Mjasiriamali1
JF-Expert Member
- Jun 8, 2009
- 891
- 237
ushawahi kushiriki tendo la ndoa kinyume na maumbile yaani kuzibuliwa?
Ahaa nimecheka kinoma. Eti umesema KUZIBULIWA?hahaha!
ushawahi kushiriki tendo la ndoa kinyume na maumbile yaani kuzibuliwa?
wapendwa ndugu zangu wa JF nawasalimu
nisaidieni hili jambo lanikatiza sana
1. kwa nini mtu anajamba na wengine hawajambi
2. kwa nini vijambo vingine vinanuka sana hadi msikilizaji anachanganyikiwa kwa harufu?
3. inakuwaje mtu anajamba mara nyingi zaidi ya mara tano kwa nusu saa? kila saa ni piuuuuuuuuuuuu, piiiiii etc
4. inatokea boss wako anajamba sana unamshaurije? yeye kila saa anajamba tu anakupotezea memory hata kazi hazifanyiki
5. mwisho tufanyeje kutokomeza kujamba ovyo?
asanteni kama siyo jukwaa sahihi mtaniwia rathi ila ujumbe utafika na hapa ni uwanja wa marafiki wengi wanaojamba na wasiojamba.
Shiiit tena umenikumbusha leo sidhani kama nimejamba, there is something wrong somewhere.
Ha ha ha...nyie watu mtatuvunja mbavu!:madgrin::madgrin::madgrin::madgrin:Me sizani kama kila binadam anajamba,hivi mnataka kuniambia na mrembo wetu WEMA SEPETU naye huwa anajamba ama kunya?
Ha ha ha...nyie watu mtatuvunja mbavu!:madgrin::madgrin::madgrin::madgrin:
Me sizani kama kila binadam anajamba,hivi mnataka kuniambia na mrembo wetu WEMA SEPETU naye huwa anajamba ama kunya?