Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

mwambie abadilishe diet na atumie utaratibu huu:

Asubuhi:
Mayai ya kuchemsha 2, mahindi ya kuchemsha 2 na bakuli la maziwa mtindi

Mchana:
Kande au dona maharage na ndizi mbivu 2

Usiku:
ubwabwa kwa kunde, mapera na maziwa fresh glass 1
 
ndugu jamaa na marafiki nina tatizo la kujamba kila wakati/sio kila siku. pia nikifanya mapenzi usiku na mke wangu naamka asubuhi tumbo linauma chini ya kitovu kwa ndani... NINA TATIZO GANI? NAOMBA MSAADA WA KITABIBU...
 
maybe vyakula unavyokula,vinakufanya ujambe{samahani nilivyosoma maelezo yako,nilicheka}punguza vyakula vya mafuta,na vyenye spice nyingi,uone hali itakuwa hivyo hivyo.maybe wataalamu humu watakusaidia
 
Embu tuambie una uzito kiasi gani na mpangilio wako wa chakula ukoje.
 
ushawahi kushiriki tendo la ndoa kinyume na maumbile yaani kuzibuliwa?

Jaribu kuwa mstaarabu, kama huna cha kuchangia subiri wanaojuwa watufahamishe.
Turudi kwenye mada, kidogo ninachokijua ni kama ifuatavyo.
Hilo tatizo linaitwa Flatulance, linasababishwa na tumbo kushindwa kufanyakazi vizuri kwa baadhi ya chakula.
Nakushauri uchukuwe Tangawizi baada ya kuimenya iloweke katika maji ya limao. Kila baada ya kula chakula chukuwa kipande
cha Tangawizi uliyoloweka utafune. Hii itasaidia tumbo lako kufanya kazi vizuri.
Pia epuka kunywa maji wakati unapokuwa unakula, unywe maji dakika 15 baada ya kumaliza chakula.
Epuka au punguza ulaji wa baadhi ya vyakula kama vile cabbage, maharage, ndizi ,vyakula vinavyotiwa hamira e.g cake, mikate
pamoja na vinywaji vyenye gas kama vile soda na beer(utaweza kuiacha hii kitu ?) usijali ,ili kunywa bia au soda unatakiwa kumimina
katika glasi kisha usubiri kwa muda wa kutosha ili gas ipungue.
Kwa maelezo zaidi google "flatulance cure"
 
Ndugu yangu KALENDA nashukuru sana kwa msaada wako wa kitabibu... KUNA WATU WAHAHARIBU MAANA YA HII FORUM, MIZAHA SIO MIZURI KWA MTU MWENYE SHIDA YA KWELI...
 
ndugu jamaa na marafiki nina tatizo la kujamba kila wakati/sio kila siku. pia nikifanya mapenzi usiku na mke wangu naamka asubuhi tumbo linauma chini ya kitovu kwa ndani... NINA TATIZO GANI? NAOMBA MSAADA WA KITABIBU...
nahisi utakuwa unasumbukiwa na tatizo la tumbo kujaa gas.jarb kuwaona wataalam watakushauri vzur.
 
maybe vyakula unavyokula,vinakufanya ujambe{samahani nilivyosoma maelezo yako,nilicheka}punguza vyakula vya mafuta,na vyenye spice nyingi,uone hali itakuwa hivyo hivyo.maybe wataalamu humu watakusaidia

Usicheke dada yangu, kiukweli nina kula vyakula vya kawaida sana, hizo spice na mafuta wala sipendi...:A S embarassed:
 
Una problem ya hyper acidity ambayo inakusababishia kutengeza upepo kwa wingi. Jaribu kuanza na ushauri wa Kisukari na pia tumia Omeprazole 20 mg kila siku kwa muda wa miezi mitatu. Pia fanya mazoezi ili chakula kisagike vizuri.

Kama unaweza; Punguza vyakula kama maharage, kunde, choroko na pia fanya mazoezi ili chakula kisagike vizuri. Wacha chipsi kabisa. Pili pili wacha. Pole sana.
 
pamoja na maelezo mazuri ya wachangiaji Pima stool kuona kama una minyoo, giardia au hata amoeba
 
Una problem ya hyper acidity ambayo inakusababishia kutengeza upepo kwa wingi. Jaribu kuanza na ushauri wa Kisukari na pia tumia Omeprazole 20 mg kila siku kwa muda wa miezi mitatu. Pia fanya mazoezi ili chakula kisagike vizuri.

Kama unaweza; Punguza vyakula kama maharage, kunde, choroko na pia fanya mazoezi ili chakula kisagike vizuri. Wacha chipsi kabisa. Pili pili wacha. Pole sana.

nashukuru ndugu
 
swala la kuumia chini ya kitovu,jaribu kuwa unachokua siku kadhaa then ndiyo ufanye mapenzi tena.
 
Omeprazole ni nzuri kwa ajili ya acid indigestion lakini sina hakika kama inaondoa gas.
Kwa nini usiende hospitali ndugu? Napata wasiwasi wa hayo maumivu baada ya ndoa. Ni muscles zinavuta shauri ya uzembe (kukosa mazoezi) ama una tatizo lingine?
Nenda hospitali, dr anaweza kukupima na kugundua tatizo hata kwa ku-palpate tumbo tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom