Kuko wapi Kuhongwa kwa Lissu na Acacia?

Kuko wapi Kuhongwa kwa Lissu na Acacia?

Kama Kuna Dhambi Mungu hawezi Kusamehe ni Hila, Unafiki , Kusingizia Uwongo na Kuonea Mtu huku ukijua Unamwonea, asikudanganye Mtu hapo hakuna msamaha!
Una uhakika hakuna msamaha? Ya Mungu muachie Mungu. Sisi tujadili yetu kama binadamu
 
Mkimaliza mnijulishe na mimi kama Mangi Sina alijengewa nyumba na wakoloni kwa usaliti? Au labda walimpa kiwanja kwao...
 
Sawa Lemutuz! Kama bandi inafanya Mtu awe wa "ajabu ajabu" kama mimi ni bora kuvuta bangi mara mia kuliko kuhangaishwa kinyumenyume na uumbaji kama Unavyofanyiwa na Wale ndugu Mange aliosema. Hiyo nayo hayana Msamaha ujue!
....Duh akirudi niite.
 
Jf waliniita Mchochezi, Waovu lazima Wajibiwe na Wawe challenged kwa Nguvu zote! Nilienda Youtube na Kufuungulia "Calliope Tank" kwa kuwa ati walitaka Kuninyamazisha hapa! Wanaotumika hapa kunyamazisha Watu hiyo ndiyo hasara Mtapata Nimeweza Kufikisha Ujumbe kwa zaidi ya Watanzania Milioni 10,000,000 in a Month!
Wewe hopeless tu! Kaa huko huko US. Tanzania utaisikia tu!! Ukisogeza tu pua unanata!!
 
Kuna waovu waliochonga Maneno ya Visa sana ati Tundu Lissu alikuwa anahongwa na Acacia ili kuitetea. Masikini alikuwa akielezea Mtazamo wake tu Kuwa Approach aliyotumia Magufuli itaweza Kusababisha Nchi Kushitakiwa.

Wabunge wa CCM sio wote nao ati wakaanza Kuwazomea Upinzani Kuwa ni mafisadi au Wasaliti ati wao CCM ndio wakombozi wa Nchi! What a joke!

Anyway Nachotaka Kuuliza Hapa ni Kuwa, Kama Tundu Lissu alikuwa Akihongwa na hao Wazungu wa Acacia inakuwaje fedha hizo Mkewe au Chadema hawakuzitoa kukodisha ndege! Yaani Dola 9000 tu walikuwa Hawana. Na hao chadema kama wanahongwa na Acacia mbona hao akina Acacia hawakujikeza kumlipia Tundu Lissu matibabu? Utamwacha mtetezi wako afe?

Hila za Kusingizia watu Wazalendo kuwa ni Wasaliti na Wasaliti kujiita Wazalendo! Mungu anaona. Tundu Lissu hata kama alikuwa ni Bombastic in communication, Alikuwa ni Mtanzania mwenye roho nzuri sana na Mzalendo. Alichotendewa. Malipo yatatolewa kwa laana ya Ajabu kwa Wahusika.
Kufeli kwako kimaisha....na hasira zako zidi ya nchi yetu baki nazo mwenyewe usituambukize upuuzi!
 
Wanaokataza Lissu asitibiwe kwa pesa ya Wananchi
Wanaopiga watu marufuku Lissu asiombewe
Wanakamata watu waliovaa nguo zenye picha za Lissun

Hao ndio waliomshughulikia Lissu Indirect au Direct
 
Kumwaga damu isiyo na hatia,ni sawa na kula nyama ya mtu!Dhambi hiyo haitakuacha maana utaendelea kuwa na kiu ya kunywa damu za watu!Na bahati mbaya ni kwamba,katika nyumba yako damu hiyo itawalilia,na itajilipiza kisasi katika nyumba yako...Hasira za mwenyezi Mungu zitakugharikisha,unless kama mlivyofanya hadharani kuua,njooni hadharani mtubu
 
Fitna na chuki tu dhidi yaLissu lakini hope isthe last thing forus.
 
Unawatukana sio! Simple Logic mtu awe na pesa lakini ajiachie afe! Alichukua hongo aifanyie nini? Kununua Jeneza! Na wewe pia Unga Foleni Damu ya Lissu iite kisasi juu ya kichwa chako! Na yakupate wewe na nyumba yako zaidi ya yaliyompata Lissu ikiwa upo hapa kwa hila za kutetea Maovu! Ila kama ni maoni tu, basi ubarikiwe amen!
Endelea jufifanya huelewi
 
Lazima uwe mwendawazimu kuamini kwamba TL amehongwa na kampuni yoyote ile ya madini. TL hajawahi kuyatetea makampunibya madini tangu huko nyuma wakati Magu akiwa anatetea wawekezaji wa madini. Na hata kipindi hiki hakuwahi kuwatetea Acacia bali alikuwa akigoa tahadhari kwa approach mbovu zilizokuwa zikifanywa. Na alikuwa sahihi sana katika hilo.

Lisu hajawahi kupatwa na kashfa yoyote lakini Magu tunajua alichofanya kwenye uuzwaji wa nyumba za serikali.

Uzalendo wa TL hauwezi kukaribiwa na wa Magu hata kwa kilometer 10,000. Katika uzalendo, mmoja ni mzalendo halisi mwingine ni mtu anayetaka aonekane mzalendo.
 
Kumwaga damu isiyo na hatia,ni sawa na kula nyama ya mtu!Dhambi hiyo haitakuacha maana utaendelea kuwa na kiu ya kunywa damu za watu!Na bahati mbaya ni kwamba,katika nyumba yako damu hiyo itawalilia,na itajilipiza kisasi katika nyumba yako...Hasira za mwenyezi Mungu zitakugharikisha,unless kama mlivyofanya hadharani kuua,njooni hadharani mtubu
Kabisa kabisa yaani. Damu ya mtu haiwezi mwagika hivi hivi ikakuacha salama
 
Kuna waovu waliochonga Maneno ya Visa sana ati Tundu Lissu alikuwa anahongwa na Acacia ili kuitetea. Masikini alikuwa akielezea Mtazamo wake tu Kuwa Approach aliyotumia Magufuli itaweza Kusababisha Nchi Kushitakiwa.

Wabunge wa CCM sio wote nao ati wakaanza Kuwazomea Upinzani Kuwa ni mafisadi au Wasaliti ati wao CCM ndio wakombozi wa Nchi! What a joke!

Anyway Nachotaka Kuuliza Hapa ni Kuwa, Kama Tundu Lissu alikuwa Akihongwa na hao Wazungu wa Acacia inakuwaje fedha hizo Mkewe au Chadema hawakuzitoa kukodisha ndege! Yaani Dola 9000 tu walikuwa Hawana. Na hao chadema kama wanahongwa na Acacia mbona hao akina Acacia hawakujikeza kumlipia Tundu Lissu matibabu? Utamwacha mtetezi wako afe?

Hila za Kusingizia watu Wazalendo kuwa ni Wasaliti na Wasaliti kujiita Wazalendo! Mungu anaona. Tundu Lissu hata kama alikuwa ni Bombastic in communication, Alikuwa ni Mtanzania mwenye roho nzuri sana na Mzalendo. Alichotendewa. Malipo yatatolewa kwa laana ya Ajabu kwa Wahusika.
Kwahiyo Mkuu ww unavyodhani lissu kwenye acc. Yake alikosa hiyo 20ml. Mpaka chama kianze kupiga kopo?
 
Wewe Marandu ni bogus. Tumekwishajua kuwa unaishi US nyumbani kwa Dada yako, na kwamba unatokea happy kurusha Kashifa na matusi huku nyumbani, Tanzania.
 
Wewe una chuki binafsi. Lisu alihongwa na alikuwa mnafiki na ataendelea kuwa mnafiki namba kwa kuwadanganya watu wake. Ni mla rushwa
Kama Lissu kweli ni Mla Rushwa Ubarikiwe kwa Kutujulisha! Kama wewe ni Mtetezi wa Wauaji na Washenzi Damu ya Tundu Lissu Iwe juu yako na Familia yako! Iwe Laana ya Mauti kuanzia Leo hii, yakupate wewe Mara Mia ya aliyofanyiwa Lissu! Maana Lissu angekuwa ndugu yako Usingesema haya!
 
Back
Top Bottom