Kujiunga na Chuo cha Usalama wa Taifa kilichopo Mbweni, Bunju

Hivi hawa mabwana (TISS) hawana wavuti?


Haaa haaa Haaa haaa teeeh teeeh.
Mkuu,
Nenda pale , Magogoni au ukiona rais siku anahutubia mahala popote pale wewe waendee wale jamaa walio huku karibu na wananchi wenye viwaya masikioni kisha waombe utapewa anuwani ya wavuti yao mubashara kabisa bila chengachenga.
 
Kutotangazwa kwa nafasi za TISS ni u pu u z i! Hizi nafasi za kazi zinazotakiwa ziwe wazi kwa kila MTZ na sifa ziwe zinajulikana!

FBI na CIA wanatangaza wazi nafasi zao kwa wa Marekani why not Tanzania?


Unadhani kuwa hiyo kazi ni Kama bongo star search na gospel search!?

Ni nchi chache sana zinazotangaza nafasi hizo na mifumo yao iko wazi kwa sababu ya teknolojia kiasi kwamba akitajwa tu let's say "Yericko Nyerere" wanaingia kwenye database yao taarifa zake computer ndiyo itamkubali au kumkataa, kwa sababu ya vigezo vilivyoainishwa na kitengo husika.

Ila , kwetu huko Tanzania bado tuko Zama za Mawe na Ujima hasa kwenye teknolojia na hasa taarifa na mienendo ya raia wetu.

Kwa hiyo, ni lazima wafanye uchaguzi Kwa siri na muda mrefu sana ili wakujue vizuri.

Japo UwT yetu iko poa.
 
Mkuu,

Mawazo yako ni mazuri sana,

Ila nina swali je, nchi itapataje watu wa kufanya hii kazi kama wewe utatoa nasaha kama hivyo!?
watu wapo wapo tu,watu wenye uwezo wapo tu,wasiotaka maSLAHI MBELE ZAIDI WAPO.labda nikupe mfano mm nna rafiki yangu ambaye tangu msingi alikua na hulka na mkakamavu,mkimbia riadha,mrusha tufe jasiri,anatii anachoagizwa sio anaongeza na yako,anajua mipaka yake na hana utashi binafsi kwenye maslahi ya kazi,yupo huko hakufaulu shule kubwa ila alikwenda shule za kawaida,sasa ana degree km nne na anaruka ndani na nje ya nchi km unapotoka dar kwenda moshi.
walimspoti tangu primary then wakaenda nae mpaka o level akapata division two 18 then akaenda ujerumani ila wao ndo walimuomba akakubali yuko nao
 
Haaa haaa Haaa haaa teeeh teeeh.
Mkuu,
Nenda pale , Magogoni au ukiona rais siku anahutubia mahala popote pale wewe waendee wale jamaa walio huku karibu na wananchi wenye viwaya masikioni kisha waombe utapewa anuwani ya wavuti yao mubashara kabisa bila chengachenga.
Baada ya kusoma kitabu cha E. Chahali SHUSHUSHU......nimejifunza mengi sana sasa..hata hilo swali nililouliza hapo mwanzo nimepata jibu lake.
 
Umofia kwenu wanajukwaa.

Mada hapo juu yahusika. Nimekuwa nikihangaika kujiunga na Idara hii nyeti ya Taifa tangu mwaka 2014. Nilianzia mkoani kwetu kwa kuonana na Ofisa usalama wa Taifa mkoa ambaye alinihoji ofisini kwake kwa muda na baadae kufurahishwa na Mimi kuipenda kazi yao na kunielekeza nikaanzie wilayani kwetu.

Nilifanya hivyo kwa kukutana Ofisa usalama wa Taifa wilaya ambaye baada ya maongezi tuliachiana namba za Simu kuwa atanitafuta nafasi zikitoka.


Kila nikimpigia simu anasema hakuna nafasi zilizotangazwa makao makuu Taifa kuja wilayani. Tumeendelea kuwasiliana lakini majibu hayohayo. Mimi nimekuwa nikitaka kujiunga na Idara hii nyeti tangu nikiwa mtoto. Sasa naona ndoto yangu inapotea. Mwenye kujua jinsi ya kujiunga anielekeze kwani nimepoteza tumaini na ofisa huyu wilayani.


Mbona majeshi mengine nafasi zinatoka na watu wanajiunga? Karibuni kwa ushauri na maelekezo. Natanguliza asante kwenu.
 
Mkuu you tried, lakini let it go... we nenda tu kafanye mambo mengine. Lakini kama kweli you made an impression, watakutafuta when the time comes. Otherwise kafanye issue zingine na hilo swala litoe kichwani mwako for the time being.
 
mnaboa na thread za hivi kila siku...kuna threads nyingi sana humu kweny jukwaa la intelligence nenda kasearch huko watu wameeleza kwa kina sana jinsi ya kujiunga na hao wanaojiita usalama wa taifa...usianzishe thread kbl hujatafuta key words za hiyo mada yako...jf kila kitu kimeshajadiliwa,unachofanya ni kutafuta uzi husika then una update km unataka infor zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umofia kwenu wanajukwaa. Mada hapo juu yahusika. Nimekuwa nikihangaika kujiunga na Idara hii nyeti ya Taifa tangu mwaka 2014. Nilianzia mkoani kwetu kwa kuonana na Ofisa usalama wa Taifa mkoa ambaye alinihoji ofisini kwake kwa muda na baadae kufurahishwa na Mimi kuipenda kazi yao na kunielekeza nikaanzie wilayani kwetu. Nilifanya hivyo kwa kukutana Ofisa usalama wa Taifa wilaya ambaye baada ya maongezi tuliachiana namba za Simu kuwa atanitafuta nafasi zikitoka. Kila nikimpigia simu anasema hakuna nafasi zilizotangazwa makao makuu Taifa kuja wilayani. Tumeendelea kuwasiliana lakini majibu hayohayo. Mimi nimekuwa nikitaka kujiunga na Idara hii nyeti tangu nikiwa mtoto. Sasa naona ndoto yangu inapotea. Mwenye kujua jinsi ya kujiunga anielekeze kwani nimepoteza tumaini na ofisa huyu wilayani. Mbona majeshi mengine nafasi zinatoka na watu wanajiunga? Karibuni kwa ushauri na maelekezo. Natanguliza asante kwenu.
Yaani mpaka hapo hiyo kazi sahau tafuta kazi nyingine tuu.......hakuna kazi hapo.
 
Yaani tokea ukiwa shuleni KWAKO kuna tiss kama masekandi masta. Hapo huwa wanawaona vijana walio na qualities/traits zinazoendana na hiyo kazi. Ukiwa jkt,chuoni pia huko wapo watu wa kutafuta vijana wa kuifia NCHI mkuu.pia ni kazi hatari uwe tayari kufa ili taifa liwe salama. Unatembea na hela na kifo vyote mkononi. Huko huwa hawaendi kwa kutaka wenyewe ila wao wanaokuona Kama unawafaa.ni kama ukiwa darasani lazima utajia tabia ya kila mtoto I.e mwanafunzi anayependa kusoma,kufanya tests,exams,mpenda bata,clubs, viongozi,wachungaji,wezi,wafanyabiashara,wagomvi,wapole,wapenda haki,wapenda madhambi hata na fujo utawajua. So ndio ivyo huwa wanapatikana.na kama ukiwa na traits wanAzozitaka mkuu wanakufuata hata unaelezwa hata wakuu baadhi wakiwepo.ni kama yule aliyekuwa bamedi sinza aliyepewa u-ras watu wakamind hawajui Kama alikuwa pale kikazi.mana hotelini majambazi na watu wengi huenda kukaa kupanga mipango YAO.so anaweza akawa trap Mongezi YAO.


Unamkuta MTU anahudhuria kozi kibao za vijana wa jkt humo lengo lake ni kuwasoma minds za vijana .


MTU anasoma vyuo Vinci na kudisco mkuu ana lake jambo.

Niliambiwa kuwa kuna jamaa alikuwa anasoma Russia ile kozi ya lugha kama miaka 7 yupo anaisoma hajawahi enda main kozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom