Kujiuzuru hutaki lakini.....

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,948
709
Jamani hebu angalia pesa za walala hoi wa Bongo zinavyotafunwa. Huyu Waziri wa Nishati na Madini Mh. Ngeleja kalipiwa kiasi kingi kuhudhuria mkutano huo nchini Ufaransa. Sasa huyu kweli kaenda kuhudhuria kweli?

03_11_8cu1nz.jpg
 
Ngeleje anasinzia au ni macho yangu!

Yap anasinzira jet lag labda inagomba hhahahah hii inji bana..mkulu hakustahili kuwepo kwenye huu mkutano. Unakimbia maandamano ukirudi utayakuta tena yamepamba moto weh haya tuu
 
Mawili, either anakemea na kuvunja nguvu za giza au kabla aligonga mvinyo wa kutosha. Ndo maana tunaingia mikataba ya kiboya.
 
Mpiga picha kamtaimu mahala sipo tu, si unajua ile ya ndoano. jetlag hilo.....Najaribu kumpa benefit of a doubt!!!!
 
JK mwenyewe kasinzia ila katia pozi kufungua kitabu ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Inawezekana mtoa hotuba no bonge la mtoto sasa mwenzetu anaangalia vitu vimeamka....hehehehehe
 
Jamani hebu angalia pesa za walala hoi wa Bongo zinavyotafunwa. Huyu Waziri wa Nishati na Madini Mh. Ngeleja kalipiwa kiasi kingi kuhudhuria mkutano huo nchini Ufaransa. Sasa huyu kweli kaenda kuhudhuria kweli?

03_11_8cu1nz.jpg

Kwanza kwa nini wameenda wote wawili? Halafu JK badala ya kusikiliza anasoma baada ya kupigwa chenga na pronunciation ya mtoa mada, si angevaa tu headphones ili ampate kwa kiswahili?
 
Hii mijamaa inayolala ndo inayoendelea kutuletea matatizo nchini... Kwake umeme hakuna wawekezaji wanakimbia kambi...lenyewe linalala tu kwenye vikao...PUMBAFU HILI DOGO...NA LI LAANINIWE. Baya zaidi linalala mbele ya bosi nae analiacha........nimekerwa kweli kweli....wana JF...mnasamehe kwa kuonyesha ukali
 
Halafu ni aibu kwa Rais kuvalishwa name tag....kweli huu ulikuwa mkutano wa level ya chini sana kwa Rais...Ngeleja angetosha labda kama hana uwezo wa kuhudhuria
 
Jamani hebu angalia pesa za walala hoi wa Bongo zinavyotafunwa. Huyu Waziri wa Nishati na Madini Mh. Ngeleja kalipiwa kiasi kingi kuhudhuria mkutano huo nchini Ufaransa. Sasa huyu kweli kaenda kuhudhuria kweli?

03_11_8cu1nz.jpg

January Makamba anamfanyia kazi zake kwa nini asipumzike?
 
Halafu ni aibu kwa Rais kuvalishwa name tag....kweli huu ulikuwa mkutano wa level ya chini sana kwa Rais...Ngeleja angetosha labda kama hana uwezo wa kuhudhuria

Hata Mkurugenzi wa Umeme wizarani angetosha. Watakuwa wanakwepa kuwa sehemu ya maamuzi ya January Makamba. Wakirudi na kukuta uamuzi wa kuwasha DOWANS haujafanyika watasafiri tena
 
Jamani hebu angalia pesa za walala hoi wa Bongo zinavyotafunwa. Huyu Waziri wa Nishati na Madini Mh. Ngeleja kalipiwa kiasi kingi kuhudhuria mkutano huo nchini Ufaransa. Sasa huyu kweli kaenda kuhudhuria kweli?

03_11_8cu1nz.jpg

Huu mkutano una Rais wa nchi moja tu? Sikumbuki hizo sura nyingine kama ni viongozi wa nchi
 
Back
Top Bottom