Kuko wapi Kuhongwa kwa Lissu na Acacia?

Kuko wapi Kuhongwa kwa Lissu na Acacia?

Kuna waovu waliochonga Maneno ya Visa sana ati Tundu Lissu alikuwa anahongwa na Acacia ili kuitetea. Masikini alikuwa akielezea Mtazamo wake tu Kuwa Approach aliyotumia Magufuli itaweza Kusababisha Nchi Kushitakiwa.

Wabunge wa CCM sio wote nao ati wakaanza Kuwazomea Upinzani Kuwa ni mafisadi au Wasaliti ati wao CCM ndio wakombozi wa Nchi! What a joke!

Anyway Nachotaka Kuuliza Hapa ni Kuwa, Kama Tundu Lissu alikuwa Akihongwa na hao Wazungu wa Acacia inakuwaje fedha hizo Mkewe au Chadema hawakuzitoa kukodisha ndege! Yaani Dola 9000 tu walikuwa Hawana. Na hao chadema kama wanahongwa na Acacia mbona hao akina Acacia hawakujikeza kumlipia Tundu Lissu matibabu? Utamwacha mtetezi wako afe?

Hila za Kusingizia watu Wazalendo kuwa ni Wasaliti na Wasaliti kujiita Wazalendo! Mungu anaona. Tundu Lissu hata kama alikuwa ni Bombastic in communication, Alikuwa ni Mtanzania mwenye roho nzuri sana na Mzalendo. Alichotendewa. Malipo yatatolewa kwa laana ya Ajabu kwa Wahusika.
It was to please! Mr Misifa
 
Get well Tundu Lisu. Amen hakika shambulio ulilofanyiwa hukustahili. Kweli duniani ina watu Wakatili kama wale wa Isis wanaofanyiwa binadamu wenzao Beheading!
 
Usiconclude kuwa ni system imehusika!! subiri ripoti kwanza!! na kama kuna mtu hakumwelewa lissu ana haki ya kufanya hivyo kwa sababu ya background yake yakusema uongo na chadema yake!! hi unakumbuka jinsi from 2008 up to june 2015 LISSU NA CHADEMA MLIWALISHA UONGO WANANCHI KUWA LOWASSA NI FISADI!!! Hapa ndipo matatizo ya kutoeleweka kwa CHADEMA na lissu lilipoanzia!!!dhambi ya uongo malipo yake huwa ni mabaya
Mko watu wa ajabu sana!! Kwa hiyo hata swala la Bomberdia amedanganya eh?! Na je swala la mikataba mibovu nayo amedanganya?!

Kuhusu Lowassa kuwa fisadi ama la kosa si la Lissu ni la serikali iliyoshindwa kufanya investigation na kuchukua hatua, pamoja na kuwa na mahakama za ufisadi zenye kukosa kesi!!
 
Dah! Tunakuwa warahisi wa kuamini kila mawazo ya mtu, itakuwaje kama ACCASIA watasema mtetezi wao ni Lisu!!!.
 
Kuna waovu waliochonga Maneno ya Visa sana ati Tundu Lissu alikuwa anahongwa na Acacia ili kuitetea. Masikini alikuwa akielezea Mtazamo wake tu Kuwa Approach aliyotumia Magufuli itaweza Kusababisha Nchi Kushitakiwa.

Wabunge wa CCM sio wote nao ati wakaanza Kuwazomea Upinzani Kuwa ni mafisadi au Wasaliti ati wao CCM ndio wakombozi wa Nchi! What a joke!

Anyway Nachotaka Kuuliza Hapa ni Kuwa, Kama Tundu Lissu alikuwa Akihongwa na hao Wazungu wa Acacia inakuwaje fedha hizo Mkewe au Chadema hawakuzitoa kukodisha ndege! Yaani Dola 9000 tu walikuwa Hawana. Na hao chadema kama wanahongwa na Acacia mbona hao akina Acacia hawakujikeza kumlipia Tundu Lissu matibabu? Utamwacha mtetezi wako afe?

Hila za Kusingizia watu Wazalendo kuwa ni Wasaliti na Wasaliti kujiita Wazalendo! Mungu anaona. Tundu Lissu hata kama alikuwa ni Bombastic in communication, Alikuwa ni Mtanzania mwenye roho nzuri sana na Mzalendo. Alichotendewa. Malipo yatatolewa kwa laana ya Ajabu kwa Wahusika.
Bashite, Bashite, Bashite
 
If Lissu was able to make the payments it defeats the purpose of contribution!!!

Get well soon Lissu.
 
Na mbona hatuoni madai ya Lisu yakitekelezwa. Like acacia kuishtaki serikali kwenye mahakamani gani sijui huko Ulaya kwa bwana zake.
 
Kuna waovu waliochonga Maneno ya Visa sana ati Tundu Lissu alikuwa anahongwa na Acacia ili kuitetea. Masikini alikuwa akielezea Mtazamo wake tu Kuwa Approach aliyotumia Magufuli itaweza Kusababisha Nchi Kushitakiwa.

Wabunge wa CCM sio wote nao ati wakaanza Kuwazomea Upinzani Kuwa ni mafisadi au Wasaliti ati wao CCM ndio wakombozi wa Nchi! What a joke!

Anyway Nachotaka Kuuliza Hapa ni Kuwa, Kama Tundu Lissu alikuwa Akihongwa na hao Wazungu wa Acacia inakuwaje fedha hizo Mkewe au Chadema hawakuzitoa kukodisha ndege! Yaani Dola 9000 tu walikuwa Hawana. Na hao chadema kama wanahongwa na Acacia mbona hao akina Acacia hawakujikeza kumlipia Tundu Lissu matibabu? Utamwacha mtetezi wako afe?

Hila za Kusingizia watu Wazalendo kuwa ni Wasaliti na Wasaliti kujiita Wazalendo! Mungu anaona. Tundu Lissu hata kama alikuwa ni Bombastic in communication, Alikuwa ni Mtanzania mwenye roho nzuri sana na Mzalendo. Alichotendewa. Malipo yatatolewa kwa laana ya Ajabu kwa Wahusika.

TL Marandu, habari za US?

Hivi unataka kutuaminisha kwamba hufahamu maana ya neno kuhonga au kuhongwa?

Fafanua vizuri lakini Tundu Lissu hajahongwa na ACACIA bali inadaiwa kwamba analipwa na ACACIA kwa makubaliano ya kuwasaidia katika kesi zao.

Huo ndiyo msingi wa madai ya wachambuzi wengi kwamba yeye ni kibaraka.

Hivyo suala la malipo ya huduma za huko hospitalini Nairobi alikolazwa, yanaweza kuwa yanafanywa kwa fedha kutoka katika sehemu mbalimbali yaani Nairobi penyewe, Dar-es-Salaam, London, Toronto au hata huko kwenu USA.

Fedha zinaweza kuhamishwa kutoka Dar kwenda Nairobi kama anazo za kutosha au CHADEMA wana "emergency funds" kwa ajili ya masuala kama hili la Tundu Lissu,

Ila sidhani kama imekatazwa kuchangisha fedha za kusaidia malipo ya matibabu isipokuwa kama zitaonekana zimetoka wapi na matumizi yake.

Kwa kifupi hoja zako zote mpaka sasa bado ni za kichochezi maana zimejaa hisia zaidi ambapo unajitoa ufahamu kwa kuongea masuala ambayo huyafahamu undani wake.
 
Kuna waovu waliochonga Maneno ya Visa sana ati Tundu Lissu alikuwa anahongwa na Acacia ili kuitetea. Masikini alikuwa akielezea Mtazamo wake tu Kuwa Approach aliyotumia Magufuli itaweza Kusababisha Nchi Kushitakiwa.

Wabunge wa CCM sio wote nao ati wakaanza Kuwazomea Upinzani Kuwa ni mafisadi au Wasaliti ati wao CCM ndio wakombozi wa Nchi! What a joke!

Anyway Nachotaka Kuuliza Hapa ni Kuwa, Kama Tundu Lissu alikuwa Akihongwa na hao Wazungu wa Acacia inakuwaje fedha hizo Mkewe au Chadema hawakuzitoa kukodisha ndege! Yaani Dola 9000 tu walikuwa Hawana. Na hao chadema kama wanahongwa na Acacia mbona hao akina Acacia hawakujikeza kumlipia Tundu Lissu matibabu? Utamwacha mtetezi wako afe?

Hila za Kusingizia watu Wazalendo kuwa ni Wasaliti na Wasaliti kujiita Wazalendo! Mungu anaona. Tundu Lissu hata kama alikuwa ni Bombastic in communication, Alikuwa ni Mtanzania mwenye roho nzuri sana na Mzalendo. Alichotendewa. Malipo yatatolewa kwa laana ya Ajabu kwa Wahusika.
Ujue tusichokijua wengi kuhusu TL hadi kumuita msaliti, si mzarendo n.k ni kuwa huyu jamaa ni mwanasheria, ni sawa na daktari anamkuta mtu anakunywa dawa bila kufuata taratibu za kimatibabu, hawezi kunyamaza lazima atakuambia usinywe hizo dawa, fuata taratibu za tiba, nenda hosp, kamuone Dr , upimwe ungonjwa ujulikane kisha utapewa dawa sahihi ya ugonjwa wako, na hapo utakuwa salama. Kwa mh Tl kulingana na fani yake hawezi kunyamaza anapoona mambo yanafanywa kinyume cha sheria, na kwa kuwa ni mkweli na anapenda kuona watu wanapewa haki zao kwa mujibu wa sharia, hatanyamza nina hakika hatanyamza, atasema tu kama alivyo huyo Dr. Mungu amponye na madhira yalomkuta
 
Wewe una chuki binafsi. Lisu alihongwa na alikuwa mnafiki na ataendelea kuwa mnafiki namba kwa kuwadanganya watu wake. Ni mla rushwa
Mnafiki kwa lipi? Huoni ccm ndo wanafiki? Kwani Lissu ndo alisaini hiyo mikataba? Mikataba ilisaini serikali ya CCM na wabunge wa CCM wakaipitisha kwa makofi mengi bungeni,Leo wanajifanya wazalendo! Hata huyo aliye jumba jeupe alikuwa miongoni mwao wakti wanapitisha mikataba yao ya kipuuzi,kwa nini hakunyanyua sauti yake na kuipinga? Kwanini waliwatimua kina zitto kabwe bungeni walipodai mikataba ipelekwe bungeni? Hivi unajua ingekosa upinzani kuwepo serikali ingeendelea kulala kama ilivyokuwa miaka mingi iliyopita na kufikia kusaini mikataba ya kipuuzi iliyotufanya tuwe masikini?
 
Ni aibu kutaka kumuua mtu anayekosoa tu utendaji wako hana hila wala was.

Majibu ya Lissu kuna watu watajuta kumfahamu.Ngoja apone ndilo tumwombalo Mungu.

Unapoona Polisi wanahangaika na T-shirt basi ujue kuna shida mahali kuna watu hawafikirii zaidi ya pia zao.
Unajua kilichowagusa watu wengi kutokana na TL kupigwa risasi,ni kwa yale aliyokuwa anayazungumza yalikuwa yana ukweli kwa asilimia 90%,isipokuwa njia aliyokuwa akiitumia watawala walikuwa hawaipendi.
 
Inawezekana una mawazo mazuri.

Lakini sababu zako siyo za kisayansi.
Kuna waovu waliochonga Maneno ya Visa sana ati Tundu Lissu alikuwa anahongwa na Acacia ili kuitetea. Masikini alikuwa akielezea Mtazamo wake tu Kuwa Approach aliyotumia Magufuli itaweza Kusababisha Nchi Kushitakiwa.

Wabunge wa CCM sio wote nao ati wakaanza Kuwazomea Upinzani Kuwa ni mafisadi au Wasaliti ati wao CCM ndio wakombozi wa Nchi! What a joke!

Anyway Nachotaka Kuuliza Hapa ni Kuwa, Kama Tundu Lissu alikuwa Akihongwa na hao Wazungu wa Acacia inakuwaje fedha hizo Mkewe au Chadema hawakuzitoa kukodisha ndege! Yaani Dola 9000 tu walikuwa Hawana. Na hao chadema kama wanahongwa na Acacia mbona hao akina Acacia hawakujikeza kumlipia Tundu Lissu matibabu? Utamwacha mtetezi wako afe?

Hila za Kusingizia watu Wazalendo kuwa ni Wasaliti na Wasaliti kujiita Wazalendo! Mungu anaona. Tundu Lissu hata kama alikuwa ni Bombastic in communication, Alikuwa ni Mtanzania mwenye roho nzuri sana na Mzalendo. Alichotendewa. Malipo yatatolewa kwa laana ya Ajabu kwa Wahusika.
 
Upo sahihi kabisa huwezi kuhongwa uwe simple kiasi kile ..

Maana historian yawahongwaji tunaijua kutoka kula mihogo mpaka kwenda kuishi canada.
....Na pia kuishi hotelini Rwanda kwa miezi kadhaa.
 
Back
Top Bottom