Kuko wapi Kuhongwa kwa Lissu na Acacia?

Kuko wapi Kuhongwa kwa Lissu na Acacia?

Boss TL. Marandu CUF kiliitwa Chama cha Kidini. Chadema kiliitwa chama cha Kaskazini na Kikanda na Cha Wachaga. Historia ni ndefu.

Kuna waovu waliochonga Maneno ya Visa sana ati Tundu Lissu alikuwa anahongwa na Acacia ili kuitetea. Masikini alikuwa akielezea Mtazamo wake tu Kuwa Approach aliyotumia Magufuli itaweza Kusababisha Nchi Kushitakiwa.

Wabunge wa CCM sio wote nao ati wakaanza Kuwazomea Upinzani Kuwa ni mafisadi au Wasaliti ati wao CCM ndio wakombozi wa Nchi! What a joke!

Anyway Nachotaka Kuuliza Hapa ni Kuwa, Kama Tundu Lissu alikuwa Akihongwa na hao Wazungu wa Acacia inakuwaje fedha hizo Mkewe au Chadema hawakuzitoa kukodisha ndege! Yaani Dola 9000 tu walikuwa Hawana. Na hao chadema kama wanahongwa na Acacia mbona hao akina Acacia hawakujikeza kumlipia Tundu Lissu matibabu? Utamwacha mtetezi wako afe?

Hila za Kusingizia watu Wazalendo kuwa ni Wasaliti na Wasaliti kujiita Wazalendo! Mungu anaona. Tundu Lissu hata kama alikuwa ni Bombastic in communication, Alikuwa ni Mtanzania mwenye roho nzuri sana na Mzalendo. Alichotendewa. Malipo yatatolewa kwa laana ya Ajabu kwa Wahusika.
 
Kwanini unatamani sana uwepo msamaha? Au wewe ndiwe uliyekuwa unapinga ile Albadir?
It doesn't make sense, a human being like you kuanza kujadili mambo ya uungu. Mungu kama atasemehe atasamehe, kama hatasamehe hatasamehe.
 
Dhana ya wapinzani kuungana na wazungu kuhujumu nchi ni mfu, hawana uwezo kupitisha sheria au sera. Kama ni utetezi kisheria hiyo ni kazi.
 
Nauliza tu ile ndege iliyozuiliwa kwa deni ambayo Mh Lisu alitutaarifu watanzania je imeshafika au bado inatengenezwa?nilitaka kujua tu kwani kati ambavyo vimesababisha kitaka kumuua Lisu pia nazani na hiyo habari,sasa nani mkweli serikali au Mh T. Lisu nani mzarendo.
 
Watanzania hatuna action Bali tunaishia kulaumu kwa maneno, kuumia moyoni tu na kumuachia Eti Mungu
Na hicho ndicho kinawafanya hawa majinga waendelee kututawala,sisi ni kulia lia tu ndo maisha yetu szani kama kunahaja hata ya kuongea na hao watu wa ccm bora jino kwa jino pia kimyakimya ingekuwa tosha na majibu yangepatikana lkn mara serikali tunamtaka mkuu wa police sijui afanye hivi, hivi hamjui police,jeshi ,mahakama,na vingine ni ccm ?lkn kimyakimya itajibu nawahakikishia.
 
hahahahaaaaaa!!! umenichekesha kweli!!! mwanasiasa mfanyabiashara unamfahamu kweli??? Komba yule wa CCM alipata mapresha kwa sababu alikuwa akidaiwa benki wakataangaza kuuza mali zake!! alihangaika sana kupata hela serikalini na kwa marafiki zake .Nasikia alikuwa pro Lowassa !! mbona Lowassa hakumpa hela hiyo??
ngoja nikuambi kitu wewe,mh sumaye naskia ana mipesa huko CRDB,ebu muulize amechangia kiasi gani katika matibabu ya LISSU!! LOWASSA ni tajiri wa kutupa ana shea nyingi VODAKOM.Yani ni seme kuwa chadema ina mitajiri mingi humo ndani!! kuomba mdhamini from ccm ni aibu kwa chama kabisa!!1
Yule c mdhamini ni mtu kati yaani darali nae aliweka chake wala c siri hayo mengine ni yako.
 
Wewe una chuki binafsi. Lisu alihongwa na alikuwa mnafiki na ataendelea kuwa mnafiki namba kwa kuwadanganya watu wake. Ni mla rushwa
Tusaidie unafiki wake upo wapi,je ndiye aliyefunga mikataba ya hovyo?ya madini,ndiye aliyenunua ndege za bombadia bila bunge kupitisha?ndie aliyevunja mkataba na wale jamaa walio zuia ndege yetu mpaka walipwa,je nikikuita ww ni jamii ya kenge kuna makosa?
 
Sio lazima utukane watu maana kukubaliana na mtazamo wa Lisu sio lazima pia. Ukweli kwenye hizi issue wazungu hawatoboi bila kucheza na locals. Congo, SA, Botswana n.k ndio game plan yao. Msijione mna akili sana.
Unafaham mikataba ilivyofungwa?au unaropoka tu na kahawa mdomoni.
 
inawezekana pia michango ikawa njia ya kutakatisha fedha zao kwenye matibabu.
 
See U in November, mi hakuna wa Kunitisha my friend! Naweza nikawa niko hapa Kigamboni navyoongea sasa!
Welcome mkuu mic u sana!! Xmas unakula huku mkuu? Tutakutana huko Bongo hata mimi nipo India ila muda huo nitakuwa Bongo
 
Kwani haujui Ccm wanaongoza kwa unafiki na propaganda chafu? Ukitetea maslahi ya taifa wanakumaliza dakika 0.
Kwenye suala la Lissu kwamba alikua anatetea maslahi ya taifa kwa kweli bado napata shida sana kukubali. Maana sijui ni maslahi gani ya taifa aliyokua anayatetea? Labda mniambie maslahi ya kisiasa ntakubali. Na katika hili nadhani aliamua kupigana vita ambayo alijua ama hakujua mwisho wake ni nn?

By the way, mungu amponye arudi kwenye harakati zake.
 
Unajua kilichowagusa watu wengi kutokana na TL kupigwa risasi,ni kwa yale aliyokuwa anayazungumza yalikuwa yana ukweli kwa asilimia 90%,isipokuwa njia aliyokuwa akiitumia watawala walikuwa hawaipendi.

Unajua kwanini WATAWALA wetu hawampendi Lissu??Sababu wanataka watanzania kuwa MABWEGE maisha yao yote na wao waendelee kula kwa starehe zao,jiulize kwanini ELIMU inashuka kwa speed ya supersonic??

Siku wanaopiga makofi watakapokuja kujielewa wengi watatafuta makaburi ya kujifukia
 
Kwenye suala la Lissu kwamba alikua anatetea maslahi ya taifa kwa kweli bado napata shida sana kukubali. Maana sijui ni maslahi gani ya taifa aliyokua anayatetea? Labda mniambie maslahi ya kisiasa ntakubali. Na katika hili nadhani aliamua kupigana vita ambayo alijua ama hakujua mwisho wake ni nn?

By the way, mungu amponye arudi kwenye harakati zake.

SIyo huelewi bali hutaki kuelewa.Lissu hajapingana na JPM anachopingana nacho ni njia anayotumia halitalisaidia TAIFA ametoa wayfoward nini SERIKALI ifanye ili kuweza kushinda vita hii napo hamuelewi??

Alipowekwa kizuizini miaka 20 iliyopita mlisema Lissu siyo mzalendo hataki MAENDELEO ya TAIFA ,leo aliyokuwa anayakemea ndiyo JPM anayoyasema MIKATABA mibovu,na bado anasema tumeishaingia hiyo mikataba basi tutumie njia nzuri kuirekebisha siyo hii ya papara,bado mnamuona LISSU hatetei maslahi ya TAIFA basi subirini mpaka muone maana nyie ni akina Thomaso,mpaka uguse ndipo ujue.
 
Huyo jamaa alikuwa anatafuta umaaruf wa kisiasa dhid ya kiongozi mvuta ganja...matokeo yake wamemvunja mifupa...siasa za tz hapana kabisa
 
Kuna waovu waliochonga Maneno ya Visa sana ati Tundu Lissu alikuwa anahongwa na Acacia ili kuitetea. Masikini alikuwa akielezea Mtazamo wake tu Kuwa Approach aliyotumia Magufuli itaweza Kusababisha Nchi Kushitakiwa.

Wabunge wa CCM sio wote nao ati wakaanza Kuwazomea Upinzani Kuwa ni mafisadi au Wasaliti ati wao CCM ndio wakombozi wa Nchi! What a joke!

Anyway Nachotaka Kuuliza Hapa ni Kuwa, Kama Tundu Lissu alikuwa Akihongwa na hao Wazungu wa Acacia inakuwaje fedha hizo Mkewe au Chadema hawakuzitoa kukodisha ndege! Yaani Dola 9000 tu walikuwa Hawana. Na hao chadema kama wanahongwa na Acacia mbona hao akina Acacia hawakujikeza kumlipia Tundu Lissu matibabu? Utamwacha mtetezi wako afe?

Hila za Kusingizia watu Wazalendo kuwa ni Wasaliti na Wasaliti kujiita Wazalendo! Mungu anaona. Tundu Lissu hata kama alikuwa ni Bombastic in communication, Alikuwa ni Mtanzania mwenye roho nzuri sana na Mzalendo. Alichotendewa. Malipo yatatolewa kwa laana ya Ajabu kwa Wahusika.
Well said
 
Huyo jamaa alikuwa anatafuta umaaruf wa kisiasa dhid ya kiongozi mvuta ganja...matokeo yake wamemvunja mifupa...siasa za tz hapana kabisa
Lissu Alikuwa Maarufu siku nyingi! Atafute umaarufu wa nini? Alikuwa akifanya kazi yake! Anayetafuta umaarufu Labda ni Bashite na Baba yake!
 
Back
Top Bottom