Kaboni kuinufaisha Tanzania

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Tanzania imepokea makampuni zaidi ya 20 kutoka mataifa mbalimbali duniani ambayo yameingia mkataba wa kufanya uwekezaji katika biashara ya hewa ya Kaboni unaotarajiwa kuwa wa thamani ya zaidi ya dola za Kimarekani bilioni 10 (Tshs. 25 tr).

Mhe. Waziri Angela Kairuki hivi karibuni alinukuliwa akisema Watanzania wachangamkie fursa mapema maana biashara ya kaboni haina maisha marefu kwa sababu dunia inafanya jitihada za kupunguza au kuondokana na hewa chafu ya kaboni.

Maswali:-

Hivi ushuzi nao ni hewa ya kaboni?

Kama ni kaboni je, vijambo navyo vinatishiwa kwisha duniani?

Ukichukuwa tani nyingi za maharagwe mabovu ukatoa msaada mashuleni ili wanafunzi wakila waaze kujamba alafu unavuna ushuzi unaenda kuuzia wawekezaji hao upate ela nzuri.
 
Back
Top Bottom