Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 6,376
- 6,720
Kweli kunaeneza ugonjwa gani. Mambo mengine hata hayahitaji kutumia akili bali masaburi. Heri kukaa kimya kuliko kubwabwaja. Napita anyway1
Mkuu naona umeniwahi!!Hewa inayotoka ni hydrogen sulphide na inaweza kuua kwa suffocation. Mirindimo yake pia inaweza kukuletea vibration disease kama unatoa frequently.
Habari ndugu zangu, kuuliza si ujinga. Nafahamu takribani kila kitu kimtokacho mtu (hususani uchafu) kama mkojo, kinyesi, makozi, mate n.k hueneza aina fulani ya ugonjwa. Leo hii naomba kujua hewa chafu inayotoka kwa njia ya haja kubwa inaeneza ugonjwa gani? Dalili zake? Mbinu za kuzuia n.k. AMANI IWE NANYI! Naomba kuwakilisha
Inaonekana ni nadra sana
kuona mtu akijiachia na kutoa hewa chafu mbele ya hadhara, na mara
nyingi akitoa kwa bahati mbaya au kusudi na watu mko wengi anajikausha
kwamba sio yeye, kama ukikutana na anayetoa shuzi bila aibu
inakuwaje
Inaonekana ni nadra sana kuona mtu akijiachia na kutoa hewa chafu mbele ya hadhara, na mara nyingi akitoa kwa bahati mbaya au kusudi na watu mko wengi anajikausha kwamba sio yeye, kama ukikutana na anayetoa shuzi bila aibu inakuwaje
Mkuu naona hujawahi kukaa na wakorea, hawa wandugu wanaachia kama vile wanacheua halafu huwezi kuona mwingine anamshangaa mwenzake
Tatizo ni unyanyapaa tu mkuu ! Jiulize pia kwa nini Watu hawapendi kuweka waz status zao za HIV.