Kuko wapi Kuhongwa kwa Lissu na Acacia?

Kuko wapi Kuhongwa kwa Lissu na Acacia?

Kwahiyo Mkuu ww unavyodhani lissu kwenye acc. Yake alikosa hiyo 20ml. Mpaka chama kianze kupiga kopo?
Hiyo ndiyo fact! Wewe Ungepigwa Risasi ungechezea uhai wako kamari kusubiria mkopo huku hela unazo? Wabunge wangelikuwa na hela kiasi hicho wabunge wa CCM wasingewekwa mfukoni kwa Milioni kumi kumi na yule jamaa Gwiji la mafisadi
 
IMG_20170906_124237.jpg
2017-09-02_14.34.23.jpg
Wewe Marandu ni bogus. Tumekwishajua kuwa unaishi US nyumbani kwa Dada yako, na kwamba unatokea happy kurusha Kashifa na matusi huku nyumbani, Tanzania.
You wish! Ati Nakaa kwa Dada! Acha kudandia watu! Saa nyingine utachekwa!

My bussiness makes $11 in 3 months my Friend! Acha kabisa story za Bulicheka na simulizi za Esopo!
 
Kuna waovu waliochonga Maneno ya Visa sana ati Tundu Lissu alikuwa anahongwa na Acacia ili kuitetea. Masikini alikuwa akielezea Mtazamo wake tu Kuwa Approach aliyotumia Magufuli itaweza Kusababisha Nchi Kushitakiwa.

Wabunge wa CCM sio wote nao ati wakaanza Kuwazomea Upinzani Kuwa ni mafisadi au Wasaliti ati wao CCM ndio wakombozi wa Nchi! What a joke!

Anyway Nachotaka Kuuliza Hapa ni Kuwa, Kama Tundu Lissu alikuwa Akihongwa na hao Wazungu wa Acacia inakuwaje fedha hizo Mkewe au Chadema hawakuzitoa kukodisha ndege! Yaani Dola 9000 tu walikuwa Hawana. Na hao chadema kama wanahongwa na Acacia mbona hao akina Acacia hawakujikeza kumlipia Tundu Lissu matibabu? Utamwacha mtetezi wako afe?

Hila za Kusingizia watu Wazalendo kuwa ni Wasaliti na Wasaliti kujiita Wazalendo! Mungu anaona. Tundu Lissu hata kama alikuwa ni Bombastic in communication, Alikuwa ni Mtanzania mwenye roho nzuri sana na Mzalendo. Alichotendewa. Malipo yatatolewa kwa laana ya Ajabu kwa Wahusika.
"Bombastic in communication" ni nini mkuu,umeniacha mbali sana!
 
"Bombastic in communication" ni nini mkuu,umeniacha mbali sana!
Mtu anayeongea kwa Ukali au kwa Ufasaha lakini Mwenye Forceful language! Na inabidi watu Kuelewa Psychology ya Mtu eg! Kange Lugola ni Mchekeshaji tu hata Akiwa serious! Mbowe ana Lugha ya Kumtoa Nyoka Pangoni! Etc
 
Lissu anazo atatoaje na yeye hajitambui?
Sasa anafahamu na Bado wanadunduliza Kutoa mchango! Kama anahela asingechezea uhai wake na Maisha yake kamari kungojea Michango! Angemwambia Mke wake pa kuzitoa hizo hela hoja yako ni kama kubeba maji katika gunia!
 
Mtu anayeongea kwa Ukali au kwa Ufasaha lakini Mwenye Forceful language! Na inabidi watu Kuelewa Psychology ya Mtu eg! Kange Lugola ni Mchekeshaji tu hata Akiwa serious! Mbowe ana Lugha ya Kumtoa Nyoka Pangoni! Etc
Mm,haya mkuu,ila huu ung'eng'e umejifunza wapi?Maana ni mpya kabisa.
 
b0a3dde4320741be9c0d1329f6918939.jpg
Unajua kilichowagusa watu wengi kutokana na TL kupigwa risasi,ni kwa yale aliyokuwa anayazungumza yalikuwa yana ukweli kwa asilimia 90%,isipokuwa njia aliyokuwa akiitumia watawala walikuwa hawaipendi.
CCM uchochezi kwao Maana yake ni Ukweli wasioweza Kuupinga! Kama wewe sio sio Mtu wa "Kisuku" watataka kukuua! Mundu wa Kisuku
 
ACACIA,LISSU,MBOWE na DREVA wa LISSU wanajua wanayofanya
Kama ni kweli ubarikiwe! Vinginevyo kama wewe ni mtetezi wa Majoka wauaji Damu ya Lissu ikuwe juu ya kichwa chako na iite laana ya mauti kila uendako! Fair enough?
 
Hata kama t.lisu angekuwa na pesa angeweza kwenda ATM matshine?
 
Wewe Marandu ni bogus. Tumekwishajua kuwa unaishi US nyumbani kwa Dada yako, na kwamba unatokea happy kurusha Kashifa na matusi huku nyumbani, Tanzania.
Mkuu,na wewe nenda ukaishi nyumbani kwa dada yako US..
 
Tatizo kubwa mnoo la huyu nabii wetu ame chaguwa uwongo /kuwa ndo njia pekee ya kutu buruza watanzania /kumbe sio kabisa kila kukicha anazid kuumbuka tuu!
 
Kuna waovu waliochonga Maneno ya Visa sana ati Tundu Lissu alikuwa anahongwa na Acacia ili kuitetea. Masikini alikuwa akielezea Mtazamo wake tu Kuwa Approach aliyotumia Magufuli itaweza Kusababisha Nchi Kushitakiwa.

Wabunge wa CCM sio wote nao ati wakaanza Kuwazomea Upinzani Kuwa ni mafisadi au Wasaliti ati wao CCM ndio wakombozi wa Nchi! What a joke!

Anyway Nachotaka Kuuliza Hapa ni Kuwa, Kama Tundu Lissu alikuwa Akihongwa na hao Wazungu wa Acacia inakuwaje fedha hizo Mkewe au Chadema hawakuzitoa kukodisha ndege! Yaani Dola 9000 tu walikuwa Hawana. Na hao chadema kama wanahongwa na Acacia mbona hao akina Acacia hawakujikeza kumlipia Tundu Lissu matibabu? Utamwacha mtetezi wako afe?

Hila za Kusingizia watu Wazalendo kuwa ni Wasaliti na Wasaliti kujiita Wazalendo! Mungu anaona. Tundu Lissu hata kama alikuwa ni Bombastic in communication, Alikuwa ni Mtanzania mwenye roho nzuri sana na Mzalendo. Alichotendewa. Malipo yatatolewa kwa laana ya Ajabu kwa Wahusika.
Inasemekana alihongwa
 
No hata wangetoa Kwa siri Tusingeona Chadema wakihaha kutafuta Usafiri wala Matibabu! Hata Hela za Kuwaweka Nairobi wale wanaomtazama pale wanachangiwa Kanisani!
Acha uongo, walihaha kwa SAA ngapi wakitafuta Pesa? Lisu huenda alishapewa advance yake. Ila namshauri Lisu apunguze kelele maana sio wote wanafurahishwa na hizo kelele zake.
Amen!!
 
Acha uongo, walihaha kwa SAA ngapi wakitafuta Pesa? Lisu huenda alishapewa advance yake. Ila namshauri Lisu apunguze kelele maana sio wote wanafurahishwa na hizo kelele zake.
Amen!!
Walio jela leo kwa wizi na kashfa za Madini, Ukimtaja mmoja wa chadema ntakuamini! Masikini wanafiki nyie!
 
Jf waliniita Mchochezi, Waovu lazima Wajibiwe na Wawe challenged kwa Nguvu zote! Nilienda Youtube na Kufuungulia "Calliope Tank" kwa kuwa ati walitaka Kuninyamazisha hapa! Wanaotumika hapa kunyamazisha Watu hiyo ndiyo hasara Mtapata Nimeweza Kufikisha Ujumbe kwa zaidi ya Watanzania Milioni 10,000,000 in a Month!
...
... Calliope Tank..Mkuu umenikumbusha kwenye Training Mamba
 
Sawa Lemutuz! Kama bandi inafanya Mtu awe wa "ajabu ajabu" kama mimi ni bora kuvuta bangi mara mia kuliko kuhangaishwa kinyumenyume na uumbaji kama Unavyofanyiwa na Wale ndugu Mange aliosema. Hiyo nayo hayana Msamaha ujue!
......
......aise Mkuu kumbee umenikumbusha UCHAGUZI WA mbunge Moshi mjini
 
Back
Top Bottom