Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Halafu ukutane na kile cha yussssssuuuuufu dah kinanuka hicho. Ukikutana na kile cha paratataaata unaweza fikiri mtu anaendesha pikipiki au trekta. Ila kile cha bwwiiiiiiii nacho hatari aisee. Nilitaka kusahau kile prututuuuuu yaani utafikiri bomu limetupwa yaani kama mpo mahali na hamumuoni mjambaji lazima mkimbie
 
kikaniki

Ni Aibu Kwasababu Hiyo Sehemu Inayotoka Hiyo Harufu Na Mlio Wake Ni Ndogo Mno Ukilinganisha Na Mwili Wa Mhusika Mwenyewe. Kwa Mfano Vuta Picha Mtu Kama Masaburi Na Lile Umbile Lake Hivi Akijamba Atashindwa Kuona Aibu Kweli? Kujishtukia Muhimu Mkuu.

Ha! ha ha haaa nimecheka sana mpaka mbavu zinaniuma dah. ...........!!
 
Last edited by a moderator:
Sina cha kuchangia zaidi ya hiki ...... Waataalam wa lugha wanakaribishwa kutoa tafasiri

Who knows when Theodoros is yawning of farting?
For above and below, his breath is the same.
.......
You mouth and your ass, Theodoros,
smell so alike, only the supple mind
of men of science can tell them apart.
Really, you should label your mouth and your ass,
for when you speak I think you are farting.
 
Mpaka sasa hivi cdhani kama kuna mwanadada hata mmoja amechangia huu uzi. Au wenyewe huu utaratibu wa kutoa gesi flani hivi amazing hawana??
 
Ukiisha na hawa ngozi nyeupe hadi kwenye vikao wanajamba. Tena bosi anaendesha kikao ananyanyua kalio moja anauachia anaendelea na kikao. Kwao akipiga chafya atasema samahani lakini kujamba hata samahani hasemi. Kwao shwari tu.
 
Halafu ukutane na kile cha yussssssuuuuufu dah kinanuka hicho. Ukikutana na kile cha paratataaata unaweza fikiri mtu anaendesha pikipiki au trekta. Ila kile cha bwwiiiiiiii nacho hatari aisee. Nilitaka kusahau kile prututuuuuu yaani utafikiri bomu limetupwa yaani kama mpo mahali na hamumuoni mjambaji lazima mkimbie

kwakweli hapo kwa yusufuuu umenichekesha sana
 
Jambeni tu waungwana wengine tukisikia harufu ya ujambi mkonga lazima uje juu alafu unawekea mkono juu kiaina ili uzime makali Bila kushtukiwa
 
Tabia ya kujamba ovyo sio nzuri. Kama ushuzi haukusikika inzi watakuumbua. Kujamba ni ishara ya kubanwa na haja kubwa. Nenda kanye ni tiba, hutajamba tena .
 
Mara ya kwanza kulala na dem wangu ckupata ucngizi kuhofia kumjambia.....usingizi ulikuja kulala shuzi likaniponyoka asee nialiamka fasta na kuangalia kama kackia noma sanaaaa......ila cku nilivyomckia anajamba...daaaa ckuamini na mm nikaanza kumlipa bila uoga
 
Huu si mzaha!! Na waswahili tuna msemo Ashakhum si matusi. Naomba mniwie radhi kwa maneno makali yasiyo na tafsida nitakayotumia katika uzi wangu huu.

Nimekuwa nikajiuliza sana tena saana. Hivi ni kwa nini kujamba ni aibu zaidi kuliko kujisaidia kunya na kukojoa?

Ni rahisi sana kumsikia mtu akisema "naenda kujisaidia haja kubwa au haja ndogo... Ila ni vigumu sana kumsikia mtu akisema natoka kidogo ili nikajambe".

Ni kwa nini ilhali zote ni njia za utoaji wa taka mwili? Yaani taka mwili kwa njia ya kimiminika, yabisi na gesi.
kujamba siyo kutoa haja
 
kikaniki

Ni Aibu Kwasababu Hiyo Sehemu Inayotoka Hiyo Harufu Na Mlio Wake Ni Ndogo Mno Ukilinganisha Na Mwili Wa Mhusika Mwenyewe. Kwa Mfano Vuta Picha Mtu Kama Masaburi Na Lile Umbile Lake Hivi Akijamba Atashindwa Kuona Aibu Kweli? Kujishtukia Muhimu Mkuu.

hahaha wewe popoma umeua...
 
Last edited by a moderator:
kikaniki

Mi nadhani kwamba kama kwa mfano upo kwenye mkutano au kikao fulani na wenzako na ukaomba ruhusa kuwa unatoka kidogo ili ukajambe, mi kwa upande wangu sidhani kuwa hili ni jambo baya Bali itaonyesha ni jinsi gani ulivyo mstaarabu, kuliko kuamua kufanya ushenzi wa kuwatesa wenzako kwa harufu Kali ya kujamba kwako wakati huenda unajua fika kuwa maranyingi ushuzi wako una asili ya kunuka sana.
mjambaji kwa hiyo hili tendo ni la kishenzi?
 
Last edited by a moderator:
Mara ya kwanza kulala na dem wangu ckupata ucngizi kuhofia kumjambia.....usingizi ulikuja kulala shuzi likaniponyoka asee nialiamka fasta na kuangalia kama kackia noma sanaaaa......ila cku nilivyomckia anajamba...daaaa ckuamini na mm nikaanza kumlipa bila uoga

Ha ha ha ha
 
Nilikuwa kwenye kundi la watu fulan hivi nimeweka earphone masikion basi nipo deep kwenye mziki ghafla nikapata kijambo nikaachia kikatoka kwa saut kushtuka naona kila mtu ananitolea macho.. aisee niliona aibu na kuama lile eneo nililokuwepo .. kijambo kina raha ila kitoke kisisikike
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom