Kukosekana kwa upinzani madhubuti wa Chadema na Tume Huru ya Uchaguzi. CCM inachukua mgombea yoyote hata asiye na ushawishi kwa wapiga kura.

T2020

Senior Member
Joined
Jul 15, 2020
Posts
177
Reaction score
399
CCM imeamua kuwaacha wagombea wenye ushawishi kwa wananchi kwa kuwakomoa kwa kuamini yeyote ikimuweka anapata ubunge. Hata walioachwa hawana pa kwenda kwani wakifanya hivyo visasi vitawafuata. Kukosekana kwa mfumo huru wa uchaguzi na CCm kumiliki vyombo vyote vya dola ( mahalama na bunge) na vyombo vya ulinzi, takukuru na hata taasisi za fedha wanaweza kumfanya chchote anayeweza kwenda kugombea uipinzani. Katiba mpya siyo kwa manufaa ya Chadema hata viongozi walioko madarakani wenyewe. Mabadiliko ya katiba ni muhimu hata kwa Kikwete na Samia mwenyewe kwa manufaa ya watoto wao na vijukuu vyao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…