Kuko wapi Kuhongwa kwa Lissu na Acacia?

Kuko wapi Kuhongwa kwa Lissu na Acacia?

Na kama alihongwa hiyo mahakama ya rushwa ina maana gani. Kwanini hawakumchukulia hatua za kisheria ?? Walumumba ni wajinga sana, wana uwezo mkubwa sana wa kuunga mkono propaganda za kitoto na kijinga.
 
Dont you think the devils are those who wanted to Assassinate Lissu, together with their stooges you being one of them? Time will tell who is the devil. Na Ni kitu gani Kimekukasirisha hivyo ghafla, Je unahusika na Kutaka Kumuua Lissu? Maana nakushangaa Ghadhabu inatoka wapi hiyo!
Sijahusika, na nimemchangia Lissu ili apone haraka, kikubwa tuache kuhukumu, tuache ku point fingers, kama Mungu atafanya jambo tuache afanye,
 
Upo sahihi kabisa huwezi kuhongwa uwe simple kiasi kile ..

Maana historian yawahongwaji tunaijua kutoka kula mihogo mpaka kwenda kuishi canada.
Huyo Mla mihogo, anajiandaa kurudi, ana deni la kulipa afanyishwe kazi kama Le profesor lipumbav. Bahati nzuri kizingiti bado Mungu anakipigania Nairobi.
 
Nashangaa kwa nini Mungu anaendelea kuruhusu CCM kuendelea kuwepo duniani.
 
Sijahusika, na nimemchangia Lissu ili apone haraka, kikubwa tuache kuhukumu, tuache ku point fingers, kama Mungu atafanya jambo tuache afanye,
Mimi nasema Waliotaka Kumuua Tundu Lissu, Wafe wao na Ndugu zao hasira yako nini? Una maslahi nao? Unawajua? Wafe period Wakipanda Ndege iwe silaha dhidi yao, Wakipanda Magari yawe makaburi yao, Wakila Chakula kigeuke Sumu ya Kufisha! Marafiki za Wageuke Maadui wa Kuwawinda, Hata kama wanafuga Ng'ombe wakienda kuwatazama Ngo'mbe hao wageuke na kuwashambulia kama Simba. Naomba haya Kwa Jina na Kwa Damu ya Yesu! Amen Amen Amen! Anayekasirika Basi anahusika.
 
Sio lazima utukane watu maana kukubaliana na mtazamo wa Lisu sio lazima pia. Ukweli kwenye hizi issue wazungu hawatoboi bila kucheza na locals. Congo, SA, Botswana n.k ndio game plan yao. Msijione mna akili sana.
Kweli wapo locals waliopitisha sheria mbovu kwa dharura ili kuwahi mshiko. Na wenzao walosaini mikataba mibovu ili kujineemesha.
 
Uliona wapi mhanga anajihudumia mwenyewe? Misiba ya kiafrika walionacho ndiyo huchangiwa pesa nyingi, msiba wa mlalahoi nani huifikia? Huna hoja wewe na wote wanaokushabikia , wewe endelea kuishi huko ugenini hatujui unakulaje wapi na kulala wapi, pengine umewekwa ndani ili maisha yasonge na ndiyo maana una msongo wa mawazo
 
Mkuu umesema kweli. Wengi waliparamia gari kwa mbele. Wengi nasema wengi ndani ya ccm kuanzia ngazi za juu hawakutaka kumwelewa Lissu anasema nini wote wali conclude anawatetea wazungu. Lissu alikuwa analitetea taifa kwamba maamuzi tunayoyafanya ni hasara kwa taifa. Hawakutaka kusikiliza sasa aibu kwao. Lissu wamemwonea sana kutaka kujaribu kuchukua uhai wake.,Aliuliza mikataba iko wapi iwekwe wazi ni wazi waliosaini Hii mikataba ndio wa kusulubiwa sio Lissu. Wataanza kunyosheana vidole muda si mrefu na wasiojulikana watajulikana. Lissu ni Mzalendo kweli wengine ni waigizaji!
Nyie mnaomshabikia huyo chizi anayeishi ughaibuni kwa msaada wa vidume vya kizungu mna matatizo. Hivi familia ya Lissu haikukodisha ndege kisa haikuwa na uwezo? Huruma ni kitu cha kwanza kwa mila na desturi zetu. Misiba ya matajiri inapokuwa ya kifahari huwa pesa yao ndo imtimika au mbwembwe za kuoneshana ufahari katika michango? Harusi je?
 
Back
Top Bottom