Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Wapendwa ndugu zangu wa JF nawasalimu
Nisaidieni hili jambo lanitatiza sana

1. Kwanini mtu anajamba na wengine hawajambi?
2. Kwanini vijambo vingine vinanuka sana hadi msikilizaji anachanganyikiwa kwa harufu?
3. Inakuwaje mtu anajamba mara nyingi zaidi ya mara tano kwa nusu saa? Kila saa ni piuuuuuuuuuuuu, piiiiii etc
4. Inatokea boss wako anajamba sana unamshaurije?
5. mwisho tufanyeje kutokomeza kujamba hovyo?

Asanteni kama siyo jukwaa sahihi mtaniwia radhi ila ujumbe utafika na hapa ni uwanja wa marafiki wengi wanaojamba na wasiojamba.
 
binadamu yoyite aliyekamilika lazima ajambe....

Saa nyingine kujamba saha 'nadhani' husababishwa na tumbo kujaa gesi au baadhi ya vyakula

bosi wako? Kama huwezi kukaa nae mbali au mnashare offisi na huwezi kumwambia nunua air fresha, akijamba tu puliza, ukifanya hivyomara tatu tu atakuwa amepata ujumbe...

Kila kijambo kinatokana na msosi uliokula, kijambo cha mayai ya kuchemsha hakifanani na kijambo cha wali na maharage, ni tofauti na kijambo cha karanga za kuchemsha... Nk nk nk
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii jei efu itanifukuzisha kazi! lolest! u guys realy are part of my hapines! i liiiikkkeeee this forum! lolest!
 
wapendwa ndugu zangu wa JF nawasalimu
nisaidieni hili jambo lanikatiza sana
1. kwa nini mtu anajamba na wengine hawajambi
2. kwa nini vijambo vingine vinanuka sana hadi msikilizaji anachanganyikiwa kwa harufu?
3. inakuwaje mtu anajamba mara nyingi zaidi ya mara tano kwa nusu saa? kila saa ni piuuuuuuuuuuuu, piiiiii etc
4. inatokea boss wako anajamba sana unamshaurije? yeye kila saa anajamba tu anakupotezea memory hata kazi hazifanyiki
5. mwisho tufanyeje kutokomeza kujamba ovyo?

asanteni kama siyo jukwaa sahihi mtaniwia rathi ila ujumbe utafika na hapa ni uwanja wa marafiki wengi wanaojamba na wasiojamba.

Shiiit tena umenikumbusha leo sidhani kama nimejamba, there is something wrong somewhere.
 
sawa kila mtu anajamba, ila mara tano kwa nusu saa na siyo siku moja daily. itafika mahali uvumilivu utatushinda
 
Shiiit tena umenikumbusha leo sidhani kama nimejamba, there is something wrong somewhere.

sawa jamba mara moja au mbili kawaida ila kila baada ya dakila 5 ni piuuuuuuuu, piiiiiiiii au fyuuuuuuuuuuuu. hapana
 
Jamba sana tu mara 21 kwa siku ni afya nzuri prrrrrrrrrrrrr...tatatatatatata...fyuuuuuuuuuuuu..Lol
 
Hizo ni dalili mbaya na inaendana na kupoteza bikira ya kijambio. Wastaarabu huwezi jamba ovyo. Labda muda maalum wa kujisaidia.
 
Me sizani kama kila binadam anajamba,hivi mnataka kuniambia na mrembo wetu WEMA SEPETU naye huwa anajamba ama kunya?
 
ukijiona hujambi jua afya ina migogoro, nakama afya yako inazingua labda unaugua siriazi huwa hujambi na ukijiona umejamba na unaumwa jua ummeanza kupona hapo, kujamba sio uchafu ni afya
 
Me sizani kama kila binadam anajamba,hivi mnataka kuniambia na mrembo wetu WEMA SEPETU naye huwa anajamba ama kunya?
Ha ha ha...nyie watu mtatuvunja mbavu!:madgrin::madgrin::madgrin::madgrin:
 
...Mara tano within that short period, huyo mwambie awe anavaa nepi ipo siku breki zitakataa na atatoa kama bata :)
 
mfano president etu ajambe mbele kibaki, mugabe, Zuma nk utamsifia Raisi wetu ana afya njema? tena mara nyingi
 
Mmenichekesha leo mpaka baaaaaaasi, JF you are my place na kampani ya ukweli. I never feel lonely with my BB here
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom