Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Ushuzi ni ushuzi tu N'Ngabu kwanini wakwako uuone salama?
Anyway tusubiri watu wa kada hii watujuze zaidi!
 
Kuuliza si ujinga walisemaga wahenga.

Hivi harufu ya ushuzi (hapa nazungumzia ushuzi wa mtu mwingine na si wa kwako mwenyewe) ina madhara yoyote ya kiafya kwa binadamu?

hahaha umenikumbusha hiki kibonzo!...

 
Last edited by a moderator:
nn, ushuzi (ashakum si matusi) unatengenezwa kwa kiasi kikubwa na hydrogen sulfide gas. mpaka nipate desa, lakini nadhani ukipata 1ppm of hydrogen sulfide gas inaweza kukuletea madhara. dalili zz madhara zitategemea muda na kiasi ambacho utakuwa exposed to. hydrogen sulfide ina-combat red blood cells na kuzuia uchukuzi wa oxygen kwenye damu. hii husababisha maafa hasa kwa watu walio kwenye confined spaces. tatizo kubwa ni kuwa unapopata exposure baada ya muda wa kama dk 5, sense of smell dies so u get attacked unknowingly. so, 2 issues to make sure u dont die:
1 mkila maharagwe ama jamii za kunde msijifunike gubigubi
2 ni muhimu kuwa na ventilation ya kutosha chumbani
 
Ushuzi unamadhara makubwa sana Ivi ukupata ripoti ya wale waliokufa kwenye mahabusu mbalali kuwa kuna mtu aliachia Yusufuuu tatu na kuleta yale madhara.
 
Ushuzi unamadhara makubwa sana Ivi ukupata ripoti ya wale waliokufa kwenye mahabusu mbalali kuwa kuna mtu aliachia Yusufuuu tatu na kuleta yale madhara.
Yusuuuuuuuuuphuuuuuuuuuu, hahahahahahaaa.
 
Habari zenu wapendwa wa jf.

Leo nimeamua kuomba msaada juu ya tatizo alilonalo rafiki yangu(wa kiume) JAMAA ANATABIA YA KUJAMBA BILA MATARAJIO KAMA ATAJAMBA.

Mnaweza mkawa nae mnapiga stori akaachia kitu.Nimeshudia mara nyingi sana akifanya hili swala mbele yangu na hata watu wengine na kunipelekea kukaa nae chini kumuuliza ni sababu kinachopelea muda wote awe Ame relax huko nyuma kwake.

NIKAJIBIWA kuwa "mi mwenyewe nashangaa najikuta tu nimeachia"Mbaya zaidi hata msichana wake amejikuta akimlaumu kwa tatizo hili hadi kupelekea kunifuata mimi rafiki yake tulijadili bila ya yeye kuwepo.

Jamaa hajali anasema kajitahidi kuwa anaubana ila inashindikana na kunipelekea kuwaza LABDA NI UGONJWA AU nisaidieni mawazo ili nimuokoa rafiki yangu na wahanga wa hili swala.

ASANTEN
 
Muambie faizafoxy alishatufundisha ni dhambi kujamba hadharani, tena vitabu vya dini vinakataza.ila kergel's exercise itamsaidia,hebu google
 
mfundishe namna ya kubana misuli ya haja kubwa..kama pale anapojisikia kubana kwenda haja ndiyo hivyo na hapo abane pia..usimuhukumu moja kwa moja hauwezi jua ana shida gani toka utotoni au amepita mazingira gani maishani mwake.mie naamin hata yeye anakosa raha juu ya hilo ukizingatia ni mwanaume.Maombi pia ni muhimu sana ..
 
mfundishe namna ya kubana misuli ya haja kubwa..kama pale anapojisikia kubana kwenda haja ndiyo hivyo na hapo abane pia..usimuhukumu moja kwa moja hauwezi jua ana shida gani toka utotoni au amepita mazingira gani maishani mwake.mie naamin hata yeye anakosa raha juu ya hilo ukizingatia ni mwanaume.Maombi pia ni muhimu sana ..

Asante kwa kunitusi basi naomba unisaidie kwa mtindo gani naweza kumfundisha kubana ushuzi wake?
 
Habari zenu wapendwa wa jf.Leo nimeamua kuomba msaada juu ya tatizo alilonalo rafiki yangu(wa kiume) JAMAA ANATABIA YA KUJAMBA BILA MATARAJIO KAMA ATAJAMBA.Mnaweza mkawa nae mnapiga stori akaachia kitu.Nimeshudia mara nyingi sana akifanya hili swala mbele yangu na hata watu wengine na kunipelekea kukaa nae chini kumuuliza ni sababu kinachopelea mda wote awe Ame relax huko nyuma kwake.NIKAJIBIWA kuwa "mi mwenyewe nashangaa najikuta tu nimeachia"Mbaya zaidi hata msichana wake amejikuta akimlaumu kwa tatizo hili hadi kupelekea kunifuata mimi rafiki yake tulijadili bila ya yeye kuwepo.Jamaa hajali anasema kajitahidi kuwa anaubana ila inashindikana na kunipelekea kuwaza LABDA NI UGONJWA AU nisaidieni mawazo ili nimuokoa rafiki yangu na wahanga wa hili swala.ASANTEN

mada zako mbona hazieleweki? Mada zako za nyuma tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom