Kujiuzuru hutaki lakini.....

lazima waziri alale bana, kwanza jana yake alikesha, halafu asubuhi hii mkuu wake anasoma ilani ya chama wakati wenzake (sio marais) wanasikiliza.

Labda na yeye alikuwa kwenye maombi ya kina- kuombea mkutano uwe salama!!!
 
Hapo yupo hadharani tu lakini amelala, akiwa ofisini peke yake kuna atakalofanya kweli?
 
Jamani mnataka afanye nini tena? keshakula transport and accomodation allowances zake freeeessssh kabisa, hana shida...suala la kufuatilia kinachoendelea hapo sio issue yake ya msingi, cha maana ni je akaunti imesoma? shame on this government!!!!
 
In the name of father and son and the Holly Ghost,

let thy lord save us from these devils
 
WanaJF,

Kwa wale ambao wana uzoefu na mambo ya itifaki na taratibu za misafara ya viongozi wa juu katika mikutano mbalimbali naomba mtujulishe kama ni lazima washiriki hata kama ni Raisi wa nchi avae kitambulisho kama Mh. JK alivyovaa kwenye mkutano wa EITI huko Paris.

Je Raisi Obama kama angekuwa na muda wa kuhudhuria yeye binafsi kwenye huo mkutano angevalishwa kitambulisho? Sina uzoefu wala uelewa kuhusu hilo hivyo naomba tuelimishane.

Elimu haina mwisho!
 
Tatizo kubwa la viongozi wa nchi africa ni kutojiamini,na kufanya kazi ambazo zingefanywa na mawaziri au makamishina,,huu mkutano wa EITI hakukuwa na ulazima wa JK kwenda angetuma kamishina wa madini au waziri,sasa kajipendekeza na amedhalilika
 
Tatizo kubwa la viongozi wa nchi africa ni kutojiamini,na kufanya kazi ambazo zingefanywa na mawaziri au makamishina,,huu mkutano wa EITI hakukuwa na ulazima wa JK kwenda angetuma kamishina wa madini au waziri,sasa kajipendekeza na amedhalilika
kushindwa kupanga vipaumbele kwa viongozi wetu ndio huko kunapopelekea hata kushindwa kupangilia mambo kuanzia kwenye hotuba hadi itifaki,cheki kama hiyo hotuba ya JK ina makosa kuanzia kwenye salam anamsalimia mwanamke maada chairman.....
 
Lete evidence kua hakukua na maana ya rais kwenda thn utanisaidia kuelewa kua ww c mtu wa mawani ya bluu bali great thinker
 
Evidence ni wazi unaweza kucheki kwenye google ajenda za mkutano na wewe ukatumia akili yako mwenyewe kupima kama zilikuwa na uzito wa rais wa nchi ambaye nchi yake ina matatizo kibao kwenda huko,kama kweli kipaumbele ni kwenda kuomba nchi iwe member wa EITI,uchumi wa taifa hauboreshwi au kukuzwa na kujiunga kwenye kila mtandao au jumuia mpya,Tuna kamishina wa madini na hili swala angeweza kabisa kuliadress vizuri
 
Kulikuwa na maraisi wengine? Je ina maana hawamjui mpaka avae beji au inakuwaje? Bado sijaelewa wakuu
 
Halafu jamaa huwa anahudhuria hata mikutano ya mawaziri duh
 
Du jamaa anauchapa usingizi....

Msimuonee, Waziri anatafakari kwa kina, iweje tangu wamefika umeme haujakatika! wanatumia miujiza gani hawa wenzetu.
Wengine wanasoma jarida la Vogue kujua kilichomsibu John Gaglliano.
 
Back
Top Bottom