Jamani hebu angalia pesa za walala hoi wa Bongo zinavyotafunwa. Huyu Waziri wa Nishati na Madini Mh. Ngeleja kalipiwa kiasi kingi kuhudhuria mkutano huo nchini Ufaransa. Sasa huyu kweli kaenda kuhudhuria kweli?
![]()

Kalala night club.Du jamaa anauchapa usingizi....
Huu mkutano una Rais wa nchi moja tu? Sikumbuki hizo sura nyingine kama ni viongozi wa nchi
Jamani hebu angalia pesa za walala hoi wa Bongo zinavyotafunwa. Huyu Waziri wa Nishati na Madini Mh. Ngeleja kalipiwa kiasi kingi kuhudhuria mkutano huo nchini Ufaransa. Sasa huyu kweli kaenda kuhudhuria kweli?
![]()
Anatafakari hoja kwa umakini sana.......🙂, halfu JK hata kumshitua mwenzake...!!!
- May be ndo maana MKWERE anahitaji kuhudhuria kila meeting out there as he can't rely on his Ministers! (hata hizi meetings ambazo he's the only presidaaaaa, HUH!!!)
View attachment 24323
Kama unaweza kupata usingizi mbele ya boss wako (huko Paris) while sensitive issues za maendeleo ya nchi yako zikiwa kwenye discussion (balaaa!!!)
- Vipi wakati mkataba wa buzwagi/dowans utakapowekwa mezani, utasign kutokea usingizini? Utamshauri presidaaa nini?
- Na MKWERE anasoma nini while everybody else is listerning? (but at least he's AWAKE)