Kujiunga na Chuo cha Usalama wa Taifa kilichopo Mbweni, Bunju

Hapana sio ngumu,

Kama umemaliza masomo na hukwenda mafunzo ya jeshi mwezi wakwanza, basi jiandae kwenda mwezi wa kwanza mwaka ujao!

Ila nikujuzi kidogo jinsi yakuchukuchua watu kutoka JWTZ,JKT

Wanaweza kuwaandaa watu zaidi ya 30 lakini wakawachukua wawili tu, na siku ya kuwachukua
Anaweza kuja afisa wajeshi katika camp yenu akasema,


"Naomba watu wawili wakazibu choo cha maafisa kule kimeziba sana, Sawa!"

Hapo watakao inuka na kuwahi kwenda basi hao ndio wanaondoka jumla kuelekea kwenye ujasusi na sio kuzibua choo!

Kwahiyo nidhamu na uwezo wa kufikiri/akili tena zile za kipaji ndio msingi wa wewe kupata kazi hiyo
Uko sahihi..kabisa
 
habali ndugu zangu wa jf,kwa watu wanaokaa maeneo ya mbweni kuna chuo pale kinaitwa usalama ambacho
kuna mafunzo na masomo ya usalama yanafundishwa na kuna wanafunzi nawaonaga wanasoma ila hawanaga stori na watu.

kwa mtu anaefahamu atuambiee tuuu...wanangaliaaa sifa zipi....na una apply gani.....tusaidieni wenzenu...ambaoo tupo mtaani
Mkuu huwa ni connection au directory inatoka mbali sana kukutafuta na kukufuatilia ila wengi wanakuwa selected toka kwenye shule na vyuo kwa vigezo maalum.
 
Wachana kabisa na inshu za Usalama zitakuvurugia maisha yako uwe kiguu na njia Na mwisho utapoteaa ktk hali ya kutatanisha hio kazi ni mbaya mno kama unacho cha kupoteza mfano mama,baba,wanao kama hawa watu wanakutegemea wachana na kuwaza ushushu zipo kazi nyingi za kukupa thamani na sio hio ya kukesha kama popo na kuzurura kama mbuzi wa alibadili ,Tulia mkuu hao wavaa kaunda suti wenyewe wamechoka haswa maisha ya kupangiwa na kufatiliwa kila nukta, it's worse job ever
 
Hello wakuu!!kama kuna mwenye mchongo wa job za hao watu,plz naomba anijulishe!elimu yangu,ni ya vidato 6.sababu ya mimi kutaka kuwa nao ni mapenzi yangu binafc 2 na hyo kazi..
Mkuu kazi hiyo haitolewi kwa style ya matangazo wala kwa kuitafuta bali kama bahati yako kazi hiyo itakutafuta wewe popote ulipo mradi uwe na sifa na uwe eneo husika wakati sahihi. Hiyo ni kazi ya mheshimiwa Rais. Unafanya kazi sio ya umma kama zingine bali unafanya kazi ya Mh. Raisi.
 
Sio shamba LA bibi kila MTU anaye jisikia kuwa anataka kuwa usalama wa taifa aende pia wana utaratibu wao na hawakurupuki kumchukua MTU pasipo kujilikana lzm wafanye analysis ya kutosha juu yako Tabia zako,sio lazima uwe usalama wa taifa lkn unaweza saidiana na wizara ya mambo ya ndani chini ya jeshi LA police pale unapoona hali ya uvunjifu wa amani kwa kutoa taarifa kwa vyombo husika.
 
Back
Top Bottom