Kuko wapi Kuhongwa kwa Lissu na Acacia?

Kuko wapi Kuhongwa kwa Lissu na Acacia?

Kama Kuna Dhambi Mungu hawezi Kusamehe ni Hila, Unafiki , Kusingizia Uwongo na Kuonea Mtu huku ukijua Unamwonea, asikudanganye Mtu hapo hakuna msamaha!

Umefikia kiwango cha kumpangia Mungu kipi asamehe na kipi asisamehe!
 
Meku ulitaka hao wazungu waite press conference wakutangazie kwamba wanamhudumia Lissu? Wewe huwa unaamini kila ambacho hakisemwi basi hakipo??

Tunachotaka Mungu amponye Lissu na waliompiga risasi watiwe nguvuni... Hizi kombolela zingine hazina maana
Daaaa!!!!!,[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nimeupenda sana ujumbe wako. .
 
Umefikia kiwango cha kumpangia Mungu kipi asamehe na kipi asisamehe!
Ndivyo ulivyosoma? By the way Nimepewa Mamlaka ya kufunga kitu duniani na kikafungwa mbinguni, na kufuungua duniani na kikafuunguliwa mbinguni. Msamaha wa kuzini anautoa Mungu lakini Msamaha wa Kunipiga risasi unatolewa na mimi! Je walimwonea Lissu wanadhani Mungu anaweza kuwasamehe bila wao kumwomba Lissu Msamaha pamoja na Watanzania? Ni kwa kujua hayo ndio maana Nikasema hakuna Msamaha kwa Mbwa hao! Imekuudhi? Huo ndio ukweli. Am a Preacher too my friend!
 
Allah anasababu zake za kumuweka tundu lisu hai ili adhihirishie uma ni kinatendeka sina chama ila kwa hili limeniuma sana kwa binadamu mwenzangu kutaka kuuwa kinyama madaraka tutayaacha tuwe na hofu ya mungu
 
$11 in 3months?! Please tell us it is a typo, then let us know the actual amount you wanted to show.[emoji2]
No its not I have a Statewide Electrical Construction company! The $11 million is a 3 months return not a profit or call it volume of jobs!
 
Nauliza tu ile ndege iliyozuiliwa kwa deni ambayo Mh Lisu alitutaarifu watanzania je imeshafika au bado inatengenezwa?nilitaka kujua tu kwani kati ambavyo vimesababisha kitaka kumuua Lisu pia nazani na hiyo habari,sasa nani mkweli serikali au Mh T. Lisu nani mzarendo.
....
.....ingefika weeh hata sisimizi wangesikia
 
Ndivyo ulivyosoma? By the way Nimepewa Mamlaka ya kufunga kitu duniani na kikafungwa mbinguni, na kufuungua duniani na kikafuunguliwa mbinguni. Msamaha wa kuzini anautoa Mungu lakini Msamaha wa Kunipiga risasi unatolewa na mimi! Je walimwonea Lissu wanadhani Mungu anaweza kuwasamehe bila wao kumwomba Lissu Msamaha pamoja na Watanzania? Ni kwa kujua hayo ndio maana Nikasema hakuna Msamaha kwa Mbwa hao! Imekuudhi? Huo ndio ukweli. Am a Preacher too my friend!
You r nothing closer to a preacher, you r an agent of devil in its own manifestation.
 
Upo sahihi kabisa huwezi kuhongwa uwe simple kiasi kile ..

Maana historian yawahongwaji tunaijua kutoka kula mihogo mpaka kwenda kuishi canada.
Mkuu umetwanga kwenye ukweli. Sio wa Canada tuu, bali hata wale wanao enda Kigali kutumbua maisha na vidosho wa Kinyarwanda. Familia ya Lissu kama ingekuwa na utajiri huo wa kuhongwa lazima sasa hivi hiyo $50,000 ingekuwa imeshatolewa kumpeleka Marekani kutibiwa na sio kutegemea michango ya dola mbilimbili.
 
Kuna waovu waliochonga Maneno ya Visa sana ati Tundu Lissu alikuwa anahongwa na Acacia ili kuitetea. Masikini alikuwa akielezea Mtazamo wake tu Kuwa Approach aliyotumia Magufuli itaweza Kusababisha Nchi Kushitakiwa.

Wabunge wa CCM sio wote nao ati wakaanza Kuwazomea Upinzani Kuwa ni mafisadi au Wasaliti ati wao CCM ndio wakombozi wa Nchi! What a joke!

Anyway Nachotaka Kuuliza Hapa ni Kuwa, Kama Tundu Lissu alikuwa Akihongwa na hao Wazungu wa Acacia inakuwaje fedha hizo Mkewe au Chadema hawakuzitoa kukodisha ndege! Yaani Dola 9000 tu walikuwa Hawana. Na hao chadema kama wanahongwa na Acacia mbona hao akina Acacia hawakujikeza kumlipia Tundu Lissu matibabu? Utamwacha mtetezi wako afe?

Hila za Kusingizia watu Wazalendo kuwa ni Wasaliti na Wasaliti kujiita Wazalendo! Mungu anaona. Tundu Lissu hata kama alikuwa ni Bombastic in communication, Alikuwa ni Mtanzania mwenye roho nzuri sana na Mzalendo. Alichotendewa. Malipo yatatolewa kwa laana ya Ajabu kwa Wahusika.
SIasa sio kama unavyooiona wala unavyoielezea wewe hapo. Kuna mengi sana katika uwanja huo
 
Nina Mashaka na Wewe Unachofanya hapa! Maana nashidhwa kuelewa hoja yako nini hasa, na Katika Kunijibu hivi lazima una lengo fulani, Je ni lengo la Kusisitiza uwongo kuwa Tundu Lissu alihongwa lakini Mke wake akaamua asizitumie hizo fedha kumpeleka Nairobi? Does it make sense? Unamwakilisha nani hapa by the way? Je ni kweli unataka Tundu Lissu apone? U don't sound so!
Unauhakika gani kama huko Nairobi hawafanyi maigizo?
 
Kuna waovu waliochonga Maneno ya Visa sana ati Tundu Lissu alikuwa anahongwa na Acacia ili kuitetea. Masikini alikuwa akielezea Mtazamo wake tu Kuwa Approach aliyotumia Magufuli itaweza Kusababisha Nchi Kushitakiwa.

Wabunge wa CCM sio wote nao ati wakaanza Kuwazomea Upinzani Kuwa ni mafisadi au Wasaliti ati wao CCM ndio wakombozi wa Nchi! What a joke!

Anyway Nachotaka Kuuliza Hapa ni Kuwa, Kama Tundu Lissu alikuwa Akihongwa na hao Wazungu wa Acacia inakuwaje fedha hizo Mkewe au Chadema hawakuzitoa kukodisha ndege! Yaani Dola 9000 tu walikuwa Hawana. Na hao chadema kama wanahongwa na Acacia mbona hao akina Acacia hawakujikeza kumlipia Tundu Lissu matibabu? Utamwacha mtetezi wako afe?

Hila za Kusingizia watu Wazalendo kuwa ni Wasaliti na Wasaliti kujiita Wazalendo! Mungu anaona. Tundu Lissu hata kama alikuwa ni Bombastic in communication, Alikuwa ni Mtanzania mwenye roho nzuri sana na Mzalendo. Alichotendewa. Malipo yatatolewa kwa laana ya Ajabu kwa Wahusika.

Mkuu mbona unatoa kauli za kama vile Lissu is no longer with us. Lissu yuko hai na imani yangu akitoka huko atakuwa bombastic mara kumi zaidi ya awali.
 
Back
Top Bottom