tu:"teh teh teh, wanchekesha! Hivi ulishindwa kabisa kuchangia neno la maana hadi uje na haya?" Hapo kwa kweli nitachukia.So it's not so much about the end, rather the means.
 
Dah!! Kudadekii hii thread inaambaa, aisee Lizzy hii thread yako inanimaliza bandwidth...lol
 
Unajua "Nick" kuna njia ambayo NN huwa anatumia ku-respond au kuchangia/kujibu comment za watu naweza kusema he has his own style he never beats around the bush hilo inabidi ni mkweli and i give him credit on that one kuna thread ambazo nimeishambaa nae sana tukabishana sana lakini kwa ajili ya kupata maana nzuri ya kile tunachokijadili, thou at times watu huwa wanalalamika kuwa kiingereza chake kigumu sasa mimi huwa sielewi kigumu wapi ingawa tunaweza kuwa tunatofautiana level of understanding.

Another person ni Gaijin "Gee" she's always straight na kama hakubaliani na wewe she will definitely tell you on the spot nakumbuka tulibishana nae sana kwenye thread ya "Atheists" but it was a good conversation and i gained some knowledge.

Another person Lizzy nakumbuka tulibishana nae kwenye thread "Forgiveness" it was a good conversation and at the end of the end i gained some knowledge and there was no hard feelings.

I owe you two cold ones now. You are right on the money today.
 
Emilia wala hujakosea. .
Wakati mwingine tunashindwa kutofautisha kukosoa na kumponda/kumchamba mtu.
 
Nadhani ni kwasababu watu hawakuelewi na wala hawajaribu kukuelewa. Wameshajenga hiyo picha ya machino na hawataki kuachia. . . kiasi kwamba hata ukisema kitu kisichobeba ubaya bado watauona ubaya.Kama yule jamaa wa juzi na swali la "we una mtoto" .

Very good analysis. But no sushi or a cold one for you. You only get a bag of laffy taffies.
 
Back
Top Bottom