Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 10,973
- 19,844
Napenda pia ukweli, maisha ya uongo, kufake Yan kwa kweli siyajuiNdo maisha yangu halisi ninayoishi
Napenda pia ukweli, maisha ya uongo, kufake Yan kwa kweli siyajuiNdo maisha yangu halisi ninayoishi
Kwa hiyo wewe ukiwa na shida katika familia yako utakopakopa mtaa mzima wajue kuwa fulani sasa anashida? Au sio boss?Unadaiwa ada halafu ubaki nomrmal.
Luku imeisha na familia yote inakuangalia wewe halafu unabaki normal
Safi sana. Wanawake natural wapo wachache siku hiziNdo maisha yangu halisi ninayoishi
Wapi kaandika mtaa mzima atakopa?Kwa hiyo wewe ukiwa na shida katika familia yako utakopakopa mtaa mzima wajue kuwa fulani sasa anashida? Au sio boss?
Neno mtaa nimemaanisha kwamba kupenda kukopa kopa kwa kila mtu. Huyo jamaa Mtukutu wa Nyaigela anaonekana kabisa hana roho ya uvumilivu kabisa.Wapi kaandika mtaa mzima atakopa?
Neno mtaa nimemaanisha kwamba kupenda kukopa kopa kwa kila mtu. Huyo jamaa Mtukutu wa Nyaigela anaonekana kabisa hana roho ya uvumilivu kabisa.Wapi kaandika mtaa mzima atakopa?
Unaumri gani kwanza ?? tuanzie hapo maana unaandika hoja kama Form 3 hivi.Neno mtaa nimemaanisha kwamba kupenda kukopa kopa kwa kila mtu. Huyo jamaa Mtukutu wa Nyaigela anaonekana kabisa hana roho ya uvumilivu kabisa.
Nina miaka 16.Unaumri gani kwanza ?? tuanzie hapo
Nipo Form 2unaandika hoja kama Form 3 hivi.
Kumkopa mtu pesa kunadhalilisha sana mbaya zaidi umuelezee mtu tatizo lako akukopeshe pesa halafu asikukopeshe aseme hana, inafedhehesha sana.
Au uwe na rafiki unamkopa pesa na huwa unamlipa kwa wakati lakini yeye hajawahi kukukopa nayo inafedhehesha sana siku mkigombana atatumia nafasi hiyo kukunyanyasa.
Kuna baadhi ya watu ukiwa text wanadhani unataka uwakope pesa.
Kuna wengine wakikukopesha wanaenda kukutangaza.
ishi kulingana na kipato chako..acha ku over budget thats why unajikuta unapanga budget kwa zilizopo mifukoni mwa wenzako.Kumkopa mtu pesa kunadhalilisha sana mbaya zaidi umuelezee mtu tatizo lako akukopeshe pesa halafu asikukopeshe aseme hana, inafedhehesha sana.
Au uwe na rafiki unamkopa pesa na huwa unamlipa kwa wakati lakini yeye hajawahi kukukopa nayo inafedhehesha sana siku mkigombana atatumia nafasi hiyo kukunyanyasa.
Kuna baadhi ya watu ukiwa text wanadhani unataka uwakope pesa.
Kuna wengine wakikukopesha wanaenda kukutangaza.
I love thisNapenda pia ukweli, maisha ya uongo, kufake Yan kwa kweli siyajui
Tena hakuna madeni mabaya kama madogo madogo mfano sh 1000, 2000 ,,Kopa kote sio elfu5 mpawa ifike siku ya 65 Hivi utakionacha mtema kuni
Basi sheria za Jamii Forums hakuruhusu kuwa hukuNina miaka 16.
hahahaaaaaaBasi sheria za Jamii Forums hakuruhusu kuwa huku