TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,815
- Thread starter
- #41
Oh Sio Mwakyembe!aliyesema kuwa LOWASA NI FISADI NI NANI si TUNDU LISSU NA CHADEMA YENU/?????
Oh Sio Mwakyembe!aliyesema kuwa LOWASA NI FISADI NI NANI si TUNDU LISSU NA CHADEMA YENU/?????
Waambie wanaotaka kutoa roho za watu ili waendelee kuwa wenyekiti. Uenyekiti????Baada ya nyie kuendeleza Biashara ya Mauaji,utekaji na utesaji.
Ungekuwa kweli unajua Mungu ungeenda kusoma bibilia ujue nini maana ya Mbingu na mema.
Ila kwa vile mnafikiri CCM ina Mbingu siku ukija kujua uliharibu duniani na kuna maisha baada ya dunia hii ndipo Italia na Kusaga meno.Nakuonea huruma wewe ni wa kusamehewa tu.
Mkuu umesema kweli. Wengi waliparamia gari kwa mbele. Wengi nasema wengi ndani ya ccm kuanzia ngazi za juu hawakutaka kumwelewa Lissu anasema nini wote wali conclude anawatetea wazungu. Lissu alikuwa analitetea taifa kwamba maamuzi tunayoyafanya ni hasara kwa taifa. Hawakutaka kusikiliza sasa aibu kwao. Lissu wamemwonea sana kutaka kujaribu kuchukua uhai wake.,Aliuliza mikataba iko wapi iwekwe wazi ni wazi waliosaini Hii mikataba ndio wa kusulubiwa sio Lissu. Wataanza kunyosheana vidole muda si mrefu na wasiojulikana watajulikana. Lissu ni Mzalendo kweli wengine ni waigizaji!
Anajirekodi na shuka jeupe background kama Osama.Hongera sana kwa kujirekodi video
Nani watawatia nguvuni ?! Kungekuwa na nia njema zile gari mbili Nisan na Premio zingeshakamatwa lakini wapi?!Meku ulitaka hao wazungu waite press conference wakutangazie kwamba wanamhudumia Lissu? Wewe huwa unaamini kila ambacho hakisemwi basi hakipo??
Tunachotaka Mungu amponye Lissu na waliompiga risasi watiwe nguvuni... Hizi kombolela zingine hazina maana
Rubbish! Sasa si anayo fahamu mbona wanadunduliza mchango, Je na yeye anacheza kamari na Maisha yake ikiwa pesa anazo? Sasa si anafahamu, mbona angemwambia mkewe au nani jinsi ya kuzichukua hizo " fedha za Acacia"Tundu Lissu anaweza akawa amehongwa. Sasa cha Mke wake kuamua asizitumie hizo fedha kumpeleka Nairobi, inawezekana hela hiyo Lissu hawakumwekea kwenye benki zetu wameweka nje! Maana kwene mabenki ya hapa si serikali itajua na kuuliza Lissu kazipata wapi? Hivyo kama ziko nje siyo rahisi kuzipata haraka kulipia jambo la dharura kama lile. Hivyo hoja yako haiwezi ikawa proof kwamba hakuhongwa. Vivyo hivyo kwa Chadema. Na mkewe anaweza asiwe signatory wa kuweza kuachiwa hela kutoka benki. Mimi nataka Lissu apone.
Damu ya Tundu Lissu Iwe Mauti Juu ya Kichwa chako now! Mimi hilo ni Jibu langu! Amen!YANI UNATUULIZA SISI?, BOYA KABISA
Yap Chadema Walidanganywa na Mwakyembe!kuhusu unafki hapo umenigusa marandu, nakumbuka chadena tulimuweka lowassa kwenye list of shame ila Leo ni mkombozi wetu
Tapatapa, Damu ya Tundu Lissu Inaita Kisasi Juu ya Kichwa Cha Mtu Fulani. Kama Unamjua Mwenyekiti aliyeua watu? Na yeye Pia Mwombee laana ya Damu za Watu hao! Fair enough?Waambie wanaotaka kutoa roho za watu ili waendelee kuwa wenyekiti. Uenyekiti????
Unawatukana sio! Simple Logic mtu awe na pesa lakini ajiachie afe! Alichukua hongo aifanyie nini? Kununua Jeneza! Na wewe pia Unga Foleni Damu ya Lissu iite kisasi juu ya kichwa chako! Na yakupate wewe na nyumba yako zaidi ya yaliyompata Lissu ikiwa upo hapa kwa hila za kutetea Maovu! Ila kama ni maoni tu, basi ubarikiwe amen!Wanoa kuunga mkono kwa simple logic kama hii hawana walijualo.
Kwani hujui mtu anaweza akatumia njia ya kuchangiwa ili atakatishe pesa chafu alizo nazo?
Kuchangia kunawachanganya watu akama wewe kujua pesa anazitoa wapi.
Angejitibia tu mgeanza kuhoji. Tulieni hivyo hivyo hdi mjue ukweli
ACACIA,LISSU,MBOWE na DREVA wa LISSU wanajua wanayofanyaKuna waovu waliochonga Maneno ya Visa sana ati Tundu Lissu alikuwa anahongwa na Acacia ili kuitetea. Masikini alikuwa akielezea Mtazamo wake tu Kuwa Approach aliyotumia Magufuli itaweza Kusababisha Nchi Kushitakiwa.
Wabunge wa CCM sio wote nao ati wakaanza Kuwazomea Upinzani Kuwa ni mafisadi au Wasaliti ati wao CCM ndio wakombozi wa Nchi! What a joke!
Anyway Nachotaka Kuuliza Hapa ni Kuwa, Kama Tundu Lissu alikuwa Akihongwa na hao Wazungu wa Acacia inakuwaje fedha hizo Mkewe au Chadema hawakuzitoa kukodisha ndege! Yaani Dola 9000 tu walikuwa Hawana. Na hao chadema kama wanahongwa na Acacia mbona hao akina Acacia hawakujikeza kumlipia Tundu Lissu matibabu? Utamwacha mtetezi wako afe?
Hila za Kusingizia watu Wazalendo kuwa ni Wasaliti na Wasaliti kujiita Wazalendo! Mungu anaona. Tundu Lissu hata kama alikuwa ni Bombastic in communication, Alikuwa ni Mtanzania mwenye roho nzuri sana na Mzalendo. Alichotendewa. Malipo yatatolewa kwa laana ya Ajabu kwa Wahusika.
Kuna waovu waliochonga Maneno ya Visa sana ati Tundu Lissu alikuwa anahongwa na Acacia ili kuitetea. Masikini alikuwa akielezea Mtazamo wake tu Kuwa Approach aliyotumia Magufuli itaweza Kusababisha Nchi Kushitakiwa.
Wabunge wa CCM sio wote nao ati wakaanza Kuwazomea Upinzani Kuwa ni mafisadi au Wasaliti ati wao CCM ndio wakombozi wa Nchi! What a joke!
Anyway Nachotaka Kuuliza Hapa ni Kuwa, Kama Tundu Lissu alikuwa Akihongwa na hao Wazungu wa Acacia inakuwaje fedha hizo Mkewe au Chadema hawakuzitoa kukodisha ndege! Yaani Dola 9000 tu walikuwa Hawana. Na hao chadema kama wanahongwa na Acacia mbona hao akina Acacia hawakujikeza kumlipia Tundu Lissu matibabu? Utamwacha mtetezi wako afe?
Hila za Kusingizia watu Wazalendo kuwa ni Wasaliti na Wasaliti kujiita Wazalendo! Mungu anaona. Tundu Lissu hata kama alikuwa ni Bombastic in communication, Alikuwa ni Mtanzania mwenye roho nzuri sana na Mzalendo. Alichotendewa. Malipo yatatolewa kwa laana ya Ajabu kwa Wahusika.
Kwahiyo unamhukumu?Rubbish! Sasa si anayo fahamu mbona wanadunduliza mchango, Je na yeye anacheza kamari na Maisha yake ikiwa pesa anazo? Sasa si anafahamu, mbona angemwambia mkewe au nani jinsi ya kuzichukua hizo " fedha za Acacia"
You know what Brother! Kama Unatoa tu Maoni Mungu asikuhukumu kwa hili. Ila kama wewe Ni mojawapo wa hao Majoka Washenzi unatumwa hapa JF kuendeleza Ushetani! Damu ya Tundu Lissu iwe Juu yako na Iwe laana ya Mauti Kuanzia Dakika hii uhaesabiwe pamoja na Waliotuma na Waliotekeleza Kumpiga Risasi. Amen amen Amen!
Umepotea njia?Damu ya Tundu Lissu Iwe Mauti Juu ya Kichwa chako now! Mimi hilo ni Jibu langu! Amen!